Search results

  1. L

    Uganda, Kenya, Rwanda: Hatutarudi nyuma

    Jamani Watanzania tumelogwa na aliye tuloga kaisha kufa.Ulimwengu wa sasa hivi unaenda zaidi kiuchumi na si kisiasa. Ni ulimwengu amboa time is money and whereby you need to make decisions now and not tomorrow. 1: Regarding Railway Tujilaumu wa Tz kwa ujinga wetu, tunayo Reli yetu, tumeiua...
  2. L

    Mji Wa Kigamboni Warejeshwa Temeke

    We need a modern city, there is no any development in this world which occured bila baadhi ya watu kuumia. Hivi wanaoindeleza Dubai ni wapumbavu????? Leo hii project Kigamboni ikitake off nani ataenda kununua plot Masaki ya dola laki 5 na zaid? Je mwamanchi wa kawaida aliyepewa nyumba ya...
  3. L

    Lowassa na Chenge kuhakikisha Membe haingii kwenye top 10 NEC kundi la kifo!

    Nionavyo mimi Mwenyekiti wa CCM ana mambo mawili ya kufanya na kinyume cha hapo chama kimpasukie mikoni mwake maanake makundi hasimu yame kamiana mno; Mambo hayo ni; 1 :Kusukuma hoja mwanamke kusimama kama mgombea wa Uraisi hivyo kuvunja makundi yote. Aslimia kubwa ya wanamtandao si safi kivile...
  4. L

    "Wanaotengeneza ARVs feki nitakufa nao":EFRAHIM KIBONDE

    Haijalishi Kibonde ni nania au ana mahusinano gani na mada tajwa hapo juu? Ukweli ni waliotengeneza RV feki ni wauwaji tena ni wauwaji wa halaiki ya watu sawa na Adolph Hitler. Wanako staili kwa sasa hivi ni Jehanamu. I believe nowadays there are a lots of people who are afraid of taking ARV...
  5. L

    Defination Of Real Beauty

    Mtoto mashalaah, kazi ya Mungu haina makosa hapo na wenye wivu wajinyonge:A S kiss:
  6. L

    Nunua lucky cement in a cheap price!!!!

    Hawa wauza cement wa Lucky cement hawalipi kodi kabisaaaaaaa! Wanatumia excemptions za TIC kukwepa kodi.
  7. L

    Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo'

    Muungano ukivunjika. Islamic Brother hood, Mujahideen, Bokho Haram etc etc watajazana sehemu moja ya muungano kule wanakowapiga risasi watu kwa kuuza pombe. Ni nani anataka kuwa jirani na Somalia? Muungano huu unabeba matatizo mengi ambayo siku ukivunjika walihi Bilahi....................
  8. L

    Butiku, Kitine, Kaduma, Salim, Warioba, wana nguvu?

    Great thinkers hawajadili watu wanajadili issues, kama unamjadili mtu then you are not a great thinker. Ukiwa jambazi aikuzui kumuita mwenzio jambazi, inawezekana wazee wetu walikosea zamani but probably wameishajua kuwa walikosea. Sidhani kukosea kwao kunawakataza kutushauri, jamani Tanzania...
  9. L

    For Mens Only: Wapi Totoz Kali Africa?

    Kaka mpaka sasa naona wa Angola wanatisha
  10. L

    DCI Manumba: Mwakyembe hajalishwa sumu!

    Tuhuma za, EPA, MEREMETA, RICHMOND na MWAKYEMBE kulishwa sumu zote ni uongo:lol::lol::lol:. Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!!!
  11. L

    Pichani kasi ya Lowasa si ya kawaida

    Eddo akiukosa Uraisi atakufa kwa pressure maana anatumia nguvu mno kupita maelezo kuutafuta, jamani Ikulu ni mzigo hapafai kukimbiliwa!!!!!!!!!
  12. L

    Watoto wa kariakoo mpo jf?

    Enzi hizo mtaa wa Pemba ndo kulikuwa kunapatikana raba mtoni,mashati ya yekeyeke,bati (jeans).Sabuni na Colget toka nje. Mwee bila kusahau watu walikuwa wanafungiwa matambara badili ya nguo (kupigwa kagari)
  13. L

    1st graduates from Oprah Winfrey's school in SA

    This is what is called to leave behind a legacy.Mungu azidi kumpendelea huyu mama
  14. L

    Kilewo: Wabunge wa Dar acheni kulalamikia kauli ya Magufuli, chukueni hatua

    Woote mnaoongea mnaongelea Magufuri kuwaambia wapige mbizi, wananchi kumzomea na kumtusi ni mnaona sawa!Kuwa kiongozi haikuondelei mtu ubinadamu na mara nyingi wengi wetu tungezomewa na kutukanwa lazima tungetukana zaidi ya hapo bora yeye kawa mstaarabu. Wengi wetu tungesema kxxxxx zenu. Ukweli...
  15. L

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    Baba wa Taifa alituhusia"mtu mwenye kuitamani Ikulu na hasa akipita huko na huko tena ana honga pesa hatufai! tumuogope kama ukoma! tumuulize izo pesa kapata wapi? atazilipaje? Ikulu kunabihashara gani? Ikulu ni mzigo hapafai kukimbiliwa" Historia ni jambo zuri sana na inafaa tuwe tunaifuatilia...
  16. L

    Huyu mwanaume ni balaa......

    Niko Delhi- India Kujamba huku ni kama kawa! Lazima jamaa yako atakuwa Khanji bai huyo
  17. L

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    Mwaka juzi/jana Rwanda mambo kama haya yalitokea, wauza mafuta waligoma kufungua pump zao wakadai mafuta yamewaishia, na hawawezi kuagiza tena maana bei elekezi itawatia hasara. Kama kawa mwanaume wa shoka Kagame akawa kapewa rungu!!! Amri akatoa kwa jeshi likatoka makambini likakaa kwenye...
  18. L

    Zizou vs Ronaldinho

    Kaka Dhino is the best footballer ever in this planet, namkumbuka siku ile Barca walipo kipiga na Real Madrid ya Ukweli Ukweli (Zizhou, Delima, Spice boy, Figo, Raul, n.k) ndani ya St.Barnebaeu, Barca waliipiga Real 3-0. Dhino alichukua mpira toka katikati ya uwanjaa na kufunga goli. I libidi...
  19. L

    CCM yakiri Jey Key amekwama. Hapo patamu

    ukweli ndo huo maisha sasa yamekuwa magumu tena kuliko ENZI ZA MWALIMU, mie Guninita na muona ka katumwa vile??? Muungwana nadhani hata ndani ya chama chake kuna makambale ambao wameshaanza kuota masharubu.Mrema enzi zake NCCR-Mageuzi alikuwa anapiga chini watu kama hawa. CCM ni chama tawala...
Back
Top Bottom