Search results

  1. B

    SALE - Laptop za HP i5 Processor 500GB HDD na 4GB RAM

    Inakaa na chaja zaidi ya masaa mawili Laptop na chaja yake original toka Uingereza
  2. B

    SALE - Laptop za HP i5 Processor 500GB HDD na 4GB RAM

    Kiroroma Napatikana namba hii 0712409641
  3. B

    SALE - Laptop za HP i5 Processor 500GB HDD na 4GB RAM

    Ninauza laptop za Hp Probook i5 Processor Original toka Uingereza Hazina matatizo yeyote Hazina michubuko Hard drive: 500GB RAM: 4GB Zipo kwenye hali nzuri sana Zina Windows 7, MS Office na Antivirus tayari kutumika Bei chee 700,000/- Punguzo la bei linawezekana, karibu tufanye biashara...
  4. B

    Buriani Abuu Semhando a.k.a Baba Diana

    Abuu Semhando mwanamuziki nyota wa bendi ya African Stars Twanga Pepeta hatunaye tena baada ya kugongwa na gari wakati akiendesha pikipiki kwenye majira ya saa kumi usiku. Umauti ulimkuta Semhando wakati akijerea nyumbani kwake akitokea kazini ambapo bendi ya Twanga Pepeta ilikuwa ikifanya...
  5. B

    Anyimwa 'Tigo' Ajaribu Kuua

    Nguli utakuwa na matatizo kidogo kama utaendelea kufikiria kama unavyomaanisha kwa kuhighlight jina la huyo mshtakiwa
  6. B

    Anyimwa 'Tigo' Ajaribu Kuua

    OMARI Mohamed (22), mkazi wa Yombo jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke kujibu, shtaka la kutaka kumuua msichana baada ya kukataa kumwingilia kinyume na maumbile. Akisoma hati ya mashitaka, Inspekta Isaya Mwanga mbele ya Hakimu Aziza Kalili wa mahakama hiyo...
  7. B

    Pombe za Krismasi

    Picha zaidi gonga hapa http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=667579
  8. B

    4000 waambukizwa Ukimwi Kinondoni ndani ya miezi mitatu

    IMEDAIWA kuwa ndani ya miezi mitatu kati ya Julai hadi Septemba mwaka huu watu wapatao 4072 wameambukizwa virusi vya ukimwi katika Manispaa ya Kionodnoni jijini Dar es Salaam Hayo yalijulikana baada ya kamati ya Kudhibiti Ukimwi katika Manispaa hiyo kutoa takwimu hiyo. Kati ya watu hao, 1,165...
  9. B

    Ili Kujua Mtoto Wake Sio Shoga, Amlazimisha Afanye Mapenzi na Kahaba

    Mhh kweli si mchezo mdingi anatest kama mtoto wake si rizki au la
  10. B

    Mbavu za kucheka unazo?

    Picha zaidi Gonga Hapa www.Nifahamishe.com
  11. B

    Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

    Zanzibar Yaibanjua Zambia 4-3, Yatinga Nusu Fainali Timu ya soka ya Zanzibar imefanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la Chalenji linaloendelea nchini Kenya baada ya kuitupa nje ya mashindano timu ya taifa ya Zambia kwa kuilaza kwa magoli 4-3...
  12. B

    Shikilia Mbavu Zako Vizuri..

    Hapo lazima usali sala zote unazozijua na kumuachia mungu yatakayotokea Ukifikiria kwamba bunduki yenyewe ipo mbali karibu na simba alipo mpaka uikaribie ushageuzwa asusa:):):)
  13. B

    Shikilia Mbavu Zako Vizuri..

    Picha zaidi Gonga hapa www.Nifahamishe.com
  14. B

    Washabiki Wanapomwaga Radhi

    Kwa picha zaidi Gonga Hapa www.nifahamishe.com
  15. B

    Watanzania ni Wakarimu, Nitarudi Tena ' - Busta Rhymes

    Hapo mzee umenena pointi
  16. B

    Mafuta ya Binadamu Yawa Dili

    Polisi nchini Peru wamewakamata watu watatu miongoni mwa kundi la wauaji ambao wamekuwa wakiwaua watu kwaajili ya mafuta ya miili yao ambayo wamekuwa wakiyauza kwenye makampuni ya ulaya kwaajili ya kutengeneza madawa ya urembo Polisi nchini Peru wamewatia mbaroni watu watatu ambao ni wanachama...
  17. B

    Mashoga wa Afrika Walipokutana..

    Picha zaidi Gonga hapa: http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=616489
  18. B

    Simba Yaweka Historia Ya Ligi Kuu Bara

    SIMBA imeweza kutengeneza historia mpya kwa kushinda mechi zote 11 za mzunguko wa kwanza na kufikisha pointi 33 katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Katika mechi yake ya 11 Simba ilipata ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Jumapili iliyopita. Source: www.nifahamishe.com
  19. B

    Mchezaji wa Nigeria Kuchapwa Bakora 40 Kwa Kunywa Pombe

    Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria anayesakata kabumbu nchini Sudan amehukumiwa kuchapwa bakora 40 pamoja na kulipa faini baada ya kukamatwa akiwa amelewa pombe. Stephen Worgu, mchezaji chipukizi anayewika wa timu ya taifa ya vijana ya Nigeria ambaye anaichezea timu ya Al-Merreikh ya Sudan...
Back
Top Bottom