Search results

  1. M

    Serikali njooni msaidie kuondoa hii foleni barabara ya Morogoro

    Barabara imefunga mbele ya Chalinze mwelekeo wa Moro
  2. M

    Wakazi wa Dar es Salaam wahaha shida ya maji na umeme

    Tuna mwezi hatujawahi pata tone la maji kwetu
  3. M

    Ni usafi Jumamosi au kufunga biashara?

    Jumamosi kunapokucha mpaka saa nne ni usafi, saa nne mpaka nane ni kubeti (mikeka) na kuanzia saa nane na kuendelea ni EPL au VPL. Sielewi tuendako ukitegemea nguvu kazi ya taifa ndo ifanyacho
  4. M

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Niunge na mimi mkuu, e-mail: mwasha_a@yahoo.co.uk
  5. M

    Picha za Freeman Mbowe na Magufuli yazua mjadala

    Hapo unapopaona panaitwa Mula na hizo nyumba ziko road reserve area, ndo maana waziona hivyo. Nilipokuwa nakua kwenye miaka ya 70' taa nawasha ukutani na maji naogea ya mvua, leo tunaishukuru serikali kwa kutuletea barabara nyeusi na sisi.
  6. M

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Ni Shidaa kweli kwa waongoza magari, Yaani unakaa kwenye kiti cha dereva na kuliongoza gari na mnapata shida hivi, je mkipewa magari ya kuendesha mtaweza? Mmezoea kukanyaga break na mguu wa kushoto na mafuta mguu wa kulia?
  7. M

    Shinyanga, Kwanini mnapiga mawe mabasi ya abiria?

    Wiki mbili zilizopita tukisafiri kwenda moshi mida ya saa mbili jioni maeneo ya mwanga tulirushiwa bonge la jiwe na kusambaratisha kioo cha mbele, nia yao ni gari lidondoke ili wapore.
  8. M

    Tumalize Ubishi: Kati ya Dodoma na Moshi, ni mji upi Umeendelea?

    Tunapozungumzia mji wa moshi ni tofauti kabisa na miji mingine Tanzania. Wengi pia wanashindwa kuelewa mji wa moshi ni mkubwa sana kwani unahusisha satelites zake ambazo ni machame, kibosho marangu rombo na nyinginezo nyingi. Naomba tuelewe mjini moshi sio tu pale stand ilipo ila pia marangu...
  9. M

    Mwenge-Tegeta Road: Poorly designed, poorly constructed! Nani awajibike?

    Kuna kituo kinaitwa samaki njia panda ya kwenda Goba sie tunapaita chinjachinja ajali na majanga kila wakati
  10. M

    Mchele wa pakistani nihatari kwa wakulima watanzania..!

    Sisi wakulima imekula kwetu
  11. M

    Ufugaji wa mbwa bora na wa kisasa

    Nina German shelpher namuuza tuwasiliane Kwa email. mwasha.a@gmail.com
  12. M

    Kwanini paliitwa 'Kariakoo'?

    Pia ikikuwa ni crash programme Ndo maana viwanja vilikatwa vidogo na streets za crossing without much design
  13. M

    Kwanini paliitwa 'Kariakoo'?

    Baada ya vita kuu ya dunia ya 2 Askari wa ki afrika waliorudi kutoka vitani waligawia Hilo eneo na pakaitwa carrier cops. Waswahili wakawa wanatamka kariakoo.
  14. M

    nyumba ya kupanga inahitajika

    Iko Mbezi Mwisho stand mpya ya magufuli, tank lipo parking na ni mpya
  15. M

    Uchakachuaji wa petrol na diesel

    Wadau mie tangu BP wafungashe na kuondoka na mimi gari yangu inakataa mafuta ya diesel kituo chochote, nimefanya uchunguzi nikasikia mwagizaji ni mmoja na diesel inayoingia nchini ni hiyo tu kwa vituo vyote. Nifanyeje wadau?
  16. M

    Nakumbuka: Kuvunjwa kwa Sekondari ya Tambaza na Kuhamishwa Wanafunzi Wote

    Umenikumbusha mbali kweli, hiyo itakuwa seminari Moja iko wilaya ya Hai Kwenye barabara iliyowekwa lami na kufunguliwa na Mkulu juzi.
  17. M

    Tangazo la ''tuko wangapi?''

    Tangazo halifai ukiwa na watoto, sanasana nabadilisha Chanel
  18. M

    Poll:TRA Services

    Sasa magari tunayonunua nchini Zanzibar na yamelipiwa ishuru TRA, yakifika TRA ya hapa Tanzania yanapigwa ushuru mkubwa kuliko tunayoagiza nchini Japan. Mbona tunayonunua DSM tupeleka Mbeya hatulipii ushuru?
Back
Top Bottom