Search results

  1. Y

    Madawa ya Kulevya: Mtanzania aishie Marekani ashtakiwa kwa kuingiza heroin nchi humo

    Matola, wala usibishane nao mimi hiyo ya Gatwick to Heathrow niliipita miaka ya mwanzo 2000 - 2003 nilikuwa natoka US naenda bongo thru umangani. Haikusaidii kubishana na asiyekubali.
  2. Y

    Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

    Sio binti mkubwa, huyu ni mdogo wa Veronica ambaye alikuwa kichwa sana pote aliposoma. Ila huyu ni tofauti Na dada yake anzia primary. She was more social than the sister. Ndiye mwenye kuandaa miss universe ya Tanzania. Aliyemtoa Flaviana Matata!
  3. Y

    Forbes: Orodha ya wasanii 25 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani mwaka 2012

    Ndugu, he is 47 and he has lost a lot of fat on his face and body. Kashakuwa mtu mzima ati....
  4. Y

    Wizi wa Pesa za Kodi Dar es Salaam aiport

    Mbona hiyo ndogo, mi nilikuwa namaliza mihuri ya uhamiaji kabla ya kuondoka nikaambiwa kuna afande anataka kuniona. Nikajua toba, labda kuna mtu aliweka madawa kwenye mizigo waliyonipa ya ndugu zao. Basi huyu afande na minyota kibao na kirungu akawa ananisubiri kwenye corridor, hee si kaanza...
  5. Y

    In a Land Not Named: A Clowns' Paradise

    I hate clowns and the sad thing is, am from the land of clowns!
  6. Y

    Msanii DIAMOND PALTINUM in his new ride MERC SL500

    Kaka hiyo sio SL500, hii ni coupe ya C -class, might be an old CLK, Mercedez dont make these round eyes anymore!
  7. Y

    Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

    Nyani umeangalia jalada la kesi vizuri? Kesi inayoongelewa hapo na Invisible ni ya Winnebago county na ilitokea Forest City, IA...Na inafahamika sana...Kuna mdada Mnamibia alikuwa akiitwa Pansi alishitaki.
  8. Y

    Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

    Ndugu hiyo 83/84 jamaa ndio alikuwa standard seven Obey....hao watakuwa ndugu zake! R.I.P mazee!
  9. Y

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Kaka asante sana kwa muktasari wa hizi bendi....mimi ni mdau mkubwa wa SIKINDE na TINGISHA ila Niko Zengekala alinikuna moyo sana na Jakii na Solemba.....
  10. Y

    JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

    Nayazibua special occasion sana sana haya ya Thompson......... Don Kiranga linatoka lini?
  11. Y

    JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

    Mkuu, hilo gozo Cuban nini?
  12. Y

    ~>>~ Capri Point ~<<~ The Erica Tossi Story...

    Kaka umeanza ugomvi tena.......kiu hii!
  13. Y

    Full handas

    Kaka hiyo movie coming to Amerika mwisho kabisaa....where is the spoon.....ahaaaa!
  14. Y

    TANZANIA: Historia ya Taifa Letu na Sheikh Yahya (RIP!)

    Kaka William, hivi ile bulga ya USAID ndio Oatmeal ?
  15. Y

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    Naona Mzee kaamua kupumzika, haya we endeleza mbwembwe
  16. Y

    Zimua (msamiati mpya)

    Watu wanazimua miaka yote hamna jipya hapo. Ukipiga mitungi kesho yake unazimua kupunguza mning'inio!
  17. Y

    "Watangazaji Bora wa mpira Tanzania...."

    Dominick CHilambo:Jongo, nafikiriri unanipata? Jongo: Ndio Chilambo. Chilambo: Huku Mwanza vijana wa Tuit Puissant Lindanda wanafungua kitabu, mpira ulianzia kwa Nico Bambaga akafungua chumba kwa ball dancer Mao Mkami ambae bila ajizi alimsogea Hamza Mponda na kumpeleka shule kipa wa Ushirika...
  18. Y

    Son, I am your Mother

    Nasty!
  19. Y

    Nani ni waziri wa wizara ya Nishati na Madini, January Makamba au William Ngeleja?

    Wakuu Nguruvi3 na Mkeshaji wala msijisumbue na huyo Selemani. Angalieni kila topic inayomuhusu Makamba, kuanzia baba hadi mtoto yeye atatetea..... Nafikiri jibu mmelipata na jibu lako mkuu Nguruvi3 nadhani kijana atalitafakari.
Back
Top Bottom