Search results

  1. Zungu la Unga

    Elections 2010 Nitashangaa sana kikwete akishinda

    Kajifunze kuandika Kiswahili fasaha kabla ya kujifanya Mtanzania kwa sana! Wewe unakunya nini? Dhahabu ama zabibu?
  2. Zungu la Unga

    Elections 2010 Nitashangaa sana kikwete akishinda

    Kawaulize waliotoa WARAKA watakueleza kwanini walimsifia Kikwete wakati ule na kumuita Chaguo la Mungu. Tatizo lenu kesho ukitoka WARAKA mwengine huko unakotoka basi mtarudi huko huko na kusahau mnachobwabwaja sasa hivi.:glasses-nerdy:
  3. Zungu la Unga

    Elections 2010 Nitashangaa sana kikwete akishinda

    Basi jitayarishe kuwashangaa Watanzania kuanzia sasa!
  4. Zungu la Unga

    Elections 2010 Nitashangaa sana kikwete akishinda

    Utarudi wewe kwenu Msumbiji huku Wahindi wakiendelea kupeta.:eyebrows:
  5. Zungu la Unga

    Elections 2010 Kikwete hakua chaguo la wananchi bali mafisadi

    Maneno ya mkosaji hayo! May be WARAKA mwengine ukitoka mtarudi kumpigia kura tena.
  6. Zungu la Unga

    Elections 2010 Ni ukweli ukiweka picha ya JK kwenye gari huguswi na matrafiki?

    Duh! Hizi stori zingine za vijiweni hata hazi-make sense hata kidogo. Tuendelee kupeana moyo!:glasses-nerdy:
  7. Zungu la Unga

    Elections 2010 CCM wabanwa vijijini; wamuongezea mzigo JK

    Nilishasema kuwa wengi wenu mlioingia upinzani uchaguzi huu mpaka majuzi mlikuwa CCM na hii inadhihirisha ninachokisema. You guys are newbies kwenye upinzani hivyo kuwa na fikra za kushinda uchaguzi kwa mbwembwe za kufurika kwenye Internet forum ni normal trend. Mwakani utatoka WARAKA mwengine...
  8. Zungu la Unga

    Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

    Huko ndiko KUISHIWA kwenyewe!
  9. Zungu la Unga

    Elections 2010 CCM wabanwa vijijini; wamuongezea mzigo JK

    Haya ni matatizo ya kujua masuala ya kompyuta ukubwani ama kuyajua hivi karibuni. Wengine tulikuwa kwenye stage zenu miaka 15 iliyopita hivyo tunajua vizuri wapi mnaelekea. Na nyie ambao mnafikiria kuwa watu wanaweza kubadilisha mawazo ya wapiga kura kwa kusimama kwenye jukwaa la kampeni...
  10. Zungu la Unga

    Zinduka!!

    Next to picha ya Nyerere na familia yake, wekeni ile ya Slaa na kimada wake! Huyo Mtakatifu ana madhambi mengi kuliko hata ya mafisadi. Kuanzia kuleta sheria ya detention, kujaza jela kwa wafungwa wa kisiasa, kuwa na wakimbizi wa kisiasa. Kupiga marufuku vyama vya wafanyakazi na kuwasweka...
  11. Zungu la Unga

    Elections 2010 CCM wabanwa vijijini; wamuongezea mzigo JK

    Jipeni moyo. Lakini baada ya October 31, kutakuwa na vilio vya kura kuibiwa. Hakuna chama kitakachoshinda uchaguzi kwenye Internet. Nchi ambayo 75% ya wananchi wake hawana umeme, unafikiri kelele za kwenye Internet zinawafikia?
  12. Zungu la Unga

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Hivi mlipokuwa mnawajadili waakina Rostam Aziz na Abdulrahman Kinana mlikuwa mnawaleta mama zao kujadili nao? Acheni zenu za kuleta hapa.
  13. Zungu la Unga

    Elections 2010 Dalili ya ushindi wa kushindo kwa chadema imekwishaonekana

    Msije mkajinyonga tu kwa hasira pale matokeo rasmi yatakapotangazwa.
  14. Zungu la Unga

    Elections 2010 Hivi ni kweli Prof.Lipumba....?

    Alikuwa anawashauri mapadri namna ya kuwadonyoa vitoto vya Sunday school. Kama uligeuzwa kuwa ubwabwa wa padri, basi ujue hayo yalikuwa matokeo ya ushauri wake.
  15. Zungu la Unga

    Elections 2010 Hivi ni kweli Prof.Lipumba....?

    Upuuzi mwengine huo. Wakati wapinzani wanasusia matokeo ya uchaguzi wa 2005, huyo Mbowe wenu alihudhuria sherehe za kutangazwa matokeo rasmi ya uchaguzi pale Diamond Jubilee na alikuwa kimbelembele kwenda kumpongeza JK. Sasa analia eti hawatakubali kura kuibiwa? Acheni kujifanya nyinyi ndiyo...
  16. Zungu la Unga

    Elections 2010 Hivi ni kweli Prof.Lipumba....?

    Acha ujinga wako wa Sunday School na midhabahuni mlipokuwa mnawapa mapadri blow jobs.
  17. Zungu la Unga

    Elections 2010 Hivi ni kweli Prof.Lipumba....?

    Alikuwa mshauri for less than two years. Baada ya kuona ushauri hauzingatiwi akaishia zake. Sasa hapa tatizo liko wapi? Mbona alikuwa na anaendelea kuwa mshauri wa Museveni na huko wanafanya vizuri tu?
  18. Zungu la Unga

    Maisha ya Ndoa (mahusiano) ya Wanasiasa wa Tanzania

    Hata upumbavu una mipaka yake. Sasa mtu anaposhangilia huu upuuzi unaonyesha upeo wao wa kufikiria ulivyokuwa mdogo!
  19. Zungu la Unga

    Ingelikuwaje Nyerere angelikuwa Mzanzibari?

    Ni uongo kudai kuwa Nyerere alikuwa Rais wa kwanza Afrika kuachia madaraka. Kulikuwa na Kaunda aliyekubali vyama vingi na kukubali matokeo ya uchaguzi na kuachia madaraka baada ya kushindwa. Si huyu aliyekuwa ana-control serikali mpaka kifo chake.
Back
Top Bottom