Search results

  1. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    nakuunga mkono mama anauwezo uliza mtu yeyote aliye wahi kwenda kusahisha mtihani wa taifa wakati wa uongozi wake. hakukuwa na masihara na pia kuwa necta anaijua elimu yetu vizuri kuanzia msingi hadi a level kupitia majukumu yake pale necta. Elimu ya chuo nayo anaijua vizuri kwa kuwa muhadhiri...
  2. M

    Wonderful architecture buildings

    architects wetu ni copy and paste
  3. M

    Aliyemshambulia Dr. Stephen Ulimboka ni huyu...

    "liwalo na liwe " Mizengo Pinda 27 juni 2012 kwenye bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania "Sasa hata hatujazungumza wameanza kutangaza mgomo, sasa afadhali tuzungumze kwanza maana mgomo una kasheshe zake, mkigoma hamtaachwa, askari watawapiga virungu na hata wengine kuweza kupoteza maisha...
  4. M

    Mkombozi Bank;Ni sahihi kutumia Mpemba ktk tangazo la biashara ?

    dah hajui wapo kina kibela wana hisa mkombozi bank sasa waweke wapi hela zao kama sio mkombozi bank walipowekeza
  5. M

    Elimu ya Godbless Lema utata mtupu

    Dr Balali alikuwa na PHD na marehemu rais Samora Matchel wa Msumbiji alikuwa na elimu ya kawaida hebu linganisha hao wawili...La muhimu ni utumishi uliotukuka mwisho fuatilia elimu ya Abraham Lincolin na Jacob Zuma
  6. M

    Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt

    siasa chafu ndo matokeo yake upo kwenye nyumba ya kioo unajiona upo safe
  7. M

    MORE PRESSURE: CDM Wasiposhinda Arumeru East Uongozi mzima wa Taifa LAZIMA Ujiuzulu

    hata mimi naunga mkono waachie ngazi wakishindwa arumeru uchaguzi wa mwisho
  8. M

    Kampuni za Blandina Nyoni zinavyofanya ufisadi serikalini

    ana saluni moja posta nshaambiwa dear naomba hela ya salon kwa mama nyoni ndo best hapa Dar 20000 kusafisha nywele
  9. M

    Ikulu: Rais hajaidhinisha posho za wabunge!

    Raisi aongee tumskie anapinga usishangae badae akisema mimi sikuwaagiza kurugenzi ya mawasiliano bada ya kusikia mziki wa wabunge mbona nilisha saini toka mwaka jana
  10. M

    Bunge Lijadili Hoja ya Dharura kuhusu Mgomo wa Madaktari

    Hajamaa hawapo makini katuma ujumbe wa kwanza una waziri na naibu wizara ya afya na waziri wa utumishi wa umma kaja Pinda na ujumbe una waziri afya,ulinzi ,utumishi na mambo ya ndani. Mgogoro unahusu masilahi lakini kwenye mazungumzo waziri wa fedha hayupo .Matokeo yake badae waziri wa fedha...
  11. M

    Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

    Muhimbili wanasema ni kwa ajili ya first aid matibabu zaidi nenda Appolo Viongozi wa Tanzania Hospital (AVTZ)
  12. M

    Mkataba mwingine wa kijinga: Liganga na mchuchuma

    wachina wa siku hizi sio kama wa wakati wa Mao kwanza ndo wnaongoza kwa migogoro ya ajira in short wanyonyaji rais Sata wa Zambia alishasema atawafukuza akichukua madaraka .Tusubiri tukiwa na uwezo tuchimbe wenyewe nenda China kama watakupa hata 1%
  13. M

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    jamani wote watatu Ngeleja ,Malima & Jairo wajiuzulu... jamaa hawan uwezo
  14. M

    Wilson Mukama: Public and Private Profile

    ameharibu mbaya pale afya hakuna kitu hapo
  15. M

    Kamati Kuu CCM na Uongozi mpya, habari mpya

    anatakiwa wajivue gamba na mawaziri pia Ngeleja,Mwinyi,Sophia Simba..... watoke
  16. M

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    alifanya madudu pale wizara ya afya alipoondoka walifurahi waulizeni watu wa wizarani ikabidi aletwe mama Nyoni kuweka mambo sawa hadi sasa mama Nyoni anahangaika na madudu yake ,Je CCM ataiweza ? pia ni mshikaji sana wa JK kama kawaida yake ushikaji mbele
  17. M

    Maoni ya Wadau Kuhusu Katiba Mpya Kutoka Dodoma - Live Star TV

    waache si tunasubiri referendum NO zitakuwa 70%
  18. M

    Mabomu ya Machozi yatumika kuwasambazi wananchi pamoja na Wanafunzi Mjini Dodoma

    kwanini hawajatumia ukumbi wa CHIMWAGA UDOM na NKRUMAH UDSM hii ingesaidia watu wengi kushiriki hapo bungeni kuingia ni balaa hadi upite hizo security checks umeshasahau point zote sababu ya usumbufu wa askari na karimjee inaingiza watu wachache sana kweli naona nia ya kushirikisha watanzania...
  19. M

    Je JK Kadhalilishwa na MUHAS

    Luteni Kanali Dr Dr Dr Dr Dr Jakaya Mrisho Kikwete
  20. M

    Zitto arudishiwa uongozi wa Bunge na CHADEMA, wamtambua Kikwete

    kwa hiyo maamuzi ya kumkataa Kikwete hayakupitishwa na kamati kuu ya Chadema ? uamuzi wa kumkubali umewahi mchakato wa katiba ungeanzx at least sa hivi Chadema inaonekana chama kisicho na msimamo.Mabadiliko lazima yawe na gharama kwa kuchekeana kATIBA iliyoboreshwa sahau
Back
Top Bottom