Search results

  1. P

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa Mchungaji Mtikila. Tangulia Mtanganyika. Ukionana na Edward Sokoine na JK Nyerere waambie Uchaguzi wa Tanzania ni Oktoba 25.
  2. P

    UKAWA Simiyu kimenuka: Mama Regina Lowassa atoroshewa mlango wa nyuma

    Mleta mada hii aweke picha wakati Mke wa Lowassa akitolewa kama ni kweli
  3. P

    M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

    Mmmmh ya mwaka huu ni kali kinoma. Kinana anasubiri nini naye kuhama ccm?
  4. P

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Mgombea urais wa UKAWA kupitia Chadema, Edward Lowassa Agosti 16 siku ya Jumapili atawasili Mwanza kwa ajili ya kujitambulisha na kuhutubia mkutano wa hadhara pale Uwanja wa Furahisha. Wadadisi wa mambo naomba mniambie patakuwaje siku hiyo?
  5. P

    Watinga na vyandarua vituo vya kujiandikishia kwa BVR

    Ikiwa hivyo kwa watu wote Polisi hawatapiga mabomu kweli?
  6. P

    Watinga na vyandarua vituo vya kujiandikishia kwa BVR

    Nimeipenda staili hiyo
  7. P

    Watinga na vyandarua vituo vya kujiandikishia kwa BVR

    Ili ujue kwamba safari hii watu hawadanganyiki tena, kijana huyu akiwa ametinga na chandarua chake kwenye Kituo cha Kuandikisha wananchi katika Daftari la Wapiga Kura Kalangalala mjini Geita. Tayari kwa kujikinga na mbu waenezao malaria iwapo hataandikishwa siku husika na kuamua kulala kituoni...
  8. P

    Kinana kufunga barabara jijini Mwanza. Je, ni haki?

    Mapolisssi ni sawa na matumwa ya CCM
  9. P

    Mwenyekiti wa BAWACHA Wilaya ya Magu ahamia CCM

    Hilo lijimama limeolewa? Mbona lina sura mbaya hivyo?
  10. P

    Ni halali Kinana wa CCM kuongozwa kwa king'ora na Polisi?

    Polisi leo waliongoza msafara wa katibu wa CCM Kinana kwa king'ora jijini Mwanza. Magari yalizuiliwa, je ni halali?
  11. P

    Makongoro akataa tamaa na mbio za Urais CCM?

    Jamani gongo hizi, Makongoro ndo rais ukibisha hilo labda ulishawahi kugongwa nyuma
  12. P

    Makongoro akataa tamaa na mbio za Urais CCM?

    Mleta maada apunguze bangi la sivyo namtonya kamanda Nzowa
  13. P

    Updates: Mkutano wa Zitto Kabwe Lindi

    Nasikia kazomewa tena au?
  14. P

    Vincent Nyerere atimiza ahadi ya kuboresha kituo cha afya Nyasho kutoa huduma ya upasuaji

    Ilivyo nzuri ni kama zile za Indonesia vile. Namuona hapo Diwani Sondobi anacheki vitanda, safi sana Vincent Nyerere endelea na kasi ile ile waliyoishindwa magamba CCM
  15. P

    Mkuu wa Wilaya ya Bariadi amwomba Rais amfukuze kazi

    Mmh inawezekana kweli aombe kufukuzwa kazi aache maulaji? Mwenye taarifa sahihi atujuze jamani
  16. P

    EWURA yatua Kanda ya Ziwa!

    Watu wengi bado wanailalamikia Serikali kwa kuongeza ushuru kwenye mafuta katika bajeti iliyopitishwa juzi, kwamba hali hiyo itaongeza zaidi ugumu wa maisha kwa Watanzania hasa masikini. Wakati hayo yakijili, Mamlaka ya Serikali yenye wajibu wa kusimamia nishati na maji (EWURA) leo imefungua...
  17. P

    Mkutano wa ACT-Wazalendo Kishiri Senta, Kata ya Igoma jijini Mwanza

    Hahahaaa unapenda ya nyuma wewee
Back
Top Bottom