Search results

  1. Billyrique

    Jipatie mabati kwa bei ya kiwandani

    kwa kanyumba ka 15090mm X 11200mm itanihitaji bati ngapi hapa hizi za migongo mipana? roughly?
  2. Billyrique

    DNA test aliyoifanya mwanamuziki Bobi Wine yaonyesha kuwa mtoto aliyemlea kwa miaka saba sio wake

    Mi nionavyo aliezalilishwa ni Mwanaume na si Mwanamke!!
  3. Billyrique

    DNA test aliyoifanya mwanamuziki Bobi Wine yaonyesha kuwa mtoto aliyemlea kwa miaka saba sio wake

    Ukiona mpaka kaamua hv alikuwa anawasi na nyendo za huyoo bibie!!!
  4. Billyrique

    DNA test aliyoifanya mwanamuziki Bobi Wine yaonyesha kuwa mtoto aliyemlea kwa miaka saba sio wake

    Ila mazee kama alimix midume mieili kwa space ya hours of which many ladies can hata yeye inawwzekana alikuwa hajui akaona ambandike anaeona atamlea poa dah!!
  5. Billyrique

    Askofu Mwamasika: UKAWA sawa na muunganiko wa Walevi

    Ninamashaka na huyo roho kama kafunuliwa au atakuwa amefunikwa kabisa. Si poa kucomment issue za kisiasa ukijua kabisa kondoo ulio nao wana itikadi tofauti. Hapo tayari kutakuwa na roho zinazoumia na kujicontradict na kile kiongozi wao wa dini amesema na kuna hatari kondoo watatawanyika maana...
  6. Billyrique

    Kwa mara nyingine Waislam kutumika tena kama mtaji wa CCM 2015

    Mimi sipendi mambo haya ya Udini atakaekuja na hayo simptatii kura yangu. Kumbukeni hili ni Taifa lenye watu waliochanganyikana sana tu. Wakristo na waislamu wameoana wengi tu tuna ndugu tena wa karibu kutoka dini nyingine sasa mnataka kusema nini humu? yeyote alieegamia ukristo ama uislam mm...
  7. Billyrique

    Kiwanja cha kanisa apewa mwekezaji - walaaniwe!

    Hembu jamani tueleweshwe na sisi je hii habari imeishia vipi hasa?
  8. Billyrique

    Kwa tabia hizi LAZIMA UOLEWE

    Kaka sikia ukiina kafikia vigezo vyako beba maana watu wa kando kila mtu atasema Lake na wanaokuwa negative ni kutokana na matatizo yalio wakumba wao. Haya mambo hayana formula u make ur own. Wengi wakibadilika hutegemeana saanaa na wewe mwenyewe. Ukichange jiandae ne yy atachange fastaaa!!
Back
Top Bottom