Search results

  1. T

    Niliyoyaona baada ya kumiliki gari ya Mzungu

    Mzee vp gari yetu tupe mrejesho tupate hamasa ya kununua gari za mzungu Share namba za fundi na duka la spairs.
  2. T

    Dawa gani inatibu haraka vidonda vya mdomoni?

    Kunywa sana mtindi bila sukari... it works for me Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    Hivi ni kweli baadhi ya watu ukiwa nao kwenye mahusiano wanaleta nuksi na mikosi?

    “amezaa bado alikua mpya” 🤣✌️🤣🤣🤣🤣
  4. T

    Tamasha la WCB Mtwara ladhihirisha Uchumi unazidi kuimarika! Watanzania wana pesa mifukoni

    Duh kwani kiingilio kilikua sh ngapi mpaka kuconclude watu wapo finacialy welloff?
  5. T

    Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

    Kwa maelezo yako hapa inabidi mwanaume uwe 'expert lier' kuushi kwa furaha na hawa wa2....
  6. T

    Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

    Tutumie na picha kabisa za pichu ili iwe rahisi kukupa ushauri ulio bora na wa kitaalamu zaidi....
  7. T

    Tahasusi yenye ajira nyingi na yenye urahisi wa kuchepukia kwenye kazi nyingine kati ya PCM na PCB

    Fikiria zaidi kujiajiri huko tunakokwenda technology itareplace ajira za wengi...
  8. T

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Quora Livescore Memo Wordweb Shazam Uber Aliexpress 17track Biblia Any.do Map E.t.c. zipo nyingi
  9. T

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Salaam, Bado wafanya hii biashara ya ufuta. nataka kuanza kama chomachoma- mnunuzi binafsi. ningependa kuomba ushauri. asante.
  10. T

    Nisaidieni, nina tatizo la kutokujali ndugu, marafiki na wapenzi

    Mi mwenyewe nina hili tatizo... Baada ya kuoa yaani nimekua mzito sana kucommunicate (sometines i feel like a loner...) hasa upande wa wife tho nawapenda sana ndugu jamaa na marafiki... kinachosaidia ni group za whatsap kukeep in touch.... ila nomeloose sana conections na marafiki.
  11. T

    Kizaizai

    Verse 1} Yanaanza kama safari twende folani ukaone, Kumbe yana nguvu ni hatari ukishanasa ndio uponie..x2 Mungu aliumba dunia na Maajabu yaake Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2 {Chorous} x2 Nyie Mapenzi yanauma (Kizaizai) Yanaumiza (Kizaizai) Oooh kizunguzungu jamaa mapenzi mabaya...
  12. T

    Ndoa yangu hatarini, napewa unyumba kwa kulazimisha

    Nilishaletaga hii topic humu ( www.jamiiforums.com/threads/mke-wangu-hatoi-penzi-ananipangia-ratiba-kwa-wiki-mara-2.977438/#post14701155 ) Ila kwa experience nimegundua mwanaume hakupangiwa kuwa na mwanamke mmoja "biologically".. huo ni mtazamo wangu sio sheria. Nashukuru tatizo limeshapata...
  13. T

    Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Kwa maelezo yako cha msingi ni " mwanaume alikuwa na uchumi mzuri sana." Hapo upo sawa kabisa.
  14. T

    Mke wangu hatoi penzi, ananipangia ratiba kwa wiki mara 2

    Ukimgusa kama kumtomasa anakwambia amechoka anataka kulala so usimdisturb daily... sasa unafanyaje
  15. T

    Mke wangu hatoi penzi, ananipangia ratiba kwa wiki mara 2

    Kumridhisha kivipi wakati hata kudu hamfanyi... fafanua kidogo.
Back
Top Bottom