WADAU EEHHH!!!!
Nimezidi kuzipata kuhusu huyo mama TAPELI hapo jijini Dar es Salaam.
Ni chotara wa Kichaga(Machame) na Mwarabu,
Anaishi nyumba ya kupanga ila anamiliki nyumba kibao,
anatembelea gari dogo nadhani ni Rav4 silver, wakati mwingine Lexus ya cream, na mara moja moja ameonekana na...
Mjasiriamalishupavu,
Naye huyo mama anajiita mjasiria mali kumbe wengi wanalizwa. mama mwenyewe chotara sijui mzungu/mzaramo, mwarabu/msambaa, mhindi/mmakonde.
Jina la kiislam ila anasali kwa Mheshimiwa Mbunge/Dkt, ukihudhuria kanisa lile utamkuta ni kati ya waheshimiwa sana hapo church kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.