Search results

  1. D

    Slaa kuibuka Jangwani 90%, Kupanda jukwaa moja na Magufuli kummaliza Lowassa

    Kwa hiyo nae atasema chadema siyo baba yake wala mama yake...siasa kazi kwelikweli
  2. D

    Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

    Ndio vizuri ajue ni kiasi gani sisi wamachinga tunakula vumbi kila siku ili wakiingia ikulu wajue ni jinsi gani wanaweza kutugaiya mapesa na sisi tutoke juani,,,
  3. D

    Bado sijaamini kama CCM inaondoka madarakani

    ccm haing'oki madarakani acheni wehu wenu hapaa,, tuweke na akiba ya maneno ,,,na wala suala la wizi wa kura lisije tuletea fujo buree hapa nchini... Ukawa hamjitambua hataa,, sasa hivi wengine wenyeviti wazima jukwaani hawajui waongee NCCR au NLD wao ni peopleeeeee pesaaaaaaa.......
  4. D

    Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

    Situliambiwa ukipewa hela kula na kura yako utaamua umpe nani... siasa zenu za jamii forum mtaisoma namba tuu,,,lowasa hana chake si CCM wala ukawa.. tupo hapaaaaa
  5. D

    CHADEMA hatuna kofia mbili, Lowassa atakuwa chini ya viongozi wa chama

    CHADEMA wapiga pesa tuu,,mbowe keshapata mgawo wake akatoka mapovuu kumsafisha lowasa mpaka kimeeleweka duuu,,,ama kweli njaa sio kitu cha mchezoo,,, uwasa tena chadema ??/
  6. D

    CHADEMA hatuna kofia mbili, Lowassa atakuwa chini ya viongozi wa chama

    Kwwani wameshasema ndio mgombea wa urahisi?????
  7. D

    CHADEMA/UKAWA, mtawapokea Chenge na Rostam pia?

    Mmejiandikisha lakini au mnapiga domoo tuu hapa ikifika oktober mnabana p,.,,/.,;uu tuu. mjiandikishe kwanza ili muwe na sauti ya kura
  8. D

    Sheria ya mafao inasemaje kuhusu Viongozi Waziri Mkuu anapohama chama

    Na siasa hizi za kukurupuka ni sheedaah... wasubiri kwanza mgombea toka ccm ndio wao wachukue ,,,,cjui,,, namuona lowasa kaja kujisafisha tuuu baada ya kuonekana hafai kitu kwenye ccm... sasa baba paroko atamwachia huyu mkkt?
  9. D

    Sheria ya mafao inasemaje kuhusu Viongozi Waziri Mkuu anapohama chama

    Akili zenu zote zipo kwa luwasa muda huu..wacha tusubiri muda kidogoo mtahamia kwa magufuli wenyewe.
  10. D

    Sheria ya mafao inasemaje kuhusu Viongozi Waziri Mkuu anapohama chama

    Akili za watu wengi majukumu ya kiserikali wanayaona kama ni ya chama,
  11. D

    Kwanini Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa huwa anawakimbia wanahabari?

    Nilisikia kuwa mheshimiwa Mbowe mkewe ni phd holder ..sasa hii haiwezi kusaidia kuongoza kwa mawazo ya mkewe? Mana wenzie wakati wanasoma Mheshimiwa Mbowe yeye alikuwa ni kiranja wa wapiga disko...cjui kama mnakumbuka hii vizuri..au niweke picha yake hapa??? Mbowe kukosa kuwa mkwe wa mzee tei...
  12. D

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Yani kuna mambo mengine yanahitajipia matizi ya akili ya kawaida tuu..sasa kuna kundi lilisubiri kuambiwa kapigeni kura ya hapana nao wamekubali bila hata ya kusoma hiyo katiba..mbona kiongozi mmoja wa dini fulani amesema uamuzi wa ndio au hapana ni wa utashi wa mtu... Naamini ndio maana saa...
  13. D

    Wakati wa kulala unapenda ufanyiwe nini?

    kweli nimeamini wote ni wadogodogo mlochangia hamna hata mmoja anayependa kufanyiwa kitu flani kbla ya kulala.. hata kuambiwa ulale salama dear..
  14. D

    Ni kitu gani special ambacho hautokisahau kutoka kwa mpenzi wako wa sasa au wa zamani?

    Mi huwa nakumbuka mara ya kwanza alivyotaka kuninyonya penis. Basi wacha anikwangue na meno yake, nimetoka kwenye game p.nic utafikiri imepigwa bomu,kweli cwezi sahau kamwe
  15. D

    Kumekucha UKAWA waanza mchakacho wa kugawana Majimbo

    Maandamano bila kikomo nchi nzimaaa Subutuuuuu... we wafanya mchezo na serikali .. watu kimyaaaaaaaaaaaaaa
  16. D

    Dr. Slaa, Freman Mbowe, Tindu Lissu, Warioba, Lowasa: Kwanini wapigiwe chapuo kuwa Marais?

    LOWASA angetufaaa sana ...tatizo ni afya yake mgogoro siku za karibuni. Mbowe HAPANA. KABIXAAA Warioba No Lisu atachuana na Edo ila kula hazitamtosha Dr Slaaa.... yeye akaungame dhambi zake kwanza ....(Zinaa)
  17. D

    Butiku: Mwisho wa CCM miaka 10

    Akili za kuambiwa kweli changanya na zako
  18. D

    Viongozi CHADEMA Wawasili Pemba

    Kuna mzee mmoja wa Lumumba kasema CCM bado miaka kumi tuu,,, sasa sijui ana maana kuwa ni 2015 - 2025? Yaani tuwe tunasubiria tuu mpaka 2025,,,, Tutafakarii..,,,
  19. D

    Katiba imewaamsha waliolala usingizi

    Tuliongeleeni suala hili kwa tahadhari kubwa sanaa,,, watu tuisome katiba kwanza tuielewe ili unapokataa muda wa marekebisho ukifika ujue ni kitu gani hasa unahitaji kirekebishwee, Ni mtizamo wangu tuu lakini.
  20. D

    Hongereni CHADEMA

    Kujitolea kuwahudumia wananchi wenzako au kujitolea maeneo kama walivyofanya CDM si dhambi..
Back
Top Bottom