Search results

  1. K

    Toyota Landcruiser V8 (2014) inauzwa

    TOYOTA LANDCRUISER V8 YEAR 2014 Engine: V8, PETROL Transmission: Automatic Km 33,091 Price: TSHS Mill 125 negotiable Gari ni mpya ya Juzi DPK NOW already registered with number DPK Chart with me WhatsApp via Tigo number attached to my Ad. +255716905737 +255754459787 OR For more vihecles and...
  2. K

    UTAFITI: Umaarufu wa wasanii wanaishabikia CCM umengua ghafla!!

    Mwanangu yaani umeongea ukweli hata wale watoto wa Yamoto band wamepungua mvuto siasa inatakiwa usome alama za nyakati...nimeona saiv Jacqueline Wolpher ameoneza mafollower kwa 40% kwenye instagram account yake.
  3. K

    Lissu: Dr. Slaa ni Rais ajaye

    Dr Slaa Jembe wewe... tukimpa nchi mafisadi wote watajificha shimoni... matajiri walioiweka mfukoni serikali ya ccm watajuta... lazima walipe kodi zetu kuanzia mwakani.... Dr Slaa atakomesha magumashimagushi yote yaliopo serikalini.... tumpe nchi mkombozi wa wanyonge Dr W. Slaa.
  4. K

    CHADEMA yajiengua UKAWA

    Umemaliza kazi uliotumwa nenda kachukue elfu 2000 yako pale lumumba
  5. K

    Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

    Huyo Dada ni njaa tu inamsumbua mwaka Jana kwenye uzinduzi wa albamu ya Bahati Bukuku pale TPA, lowassa alikuwa mgeni rasmi alimpa mil 25 ndiyo hizo zimemchanganya saiv anampambapamba Huyo low hasa wake.. kweli njaa mwanaharamu
  6. K

    CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

    CCM - wanaongoza kwa kulala bungeni CDM - wanaongoza kwa kuongea bungeni hoja zenye mashiko (Point tupu)
  7. K

    Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

    Haya kazi uliyotumwa umemaliza sasa kachukue hela zako pale lumumba kwa nape mwambie tumekuona ni kilaza fulani pia mpumbavu fulani hivi kweli miccm mmeishiwa........ Msingwa jembe wewe mtafanya kazi kubwa sanaa kumshusha na hashuki ng'o.... saiv CDM ni mdogo mdogo mpk magogoni.
  8. K

    Dr Mary Nagu: Bunge Sasa Lina Amani

    Mimi ndg yangu niliacha kuangalia kabisa bunge lilikuwa dolooooo kabisa.... hoja za wabunge waliokuwa wanachangia zilikuwa hazina mashiko kabisa.
  9. K

    Mimi kupigana na Msigwa ni kutafuta kesi ya mauaji. sijashkana naye shati na sitaraji

    Mwanga mkubwa wewe... hatutaki utetezi wako wa kinafiki hapa jamvini.... Rev Msigwa jembe lile tena huna hadhi ya kutamka wala kuandika jina lake humu JF.
  10. K

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Acha upumbavu wako siku nyingine husituletee huu upuuzi wako nyie ma-ccm ni mauaji tu.... mwisho wenu umekaribia lakini
  11. K

    Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

    Jay Msolopa ganzi mwanasiasa aliyebarikiwa na Mungu kusini mwa jangwa la sahara.... karibu CHADEMA Bro
  12. K

    Mwigulu akalia kuti kavu Iramba Magharibi

    Fanyeni haraka kuanzisha hiyo account nichangie huyu jamaa anaitwa Mwigulu simpendi mpk nikimuona nahisi kichefuchefu
  13. K

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Zitto ni mwanasiasa mzuri na mahili ila kuwa mwenyekiti wa CDM na kugombea uraisi kwa tiketi ya CDM bado sana mpaka atakapokuwa ana msimamo thabiti katika kupigania chama yuko kimaslahi yake zaidi anarubunika kirahisi mtu gani kuna wakati alitaka kuanzisha chama chake wakati anajua yeye ni...
  14. K

    University of Bagamoyo: Breaking News Study Masters degree in Peace studies and Conflict Resolution

    BAGAMOYO UNIVERSITY IS OFFERING MASTERS DEGREE IN PEACE AND CONFLICT RESOLUTION. INTAKE: MAY INTAKE- admission is on already DURATION: ONE YEAR QUALIFICATION: First degree in any field This Program or course is very relevant in the following fields: - It enables one to understand causes...
  15. K

    Bagamoyo University is offering Master Degree in Peace and Conflict Resolution

    BAGAMOYO UNIVERSITY IS OFFERING MASTER DEGREE IN PEACE AND CONFLICT RESOLUTION. INTAKE: MAY INTAKE- admission is on already DURATION: ONE YEAR QUALIFICATION: First degree in any field This Program or course is very relevant in the following fields: - It enables one to understand causes...
  16. K

    Hii ni kwa Wanasiasa na Wanadiplomasia Bagamoyo University yaanzisha Masters Program kwaajili yenu

    BAGAMOYO UNIVERSITY IS OFFERING MASTERS DEGREE IN PEACE AND CONFLICT RESOLUTION. INTAKE: MAY INTAKE- admission is on already DURATION: ONE YEAR QUALIFICATION: First degree in any field This Program or course is very relevant in the following fields: - It enables one to understand causes...
  17. K

    Bagamoyo university is offering masters degree in peace and conflict resolution.

    BAGAMOYO UNIVERSITY IS OFFERING MASTERS DEGREE IN PEACE AND CONFLICT RESOLUTION. INTAKE: MAY INTAKE- admission is on already DURATION: ONE YEAR QUALIFICATION: First degree in any field This Program or course is very relevant in the following fields: - It enables one to understand causes...
  18. K

    MAJIRA: NCCR waibomoa CHADEMA

    NCCR kudananilii zenu nyie wake za CCM na 2015 hamtapa kiti hata kimoja cha ubunge badala ya kupigania mabadiliko nyie mnadhoofisha mapinduzi hata hivyo habari tulizo zipata waliorudisha kadi hizo mliwagaiya nyie wenyewe na ni wanachama wenu baadhi lakini waliowengi ni wa Lisisiemu chama...
  19. K

    Admission at tanzania international university

    2013/2014 ADMISSION AT TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY. Tanzania International University, a newly TCU registered university, located at Kimara Mwisho Dar es Salaam, is here by informing the public that its admission processes are on for the following programs. FACULTY OF BUSINESS STUDIES...
Back
Top Bottom