Search results

  1. MC RAS PAROKO

    Wafahamu watu 20 Matajiri zaidi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam

    Kutangulia kupata elimu na kutoridhika na mafanikio madogo kunawafanya wachagga waendelee kuwa mbele katika masuala kama haya. La msingi ni kujifunza kwa aliyekutangulia bila kujali kabila,dini wala sura. Laiti kama kila kabila lingekua kama walivyo hawa wachagga naamini maendeleo...
  2. MC RAS PAROKO

    Twende Kidigitali 2023 OFFER kwa Wamiliki wa Makampuni Tanzania

    Tuwasiliane mkuu.. Nimetuma email sijui kama mmeona.
  3. MC RAS PAROKO

    Kadiria Kodi kabla ya 31-March, epuka penati isiyo ya lazima ya Biashara au Kampuni yako

    Wamebadilisha kidogo ila still inafanya kazi nimeitumia mwezi ulopita ilikua sawa. ngoja nikutafutie link
  4. MC RAS PAROKO

    Kadiria Kodi kabla ya 31-March, epuka penati isiyo ya lazima ya Biashara au Kampuni yako

    Shukrani sana. Vipi kwa kampuni iliyosajiliwa Brela na bado haijapata Tin wana kuanza biashara hii nayo inahusika kwenye ukadiriaji?
  5. MC RAS PAROKO

    Historia imeandikwa Tanzania

    Ndani ya miaka mitano ijayo kiasi kama hicho cha faida kitaingizwa na Bank moja sio sector nzima. Mazingira rafiki ya biashara ndo kilichohitajika. Subiri shida za Russia na Ukraine zipo mfumuko wa bei urudi chini.
  6. MC RAS PAROKO

    Vyuma vya cannop ya petrol station vinauzwa wapi?

    AIM STEEL PHONE NUMBER +255 27 250 3079 MOBILE PHONE +255 713 400 622 FAX +255 27 254 8461 WEBSITE http://www.aimsteeltz.com
  7. MC RAS PAROKO

    Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

    Anza na kufungua account kwa site yao DSE hii Hapa.. Soko la hisa DSE
  8. MC RAS PAROKO

    Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

    Sijaona changamoto yyte kwa ununuaji wa online so far.
  9. MC RAS PAROKO

    Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

    Pitia Youtube utapata video zinaeleza hii hatua kwa hatua.
  10. MC RAS PAROKO

    Niulize chochote jinsi ya kuclear mzigo mpakani

    Hapo yanatembea kwa bei gani mkuu?
  11. MC RAS PAROKO

    Niulize chochote jinsi ya kuclear mzigo mpakani

    Nimekuwekea link apo masta
  12. MC RAS PAROKO

    Niulize chochote jinsi ya kuclear mzigo mpakani

    Hilo nimetengeneza kulingana na matakwa yangu.. ila bei unaweza zipata hapa https://www.mit.go.tz/documents/product-prices-domestic
  13. MC RAS PAROKO

    Nahitaji kununua sola, ushauri wenu please

    Chukua system ya watts 200 ila kama uwezo upo nenda juu zaidi. Hatari ya kuchukua system ambayo iko sawa na vifaa vyako ni kwamba jua lisivyotoa vizuri au matumizi yakienda juu umeme utakata.
  14. MC RAS PAROKO

    Naomba ushauri wa Kitaalamu kuhusu solar

    Ukiwa na uwezo chukua battery 2 za 100Ah upate 200Ah ila kama mambo sio mazuri unaweza chukua battery moja ya 100Ah na 5A Charger controller.
  15. MC RAS PAROKO

    UMEME WA DC KTK MACHINE ZITUMIAZO SOLAR/ BATTERY

    Usichanganywe na neno Volt (V) ili kuelewa vizuri Volt ifanye kama pressure kweny bomba la maji. Maji yanaongezwa pressure ili yaweze kwenda mbali zaidi, Vile vile umeme unaongezwa Volt (Pressure) ili uweze kwenda/kusafiri mbali zaidi. Hii ndo sababu umeme unatoka Mkoa hadi Mkoa unaona unakua...
Back
Top Bottom