Search results

  1. M

    Nimeamini ugomvi ni sehemu ya maisha ya ndoa/mahusiano

    Kukwazana kawaida sna kwa wanandoa,vikombe kabatini vinagongana sembuse wanandoa?
  2. M

    Changamoto za Ajira Portal

    Hivi huko ajira portal watu wanapata kaz bila interview kweli?
  3. M

    Anakuja na kurudi siku hiyo hiyo!!

    Pole sana ndugu,kuna walakini Huyo mkeo anakusaliti huko aliko si bure kila wakati asingizie kurudi,jaribu kumwelezea hisia zako kwake atakuelewa.
  4. M

    Ivi ni sahihi kupunguza sifa zako za elimu ili kuendana sifa za kazi iliyotangazwa?

    Inawezekana,nimewahi Fanya hivyo na nikapata Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Wanawake: "Humalizi tu, mimi nimechoka"

    Aisi hii ni kweli sometimes maneno yao yanakela
  6. M

    Ombi la kufundisha

    poa,ni mitihani ya semisita ya sita
  7. M

    Ombi la kufundisha

    Habari! Natafuta nafasi ya kufundisha katika shule za sekondari kuanzia muhula wa pili wa masomo yaani mwezi wa saba, nategemea kupata shahada ya kwanza ya ualimu mwezi huu. Masomo ya kufundishia ni KISWAHILI na HISTORIA.
  8. M

    Msaada namna ya kuwa Tigo freelancer

    fika ofisi za tigo zilizo karibu,ni bure .kipato kipo nikujituma kwako tu
  9. M

    Utumiaji wa GNLD na Forever Living products ni hatari?

    kimsingi wengi hawajapata elimu sahihi kuhusiana na bidhaa za forever,waliotumia ndio mashuhuda wazri wa bidhaa hizi(wanaziamini)
  10. M

    Sijui Kiingereza,nilichekwa baada ya kubumunda lugha ya watu

    sorry madam,i didn't attend at your periods two days ago b'se i was ln the funeral
  11. M

    Kwa wataalamu wa Kiswahili

    ka =hutumika katika udogoishi,mfano kasichana kazuri kamepita, KI hutumika kama kiambishi cha ngeli ya 4 ya KI _VI mfano kitabu kile kimechanika,pia ki hutumika kama kionyeshi mfano kisu kile,pia KI hutumika katika ukubwaishi ,mfano kiazi kikubwa,pia KI huonyesha urefu wa kitu,mfano kiatu...
  12. M

    Ukwel kuhusu biashara na bidhaa za forever living

    nimewahi kuhudhuria semina zao ,kiukweli ni biashara nzuri ukijituma kwani unaweza kulipwa kuanzia 150000,300000,600000,1000000,3000000 N.K kwa mwenzi , ila kiingilio chao ni kikubwa kwani ni 750000 Kama unauwezo wa kushawishi watu nakusihi ujiunge.
  13. M

    Ni lugha gani ya kimataifa ina soko

    kifaransa,ila yataka moyo.
  14. M

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    asante kwa kutuelewesha,je hizi ajira ni endelevu? kama jibu ndiyo,mwaka ujao nitaomba.
  15. M

    Natafuta kazi ya uhazili(secretarial)

    kwenye NGO'S yoyote,ofisi yoyote au taasisi yoyote hapa mkoani RUVUMA.
  16. M

    Natafuta kazi

    mngu ,akubariki ,monica
Back
Top Bottom