Search results

  1. maslulkat

    Naomba taarifa na uzoefu kuhusu kilimo cha viazi mviringo Sumbawanga na Mbeya

    Hiyo mbolea ya ruzuku utaratibu wake upoje, na maana yake ni nini?
  2. maslulkat

    Naomba taarifa na uzoefu kuhusu kilimo cha viazi mviringo Sumbawanga na Mbeya

    Wadau ambaye anauzoefu wa Zao hili la VIAZI MVIRINGO tafadhali nisaidie kujibu na kunipatia taarifa zaidi kutokana na maswali yangu nitakayouliza hapa chini, lengo niweze kufahamu nini kinahitajika na nianzie wapi. 1. Baada ya kuandaa shamba, Ni mbegu gani nzuri zaidi? 2. Je, hekari moja...
  3. maslulkat

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Umetisha sana, ni ushauri ambao hata mimi nimeuchukua
  4. maslulkat

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Iwe used isizidi miezi mitatu
  5. maslulkat

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung A51 5g 6GB Ram na storage 128GB ntaipata kwa bei gani?
  6. maslulkat

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kijana utakayeandika baada yangu Tambu kwamba hii thread ilianzishwa 2012......
  7. maslulkat

    IGP SIRO kutamka neno "HAKI"

    Je, IGP Siro kutamka na kusisitiza neno haki linaendana na Namna Jeshi lake linavyotenda kazi? Naamini anajua na anatambua wazi ni jinsi gani Jeshi lake lilivyo mstari wa Mbele kutoishi neno HAKI, Jeshi linaloongoza Dhuruma, uonevu na matendo yote ya ajabu.
  8. maslulkat

    Wabunge vichwa maji CCM

    CCM hata kama mnataka kuiba kura term ijayo kama kawaida yenu, jitaidi muwe mmeweka na watu competent katika kutetea maslahi ya nchi kwa ujumla, sio mnatuwekea watu kama kina Babu Tale, et al. Au huyo anayemsema mayele kutetema na wengine wengi tu.
  9. maslulkat

    Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

    Hamna anayeijua Forex, then aache kutrade. Kwasababu most of retail traders ndio hao unawaona wanakurupukia soko, and pro traders ni wachache sana, you need Time to be a pro.
  10. maslulkat

    Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

    Find knowledge kuhusu Fx, soma sana find strategies na hapa watu huwa wanafeli, wanaingia sokoni then anahisi tayari within a day amejua na anaweza kusell or kubuy ila kujua why, he or she is doing so, kwahiyo find knowledge and you enjoy. Anyway forex sio gambling ulinganishe na sportpesa
  11. maslulkat

    Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

    Binafsi Biashara ya FOREX, naisemea kwamba inahitaji uijue wewe mwenyewe kwa kutafuta knowledge yake na kuelewa ni nini unafanya uingiapo sokoni 1. Weka Trading Plan 2. Acha Tamaa ya kutaka kutajirika within a day 3. Usitegee Signals kwa mtu 4. Uwe na muda wa kutosha.
  12. maslulkat

    Vijana tufanye kazi nyingine, hamna tajiri Tanzania aliyetajirika na Forex

    Kwa kuwa umeongelea kuhusu kupata signals hapo ndio utaliwa hadi ukauke find knowledge and use it, utafurahi mwenyewe.
  13. maslulkat

    Je, naweza tumia VISA yangu ya CRDB ku trade Forex?

    Jibu swali uliloulizwa maana umejibu kitu ambacho ni out of topic, huu ndio ubaya wa Tanzania ujuaji mwingi sana and nani alikuambia ukishindwa wewe kitu na mwenzako atashindwa, ujuaji mwingi sana.
  14. maslulkat

    Ndani ya pazia juu ya malalamiko yanayohusu rushwa ya ngono (intern) katika Hospital ya Rufaa ya Mbeya

    Anha hapo sawa kwa hiyo kuna wanafunzi tofauti wa chuo cha songea na tawi la udsm.. Hapo nimekupata mkuu Sasa madaktari Kama hizo tuhuma ni zao wamezingua maana uwezi kuomba rushwa ya ngono ili mtu afaulu haileti maana...afu Mbona vyuo vingine Haijawai kusikika..na hilo tawi la udsm na chuo cha...
  15. maslulkat

    Ndani ya pazia juu ya malalamiko yanayohusu rushwa ya ngono (intern) katika Hospital ya Rufaa ya Mbeya

    Mwifwa, Sawa sawa na amini kuna team itakua imetumwa na wananchi tutapata taarifa tu nini kinaendelea...maana huyo anayeonesha ndani ya pazia sijui anataja wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam Mara sijui wanafunzi kutoka songea...na baki najiuliza wanafunzi kutoka songea na chuo kikuu wapi...
  16. maslulkat

    Ndani ya pazia juu ya malalamiko yanayohusu rushwa ya ngono (intern) katika Hospital ya Rufaa ya Mbeya

    Basi ni hatari Sana...naona taarifa imefika wizara ya Afya...na inahusu intern....hapo Itabidi uchunguzi ufanyike Kama walianza kulalamika wanafunzi maana yake kuna kitu kinaendelea tu...sio bure walianza wanafunzi Halafu walalamike na hao sijui interns
  17. maslulkat

    Ndani ya pazia juu ya malalamiko yanayohusu rushwa ya ngono (intern) katika Hospital ya Rufaa ya Mbeya

    Aisee ni taarifa kumbe ambazo kuna watu wanazisambaza.... Maana Jana nimeona taarifa ya habari nikajiuliza huko Mbeya kulikoni tena jamani....sasa wanaosambaza wanafaidika na nini...hii Dunia basi tu
  18. maslulkat

    Takribani wanafunzi 1,129 wame-disco UDSM na wengine zaidi ya 7,000 wanatakiwa kurudia mitihani yao

    Siasa how? Kwamba chuo kinataka watoto wamaskini wafeli tu hivi hivi..maana udsm ni miongoni mwa vyuo Tanzania chenye idadi kubwa ya watoto wa maskini wanaofika chuo na kujifanya wametoka familia tajiri...halafu wanasoma kwa kuzembea na kusahau...udsm ufata sheria na hawana mchezo na mtu..
Back
Top Bottom