Search results

  1. B

    Mbunge Joseph Mbilinyi (SUGU) ataka TRA wamtoze kodi RICK ROSS show ya leo...

    mheshimiwa anataka kuingiza burudani ktk siasa zao chafu....yeye analipa kodi gani kama mheshimiwa wkati tunaambiwa waheshimiwa hawalipi kodi?? anataka kujifanya yeye ndiye anauchungu na watanzania??? majungu yake aliyoyaanzisha wakati ule amekwama sasa anatafuta jingine...ashindwe
  2. B

    Malipo manono tume ya katiba

    Hakuna kikwazo chochote...waacheni wafanye kazi yao ngumu ktk mazingira mazuri ili waweze kutuletea kinachosubiriwa na wengi...usiangalie kiwango angalia kazi waliyopewa au majukumu waliyopewa....mboni weatanzania mnashangaza sana...sasa mlitaka walipwe kiwango gani?? halafu mje kuzungumza...
  3. B

    200billion kukodi madaktri ni sahihi

    Watanzana acheni uzushi.....sasa kama madaktari wamegoma na hawataki kuendelea na mazungumzo serikali mnataka ifanye nini??? watu wanakufa,hakuna huduma,na sheria inasema watoa huduma hawatakiwi wagome mnataka serikali ifanye nini??? Kama wametenga hz naomba waongeze fedha zingine waje...
  4. B

    ACP Hemed Msangi...

    Fanya Utafiti kwanza kabla ya kuleta ujumbe kama huu ktk blog...mimi nawashangaa sana watanzania hivi ni kwanini tuna penda kuwa na Tabia za kizushi??????????? unajua uzushi unaleta usumbufu mkubwa kama kweli kamanda kahusika huyu aliyeleta huu ujumbe alikuwa wapi?? acheni uzishi hauna ukweli wowote
  5. B

    Nchi ipo ktk hali ya hatari, Rais kukutana na baraza la usalama la Taifa

    Wote pia ni wadhaifu sababu mnapenda kujadili vitu visivyowahusu....mnataka kujua kila kitu haiwezekani ndugu wadhaifu.....acheni kujadili ishu zisizo kuwa na umuhimu kwako ,wao wanakutana kujadili mambo mengi kitaifa haswa masuala ya sekyuriti...tuwaache wakuu wajadili.
  6. B

    Simbachawene issue ya ulimboka imekuokoa

    Acheni uzushi...watanzania ni watu wa ajabu sana ..mnapoteza muda mwingi kulumbana ktk mambo ya kipumbavu na kijinga...mtu amshasema mwenyewe na wengine tumefanya uchunguzi wa kina sio kweli mheshimiwa kupatwa na tukio lile....siye yeye ila kuna mfanyabia ndiye alipatwa na tukio na amefanana...
  7. B

    05 Julai 2012!

    Usitulazimishe wananchi wote tugome kwa lipi?? mimi sio mtumishi wa serikali ,mimi ni mkulima ,nimetumia elimu yangu ya juu kwa kilimo na inanipatia faida kubwa sana kuendeleza msisha yangu na ya familia zangu kwa ujumla...kama wewe umeshindwa kutumia akili yao uweze kuishi tafuta njia mbadala...
  8. B

    Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

    wewe uliyeleta hii Habari hapo juu UNA UHAKIKA GANI NA STORI ULIYOIWEKA?? Lazima wewe unahusika kama nikweli ulichokiandika kina ukweli ....usileta propaganda hapa za kutaka watu waamini unachokisema...huna ukweli wowote zaidi ya uzushi tuu. Acha habari za KUFIKIRIKA.
  9. B

    Tamko la madaktari bingwa MNH, MUHAS na ORCI

    Maandamano hayana Tija....wasomi kuweki makini na mambo mnayoyafanya
  10. B

    Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

    Ndugu wana blog ya jamii...acheni kuzusha vitu msivyovijua...mnatupeleka wapi sasa?? ndiyo maana hii nchi kila mtu ni mwanasiasa,kila mtu ni daktari,kila mtu ni kila kitu hata kma hajasomea fani husika...andika kitu unachokifahamu na sio uzushi usiokuwa na tija kwa Taifa.
  11. B

    Dowans: Another Richmond in making?

    Serikali ya Tanzania inaongozwa Kisiasa zaidi na isitoshe hata hiyo siasa yenyewe hatuijui vyema yaani ni wababaishaji tuuu .....sasa hakuna watendaji serikalini ila kuna wababaishaji ndiyo wamejaa .....badala ya kushughulikia vitu kitaalamu zaidi wao wanapiga makelele kutafuta UMAARUFU kisiasa...
  12. B

    Tanzania na tishio la migomo

    Hii ndiyo ARI MPYA,KASI MPYA NA NGUVU MPYA tusishangae sana kuona hali hii ikitokea sasa kwa taarifa ni kuwa migomo itakuwa nchi nzima kuanzia chini kabisa mpaja juu kwamaana hata wananchi sasa tutaendesha mgomo kuwa hatumtaki rais wetu kwamaana ametudanganya wakati akiomba kula zetu na hakuna...
Back
Top Bottom