Kuna Nyingine inaitwa "GeanyMotion" check site yao hapa "Genymotion – Fast And Easy Android Emulation"
Check namna ya kuInstall Kwenye Ubuntu hapa ""
Personally Nimeitumia Kwenye Ubuntu na Ilifanya kazi vizuri sana....
Ni Ukweli Usiopingika kuwa Icon Ya POA-APP bado una uwalakini,ila kwasababu mko kwa hatua za kukusanya maoni i hope mmeliona hilo...
Hivi Motive hasa ya Kufanya hii Project Ilikuwa ni nini????
Kama ilikuwa ni kujifunza tuuuuu basi vijana mtakuwa mmeiva SANA ila kama ni kwa issue serious naona...
kama unatumia Mozilla-Firefox Kama Web Browser yako,unaweza install add-on inaitwa "Savefrom.net Helper" ambayo itakusaidia ku download video yoyote kwa haraka bila software yoyote.....
How can one Delete Software Registry Keys From System Registry On Windows without using a Software????
A fully tested and valid Reference would be useful.....
Kama kuna yeyote aliyekwisha fanya kazi yoyote na hizi tools atuwekee link tuone mfano kuna jamaa fulani mTz anafanya graphics "luiarts" yupo youtube,mnaweza muona
Nina video ambayo ina background noise kiasi fulani(sababu ya camera ya quality ndogo),naweza kutoa background noise na premier pro??? Na je tool ipi ni bora zaidi kutoa background noise kwenye vids??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.