Search results

  1. Kandambilimbili

    Elections 2010 Kampeni zamng’oa Mkurugenzi Arusha

    Kwani ni mkurugenzi wa tume ya uchaguzi????? na je anateuliwa au anareport kwa tume????
  2. Kandambilimbili

    Mkemia Mkuu, Ernest Mashimba is NO MORE

    Kwa status yake kama mkemia mkuu nadhani hata maji ya kunywa alikuwa anapima kabla ya kuyatumia, these magonjwaz ya ATTACK hayana maujanja hata MSHTUKO WA KUPANDWA NA MENDE USUNGIZINI WAWEZA KUKUSABABISHIA MAUTI.
  3. Kandambilimbili

    Gari la Papa - Pope mobile, a distrust in God!

    If that is the CASE basi kahoji kwanini NYUMBA ZA IBADA zinafungwa kwa milango na makofuri kibao, kwanini sadaka zinawekwa kwenye masanduku KABAMBE ya kuhifadhia PESA, kwanini hundi za akaunti za DINI zina MASGNATORY kibao, kwanini kwanini kwanini....... H
  4. Kandambilimbili

    Mkemia Mkuu, Ernest Mashimba is NO MORE

    Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa Mkemia Ernest Mashimba, PhD amefariki ghafla huko Tanga alikokuwa amealikwa kama mgeni rasmi kwenye mahafari ya darasa la saba. Mauti yamemkuta hotelini alikokuwa amefikia baada ya kuanguka ghafla, habari ni kuwa kifo chake kimegundulika baada ya dereva...
  5. Kandambilimbili

    Elections 2010 Tamko rasmi la CCM kuhusu kuanguka kwa rais Kikwete

    watasema weee lakini wapi issue ni kuwa RAIS WA TANZANIA AMEANGUKA, tena hii ni mara ya tatu, tunajua sababu zipo lakini ukweli unabaki pale pale RAIS KIKWETE KAANGUKA MARA YA TATU HADHARANI kuanguka kwingine akiwa peke yake ni SIRI YAKE lakini KIKWETE AMEANGUKA
  6. Kandambilimbili

    Wahaya nana

    umenikumbusha mbali saaaan!!!!!!
  7. Kandambilimbili

    Je Housegirl naye?

    Uongo mtupu, wewe sema tu ni k..o.bi mpaka mkeo anakushtukia
  8. Kandambilimbili

    Elections 2010 Dk. Bilal amtisha Rais Kikwete

    Nasikia Bilal ni chaguo la mfanyabiashara mmpoja maarufu wa tz bara mwenyeji wa kaskazini mwa tanzania, mfanyabiashara huyo ameahidi kutumia influence yake kuhakikisha jamaa anakikalia kiti.
  9. Kandambilimbili

    Ushangiliaji wa ki-Vuvuzela... Je, ni haki kwa wazungu kuupinga huu ushangiliaji?

    ebu waulize, ndio matatizo yanayotokana na tabia ya kuibia mitihani
  10. Kandambilimbili

    Nafasi za kazi nchini Botswana

    mmmh kwa maswali hayo nadhani wewe utakuwa na information zote
  11. Kandambilimbili

    Hatimaye Kikwete amsamehe Deus Mallya...

    Upuuzi mtupu, kama ni shushu kweli walishindwa kumtafutia LESENI???? Acheni uzushi nyie ndio mnaipausha JF mpaka kinaonekana ni KIJIWE cha waliokosa kazi, JK kawasamehe wafungwa kwa tatratibu zilizopo na sio kwa majina, ebooooo
  12. Kandambilimbili

    Larry King files for Divorce...number 8!!!!!

    muacheni mzee wa watu apate muda wa kujirusha na TOTOZ
  13. Kandambilimbili

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    YOU have all the weapon but you are shooting yourselves!!!!
  14. Kandambilimbili

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tehee halo halo!!!
  15. Kandambilimbili

    etv Ndani ya TBC

    Ni poa tu, DSTV wemetunyonya VYA KUTOSHA jamani, Hongera ROSE MUHANDO.
  16. Kandambilimbili

    Udini wainyemelea CCM?

    Ungejibu tofauti na ulivyochangia NINGESHANGAA SANA........
  17. Kandambilimbili

    New secretary.....................

    Hivi mfumo dume maana yake hutakiwi kuwagusa wanawake??????????!!!!!!
  18. Kandambilimbili

    New secretary.....................

    Kama ameweza kupiga nje na akatangaza unategemea atakuwa na heshima? Teheee wakati mwingine ujuzi wa mwenzako unategemea mapigo yako mwenyewe, kama kusugua huwezi usitegemee kukatiwa kiuno
  19. Kandambilimbili

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kweli Man U ni jinamiza la wengi, badala ya kujutia pumba zenu jana unatuwaza sisi? pole sana lakini usijali hayo yote uliyoyaona na kuyataja hapa sio makosa ya vijana wenu, NDIVYO WALIVYOAMBIWA WAFANYE NA HUYO Mr. Bean, tehee umanicheksha hapa ndio kwaaaanza nimevuta hizo sura na...
Back
Top Bottom