Search results

  1. Hepatis B

    Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

    We dume jike kwani wapi walisema wamepewa bure.
  2. Hepatis B

    Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

    Pumba wewe. Wenzenu hadi sasa wananua maeneo nyie endeleeni kuoa wake wanne na kusubiri misaada mjengewe misikiti
  3. Hepatis B

    Niliapa kuwa sitakwenda kwa mganga tena

    Movie gan naomba jina niicheki mkuu nahis itakuwa nzuri
  4. Hepatis B

    Niliapa kuwa sitakwenda kwa mganga tena

    Sasa shida ipo wapi akirudia hata mara mia?
  5. Hepatis B

    Tanesco Mbeya (Igawilo) kuchukua maeneo ya watu kwa nguvu

    Mkuu aliyeweka Jf alilenga watu kama sisi pia. Kulalama pia kunawafikia wahusika. Lakini nimejifunza kwamba hata WB naweza kuwasiliana nao. NB. Tumepeleka malalamiko Tanesco wanasema wahusika waliotathimini hayupo hata mmoja wote wameenda Dar. Mara tathimini ilikosewa watakuja na vipimo vya...
  6. Hepatis B

    Tanesco Mbeya (Igawilo) kuchukua maeneo ya watu kwa nguvu

    Habari za mda huu! Naenda moja kwa moja kwenye Mada. Tanesco Igawilo jijini Mbeya wanataka kujenga kituo cha kupooza umeme. Kituo kikubwa kinachodhaminiwa na benki kuu. Shirika hili limeomba kujenga kipande cha barabara ya rami kutoka barabara kuu iendayo Malawi kwa ajili ya kusafirisha...
  7. Hepatis B

    Nini Tafsiri ya mtu anaesema hali mnyama wa miguu minne?

    Mkuu inakuwaje naomba usiharibu nafuatilia wanavyochangia. Asante.
  8. Hepatis B

    Nini Tafsiri ya mtu anaesema hali mnyama wa miguu minne?

    Habari wandugu wa mda huu! Naenda moja kwa moja kwenye mada. Nimepata mdada wa kazi anaesema yeye hali mnyama wa miguu minne yeyote yule. Kuku anakula na samaki. Ila tukipika nyama ya ng'ombe, mbuzi hagusi yupo radhi alale na njaa. Juzi kati kuna rafiki alikuja kunitembelea wakati wa chakula...
  9. Hepatis B

    Msaada wa kuset google adsense account

    Issue ni adsense sio you tube. Sijui nakosea nini
  10. Hepatis B

    Msaada wa kuset google adsense account

    Sijui kitu gan natakiwa kuset kwenye adsense maana kila kitu nimejaza.
  11. Hepatis B

    Msaada wa kuset google adsense account

    Sijui kitu gan natakiwa kuset kwenye adsense maana kila kitu nimejaza.
  12. Hepatis B

    Msaada wa kuset google adsense account

    Sijui kitu gan natakiwa kuset kwenye adsense maana kila kitu nimejaza.
  13. Hepatis B

    Msaada wa kuset google adsense account

    Habari wadau naomba msaada jinsi ya kuset adsense account. Nimeunganisha na you tube channel yangu nimejibiwa hivi mara mbili kila navyoconnect. Msaada tafadhali sijui nakosea wapi.
  14. Hepatis B

    Nahisi naishi na watu wasioonekana nyumbani kwangu

    Mwmba umenichekesha sana aisee!!!
  15. Hepatis B

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Mwamba we ni mwandishi fanyia kazi uandishi unatoboa tu. Achana na business andika vitabu unajua kukonect points vizur
  16. Hepatis B

    Maelezo muhimu kuhusu majini!

    Kila siku majini tu ongeleeni bas hata malaika?
  17. Hepatis B

    Watu wengi wanamuabudu Mungu wa uongo hapa duniani

    Umetumwa na shetani wewe
  18. Hepatis B

    Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

    Poleni sana Mungu awatie nguvu. Madaktari wa bongo hata hivyo kanjanja nyingi sana. Hakikisha ugonjwa unaombiwa unao unaosoma tena pia mwenyewe kwenye internet na dawa unazopewa soma pia matumizi yake na side effects zake. Niliwahi pewa dawa rufaa mbeya nilianza kuumwa sana kichwa bila kujua...
Back
Top Bottom