Search results

  1. C

    TRA ONline job application

    Mimi mwenyewe nimeamua ku-give up, watakosa watu wengi sana kwa mtaji huu
  2. C

    Tanzanian Mining Expert Appointed General Manager of African Barick Gold Mine

    I know this guy. He is a very good guy. Mwaka jana tu kampuni ya Shanta Gold walimchukua kutoka Barrick na kumuahidi pesa nzuri tu. For a short period ambayo alikuwa hapo nimeona jinsi alivyokuwa ana-tetea maslahi ya Geologists watanzania na nadhani hawa mabosi wa shanta hawakuipenda hiyo ndo...
  3. C

    Nahitaji Gari

    Hivi nikihitaji five doors ya early 2000s with not more than 100000kms na ambayo haijatumika hapa Tz but imetumika lets say Japan bei yake ni sh ngapi?
  4. C

    Mashine za bakery zinauzwa

    tupe bei pls
  5. C

    JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    Hapa kazini kuna mzee mmoja wa kiislamu kaniambia eti leo waislamu wanaandamana ili kipengele cha dini kiwekwe kwenye questionnaire za sensa mwenye uhakika juu ya hilo atujulishe.
  6. C

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    jamani vipi bado tu?
  7. C

    Msaada wa kisheria kuhusu umiliki wa hisa nje ya nchi

    Habari wana jf, naomba kuuliza hivi inawezekana kwa mtanzania kumiliki hisa katika masoko ya hisa nje ya mipaka yake? tuanzie hapo halafu nitauliza zaidi
  8. C

    Cheking your SIM Card Registration Status

    Nimejaribu voda ime-comfirm kuwa nimesajiliwa lakini tigo inakataa, inarespond kwa sms kuwa niandike jina langu na namba ya fomu nitume kwenye 106. Jina halina neno tatizo ni hapo kwenye form maana nilisha-misplace. Inaonyesha tulifanya kazi ya bure kwenda kupanga foleni na kujisajili kwenye...
  9. C

    Je rukhsa kuoa mdogo wake marehemu mke wangu?

    Ni kweli kabisa mkuu, Namfahamu mmoja aliyekuwa Hg somewhere na mtoto wa mwajiri akampenda, wakaoana na sasa wana watoto watatu mmoja anaitwa Rachel. It's one of the happy and lovely families here in dar, actually i admire them.:A S 103::dance:
  10. C

    Ooops naona mnakuja kasi wanaume Kunani tena.....

    Nafikiri Mzee Issa Matona alishafariki (naweza kusahihishwa)
  11. C

    Mtoto frank wa Dodoma anahitaji msaada,

    Kwa kweli mtoto analiza. ni kusimama muda wote akiwa darasani na hawezi kucheza michezo kama ya wengine.
  12. C

    wimbo bora wa injili kwa mwaka 2009

    Tuko pamoja.
  13. C

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Thanks alot Next Level. Really appreciate!!
  14. C

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Nimejaribu lakini sijaipata. Kama kuna short-cut ya jinsi ya kutafuta previous threat nitashukuru kama nitaelekezwa. thanks, Chaka
  15. C

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Habari za leo. Naomba mwenye uelewa juu ya gharama za uagizaji wa gari kutoka Japan. Information nilizopatiwa kuhusu gari yenyewe ni kama ifuatavyo: Mode: Nissan Wingroad Year: 2000 Kms: 92,000 Engine: 1.5 Trans: Automatic FOB: US$1,500/- Tafadhali naomba mwenye kufahamu...
  16. C

    Mpoki a.k.a Bepari la kihaya

    Was good
  17. C

    Tusker project fame

    Nimeona hata nyimbo za kiswahili wanaimba isipokuwa lugha inayotumika pale na majaji hata washiriki wenyewe ni Kiingereza. Nafikiri msimu mwingine kama ingewezekana wangehamisha venue isiwe nchi ya Kenya; waweke Uganda, Tz etc kuwaamsha watu wa nchi hizo. Ni maoni na mtazamo wangu
  18. C

    Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!

    Hope he understands. Mungu anakupenda sana hivyo sifa na utukufu na hata hiyo kumbukumbu pia ni ya kukumbuka jinsi Mungu alivyoonyesha Ukuu wake katika maisha yako. Barikiwa.
  19. C

    Bei ya mafuta yashuka-upuuzi mwingine wa ewura

    Ama kweli huu ni upuuzi mwingine kama ulivyosema. Hakuna mtu asiyejua kuwa huwezi kupata Petrol mahali popote bila na kuwa na 1440 - 1550. Shame on you EWURA
  20. C

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    anza wewe kwanza
Back
Top Bottom