Search results

  1. kisungu

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Haramu kwako halali kwa mwingine shekhe
  2. kisungu

    Namna ya kumiliki/kufungua kampuni ya " sport betting"

    Bila shaka umekuja na wazo baada ya kuona umekuwa na mchango mkubwa sana kwa mhindi, ni wazo zuri
  3. kisungu

    Namna ya kumiliki/kufungua kampuni ya " sport betting"

    Mkuu una wazo zuri, nitafute tuweke nguvu pamoja, umoja ni nguvu
  4. kisungu

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Nyumba nzima inapangishwa maeneo ya buhongwa mwanza, nichek dm kwa maelezo zaidi
  5. kisungu

    Wanaume ushawahi kukutana na mwanamke aliyefungwa sehemu zake kichawi? Pita hapa uone niliyokutana nayo ujifunze

    Mkuu hapo hamna hata dawa ni wewe tuu ulikuwa over exited baada ya kuona mtoto mkali, kama alikuwa hataki wala asingehangaika kuhamsha dude kwa kunyonya, then inaonekana unapania sana as if unataka kumkomoa plus kutokujiamini. Cha kufanya ni hivi.. Jitahidi msipange kwa msisitizo sana kwamba...
  6. kisungu

    Nimepata dhamana na kutoka mahabusu Magereza Butimba-Mwanza

    Kuna haki ulikuwa unaililia na kuipigania kwamba ulikuwa unaikosa sana..Haki ya kujamiana, vp mkuu utaendeleza kupambana au ume give up
  7. kisungu

    Tetesi: Akagera National Park ya Rwanda inavyochukua wanyama wa pori ya Burigi na Kimisi na kuwafungia kwenye fensi

    Kama wanafanya hivyo wanakosea sana kiikolojia, kwa mtu anayejua maana ya national park... Hiyo sio national park na wanajidanganya, hakuna mtalii atakayeenda kuangalia wanyama kwenye zoo. Ni ujinga wanafanya najiuliza kwani hawana wataalam wa ekolojia??? Wanyama wanatakiwa waishi freely to...
  8. kisungu

    Magari yanauzwa kwa bei poa sana

    Naweka 750
  9. kisungu

    Huyu mtoto amenifanya nitamani kuwa na familia

    Una maisha mazuri.. Hongera
  10. kisungu

    Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

    Shida inakuja pale unaposubiria simu huku roho inauma.... Ni ugonjwa huo. Cha kufanya ni kuachana na mtu kama huyo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kisungu

    Tundu Lissu: Afande Sirro na Kipilimba, Vijana wa Toyota Premio namba T460CQV Mliowatuma kunifuatilia nimewakaba

    Ndo press imeishia hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kisungu

    Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

    Pambana na hali yako tuu kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kisungu

    Mtu anayetumia dawa za kupunguza makali ya VVU ana asilimia ngapi za kueneza UKIMWI?

    Kapime tuu mkuu, inawezekana hujaupata Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kisungu

    Hatimaye nimefikisha umri sahihi wa kumuangukia Shetani/Lord Lucifer

    Cha ajabu Shetani mwenyewe hatakukubali, Shetani anapenda influential people sio kilaza kama wewe, kalime tuu ndugu yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kisungu

    Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

    Mkuu taratibu.. Inawezekana na yeye yumo huku Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  16. kisungu

    Naombeni msaada nimechanganyikiwa

    Ukishachanganyikiwa ushauri unakuwa hamna maana Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  17. kisungu

    Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    Hongera sana polisi. Ni kazi nzuri, lakini tusiishie hapo kwani ni dhahiri kuwa bado hatujajua sababu ya hao wauaji huko kibiti. Pia japo sio rahisi ila tunaomba tuongeze bidii zaidi kuwakamata na sio kuua tuu kwani tunakosa ushahidi, ni kweli, kama tungefanikiwa kumpata hata mmoja akiwa hai...
  18. kisungu

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Naomba pia niwashauri watanzania, huu sio muda wa kulaumu eti nguvu inayotumika sehemu flani ihamishiwe kibiti.. Hapo sio sahihi hata kidogo. Serikali inawapenda watu wake na haiwezi kufurahi kuwapoteza siamini kama haichukue hatua stahiki. Tuipe moyo huku tukiongeza ushirikiano kumbuka tatizo...
  19. kisungu

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Hivi najiuliza tuu, inawezekana kibiti watu wengi hawana simu.. Sina uhakika, pia inawezekana hamna mtandao mzuri wa simu za mikononi, niiombe serikali kwa kipindi hiki, mawasiliano ni muhimu sana, tunaweza kugawa simu kwa kila kaya, pamoja na muda wa maomgezi unaokuwa controlled kwenda kwa...
Back
Top Bottom