Search results

  1. Elusive

    Bunge la Katiba Kuahirishwa Wiki Mbili zijazo, Theluthi Mbili zakwamisha Ibara ya kwanza ya Katiba

    Bunge likiahirishwa mpaka August wengine watapinga kwa mazoea waliojiwekea ya kupata 300,000/- kil siku bila ya jasho. Kwa tabia ya binaadamu hata mfumo wa matumizi yao ya kila siku wameubadilisha.
  2. Elusive

    Ukiwa na driving licence ya Tanzania hurusiwi kuendesha gari Zanzibar. ..

    Siyo kweli mimi wiki iliyopita nilikua Zenj na nina driving licence ya hapa Bongo nimeendesha gari siku zote 3 na nimepata kuulizwa licence siku moja na askari wa usalama barabarani nimeonyesha licence yangu ya Bongo na hakukua na matatizo yoyote nimwruhusiwa kuendesha kama hapa Dar.
  3. Elusive

    Watanganyika wanaoishi Zanzibar watakiwa kuomba vibali vya ukazi

    Hiyo habari haina ukweli wowote. Kila raia anaeishi Zanzibzr haijalishi wa upande gani lazima awe na kitambulisho cha Ukaazi hata Wazanzibari wenyewe wamepatiwa hivyo vitambulisho. Fuatilieni kwa kina mambo ya Zanzibar bila ya kuleta uchochezi.
  4. Elusive

    WikiLeaks: Kikwete aliwaombea Jairo na January Makamba mafunzo US

    Wacha yawakute, wanapokua na hawa mabalozi wa Magharibi hua wanapenda kubwabwaja, hawa jamaa wanakua kazini saa zote na kila mnachozungumza kinanakiliwa na ofisia wa ubalozi wanaeambatana nao, wewe utaona yameisha lakini jamaa wanaweka katika kumbukumbu na ndio hizo zinazoitwa diplomatic...
  5. Elusive

    Inflammatory: CHADEMA hawako kwa maslahi ya taifa, they are just another tool

    You have accepted to be divided, prepare yourselves to be ruled
  6. Elusive

    Homeless man with a Golden voice

    I saw it on CNN Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake.
  7. Elusive

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Idd
  8. Elusive

    Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar imetangaza majina 20 ya Wawakilishi wa viti maakum vya wanawake kati ya hivyo CCM wamepata 11 na CUF wamepata 9. Ikumbukwe kwamba katika uchaguzi CCM wameshinda majimbo 28 na CUF majimbo 24.
  9. Elusive

    Zitto Kabwe kuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni?

    Chadema watafute kiongozi wa upinzani ambae atawaunganisha wapinzani kua kitu kimoja kama Bunge lililopita, na atakaethubutu kumuuliza maswali magumu Waziri Mkuu kila Alhamisi asubuhi bila ya woga. Upinzani ulio na umoja utatendakazi zake bila ya matatizo lakini kama utagawanyika matatizo...
  10. Elusive

    Why africa is 50 years behind developed world

    AFRICAN LEADERS Abdulai Wade (Senegal) age 83 Hosni Mubarak ( Egypt ) age 82 Robert Mugabe(Zimbabwe) age 86 Hifikepunye Pohamba ( Namibia ) age 74 Rupiah Banda ( Zambia ) age 73 Mwai Kibaki(Kenya)age 71 Ellen Johnson Sirleaf ( Liberia ) age 75 Colonel Gaddafi (Libya) age 68 Jacob...
  11. Elusive

    Never run away frm the police

    too graphic!!
  12. Elusive

    Airport Dar inanuka kinyesi

    Aibu tupu!!!
  13. Elusive

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    By LEVINA KATO, 7th October 2010 @ 12:40 CCM Union Presidential candidate Jakaya Kikwete would have scooped 71.2 per cent of the votes if the general election were held last month while the six opposition candidates would have jointly obtained 28.8 per cent of the votes, according to Research...
  14. Elusive

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    Vipi wameweza kufanya sampling kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano na wameshindwa kwa kumalizia na Rais wa Zanzibar. Lakini hawa jamaa niliwahi sikia walificha takwimu zao za uchaguzi wa Rais wa Zanzibar wa 1995.
  15. Elusive

    Kama hii ni kweli, CCM Zanzibar ndiyo Bye Bye?

    Ungeunganisha hiyo update na ile main topic ili wana JF waweze kuipata kirahisi, bila ya hivyo wengine hawatoiona hapa.
  16. Elusive

    Baada ya Kuzuia Tangazo, TBC yajikosha kwa Policy Forum!

    The guy is insecure, incapable and incoherent.
Back
Top Bottom