Search results

  1. W

    Wizara ya Africa Mashariki...

    Ahsante Zitto! na wote ambao tume- elimishana. kuuliza si ujinga nduguzanguni!
  2. W

    Wizara ya Africa Mashariki...

    Wadau naomba mnipe darasa kidogo. Hivi nchi nyingine za EAC nazo zina wizara hiyo? Au ni kitengo cha Foreign affairs ministry za nchi hizo?Kama jibu ni negative kwanini sisi tunaipa kipaumbele sana EAC on the expense of tax payers? Au pengine budget ya wizara hii inatoka kwa member states wa...
  3. W

    Mume wa Rais...

    Mkuu! Ahsante kwa somo! Perhaps its more convicing if its not true!
  4. W

    Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

    Without prejudice! I dont see what was termed earlier as ethical and hardworking!....To my suprise instead of reducing the number,they have increased. That means it was to keep the older cabinet and replace the one lost in elections plus some bonuses to the chosen few! Save a few new comers like...
  5. W

    Exclusive: Njoolay mrahishie Kikwete kazi; jiuzulu mwenyewe!

    To my opinion wote hapa bongo ni wezi!! Kama ni kuchukua hatua ni bora kufukuza na kupeleka mahamani kuanzia ward excutives to R.C. Hili mnalosema kujiuzulu doesnt hold water. Wengi kwenye madaraka sasa hivi walishaiba na wamejiandaa kuwajibishwa .Mali zao zipo kwa majina ya watu wengine.
  6. W

    Kijana wa miaka 25 aoa Mama wa miaka 56 Kenya

    Hakuna noma! Kijana avumilie miaka ingine 10 au 15 halafu aibue kitu chake cha miaka 25. Au sie wajamani!
Back
Top Bottom