Search results

  1. Lole Gwakisa

    Lema ampa makavu Ally Hapi. Amwambia kuwa hii nchi siyo ya mama yake

    Huyu mwizi wa magari, ubongo umeshapata moto!
  2. Lole Gwakisa

    Bwawa la Julius Nyerere mto Rufiji: The Silver Lining!

    Kweli kabisa, katika matatizo, hasa yanayotokana na naendeleo, fursa zinazojitokeza ni nyingi sana.
  3. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Inawezekana kweli sina akili, lakini ungesema hivyo wakati wa Mwendazake ungetafutwa na kukutwa kichaka cha Mkuranga!
  4. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Tatizo kubwa ni kujifikiria kwa zile pesa zilizoko mfukoni kwako, kiuchumi si lazima iwe hivyo.
  5. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Mkuu au hukuwepo nchini? Nchi ilikuwa inaelekea shimoni kwa kasi ya SGR!
  6. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Mtu akishaitwa mpumbavu ni shida, atakata tawi alilokalia!
  7. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Wafuasi wa Makonda utawajua tu. Hivi risasi 48 zote aliptia mafunzo mgambo wapi kumkosa kosa Lissu?
  8. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Tatizo lako unafikiri umasikini wako unatokana na mtu mwingine , badala ya wewe mwenyewe kujisghulisha upate mradi wako.
  9. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Mkuu unaharisha historia. Ila kiujumla wewe ridhika na ukweli kuwa sasa hivi hofu ya kubzmbikwa kesi, kuwekwa ndani, kesi za kupika uhujumu uchumi, na hata Task Force za kuwsibia safznyabiashara, vyote hivyo hakuna tena. Mama Samia hoyee!
  10. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Flawed logic. Arguments na logic kama hizi ni sawasawa na kusema punda ana masikio mawili, binadamu ana masikio mawili. Kwa hiyo punda ni binadamu!!!
  11. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Kweli pesa imepotea, matumaini yangu kipato kitaongezeka, ajira zimeonhezekap, wawekezaji wanarudi, hali ya hofu haipo tena.
  12. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Katika nafasi ya punda wa kubeba mzigo, Mgufuli aliweza nafasi hiyo, lakini ukuu wa nchi, NO!.
  13. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Ndani ya chama lazima kuwe na mawazo mbadala, endelevu.
  14. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Hata kama katumwa , kwani kuna mtu anaweza kuhodhi ukweli kuwa Magufuli alikuwa dikteta ambaye kwa vitendo vyake kuna watu walipoteza maisha? Ukweli huo hsutofutika.
  15. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia. Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa. Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao. Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na...
  16. Lole Gwakisa

    Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

    Mmarekani akulishe ilibiweje?
  17. Lole Gwakisa

    Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

    Ukiwa na mawazo mafupi wala hujui adui yako anatokea wapi!
Back
Top Bottom