Search results

  1. P

    Kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2015

    kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mkuu ninashauri vyama vinavyounda ukawa. Viwe smart enough. Waajiri timu ya ushindi kwenye kila eneo. Hasa maeneo muhimu yafuatayo: 1. Uchumi- waajiri timu ya wataalamu waliobobea kwenye uchumi. Timu hii iwe na jukumu la kuchambua na kupendekza sera bora...
  2. P

    Inakuwaje Rais anatoka CHADEMA na PM CCM?

    siku sisiem ikianguka ikalala mlalo wa mende siwezi kuelezea furaha yangu. Jaman twendeni tukahakikishe taarifa zetu huko tulikojiandikisha.
  3. P

    Lowassa na Kiingereza chake!

    amesema vyema kabisa. Sasa utamlinganisha na maghufuli na lafudhi zake za kisukuma sijui kihaya si itakua balaaa. EL yupo poa kwahiyo speech plus he was not reading. haya tuletee na moja ya magufuli tuisikize
  4. P

    Mlimani TV, asanteni kipindi cha John Malecela. Ile picha naithaminisha mamilioni ya pesa

    Huyu kitila sijui anatumiaga nini kufikiri, ametumwa? Ccm is stabilizing, cdm is shrinking cuf is dissapearing and act??? Acha kujadili ya wenzako halafu ya kwako unayaweka kando. Malizia tu useme and act is helping ccm in the process of stabilizing. Msomi huyu hovyo kabisa
  5. P

    Mwigulu Lameck Nchemba - A focal person among the current appointees

    appointees???? nobody has been appointed, yet.
  6. P

    Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    nenda tu dkt cdm ni ya wanachama sio ya watu. unataka nani akujibu? ukitaka kuwa unakaa pembeni tu halafu wengibe wawe wanakupa majibu nenda ACT maana kile ni cha zito yeye atakua tu anakupa majibu kuhusu chama chake.
  7. P

    Tumemuaga Rais Kikwete ahadi ikiwa haijatimia.

    wahenga walishasemaga kuwa... wajinga ndio waliwao. sisi wananchi tumeyakubali yote hayo na basi tuvumilie tu. au la yakikukera haya basi tukutane october.
  8. P

    Kiukweli, Zitto ndiye aliyeinyanyua CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani

    Mtoa mada ukweli utabaki hivi, kabla ya kuwa msaliti,zzk alikua asset nzuri ndani ya cdm. Lkn napingana na wewe kwamba ni yeye ndie aliyeinyanyua cdm na kukifanya chama kikuu cha upinzani. Wakati wake kabla ya dr slaa cdm ilikua na wabunge wanne tu. Kiukweli ni dk slaa ndie aliyeitambulisha cdm...
  9. P

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    ufinyu wa akiliu na mawazo kabisa, sio kwamba ACT awe kiboko ya CCM bali kiboko ya CDM. hii ni akili au matope? au ndio CCM B?
  10. P

    My Salute Kwa Wabunge:- That is How We Treat Traitors!!

    mbona una mawazo finyu sana ndugu yangu? Hiyo rasimu ya katiba ni mawazo ya warioba? Nilifikiri ni mawazo ya watanzania waliojitokeza kutoa maoni yao. Unamuongelea mzee warioba as if, alijifungia chumbani kwake na kuanza kujitungia hiyo rasimu. Kama unataka kulaumu maoni yale ya rasimu ya...
  11. P

    KITILA MKUMBO: CHADEMA inakua, CCM inasinyaa, lakini kwa kasi ndogo!

    kwakweli kwa mwenenendo wa mambo ulivyo humu jf siku hizi, ninaamini kwa dhati kabisa, kuna kundi kubwa la watu linalipwa pesa kufanya kazi ya kuandika posts za kuichafua chadema na kuisifia ccm.haiwezekani watu wakawa wamejitoa ufahamu kiasi hiki. Wote tunaona rangi nyeuPe, lakini utashangaa...
  12. P

    Kauli ya Lipumba ni hatari kwa usalama wa taifa, ALSHABAAB waliwaambia vijana wajiandae ......

    ni aibu iliyoje kwako, maana unajitanasabisha na upande mmoja ulio dhahiri kabisa, yaani mtu akisoma tu makala yako, mara moja tu anakufahamu fika kuwa ni shabiki , na tena kwa upande ulio kinyume na haki, ni mbaya zaidi maana watanzania wengi wanajua ukweli wa mambo, sio zama za kusimama...
  13. P

    Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    HAMY-D mbona unaongea tuuuuu, hamna vielelezo, ametumiaje kwenye shughuli zipi? Weka picha, matukio tuone, halafu epuka kuweka hoja kishabiki, kwa post yako hata asiye kujua anaona kabisaa wewe ni gamba. Weka hoja zenye maslahi ya taifa. Nikujuze,haingii akilini kwa ccm inayoongoza serikali kuwa...
  14. P

    I have been in jamii forum for years i have only find only one greater thinker

    ni mashairi, utenzi au ngonjera, kwakweli nimepata shida sana kuelewa unachozungumza. Really, what the heck was that??
  15. P

    Ushindi wa JK, Mangula na Membe ni Pigo takatifu kwa Lowassa

    hoja hafifu, eti "kundi la wapinga ufisadi" kuna wanaopinga ufisadi ndani ya sisiem wewe? wote ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo. i choose to side with kamanda lowasa. pambana Edo, it's either you or slaa 2015. forget about membe.
  16. P

    Dr Peter Dalaly Kafumu apata ajali

    nampa pole sana mtanzani a mwenzetu huyo, na tunamwombea apone haraka. Isipokuwa comment ya mh. Mchemba... That's a very low level of thinking, he has to distinguish himself with a mere layman. La pili; hiyo comment ya dr. Kigwangala , je mleta habari umemnukuu au umemtafsiri kwa maneno yako...
  17. P

    Kigwangala mbona kimya?

    wiki iliyopita tuliambiwa kuwa Mh. Kigwangala baada ya kushauriana na watu wake wa karibu angefanya maamuzi siku ya jumanne, ambayo ni jana. Mbona kimya? ameghairi? Je, kuna taarifa zozote za maamuzi yake hayo?
  18. P

    Tathmini: M4C Fundraising Dar wapi hapakuwa sawa na nini Kifanyike

    Yaani hilo neno la yes we can ndo limekuthangaisha hivyo? Kwani kuna ubaya gani? Amekosea nini? Mtu anapozungumza anaweza kusema lolote, including imitating, or quoting somebody.pole kama amekukukwaza.
  19. P

    Kama kazi ya udaktari na uwalimu ni wito kwa nini ubunge isiwe kazi ya wito???

    wote mmenena vyema, isipokuwa haya hayabadiliki kirahisi hivyo, mapinduzi haya yanapaswa kupigania. na ndio maana madaktari wanajaribu kuleta mapinduzi haya lakni hawana support, walimu nao vile vile. Tuamke jamani
  20. P

    Unaushauri wowote kwa Dr Steven Ulimboka na kurudi Tanzania?

    Sijaona cha kujadiili katika hilo. Ni wajibu wa kila mmoja kupinga na kukemea udhalimu. hili halijafanyika kwa kiwango cha kuridhisha, hao waliofanya unyama huo, leo wamefanya kwa ulimboka ,kesho kwako n.k. Hawa wauaji hawajapata meseji ya uhakika kwamba walichokifanya ni kinyume kabisa na...
Back
Top Bottom