Search results

  1. Smatta

    Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

    Niko area manze, mostly lurking on the background.
  2. Smatta

    Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

    Tanzania hali ya Covid ni mbaya sana. Imeua hadi Rais.
  3. Smatta

    SA monipolizing EA and not Kenya monopolizing EA

    Hahahahaa manze dudes are savages.
  4. Smatta

    SA monipolizing EA and not Kenya monopolizing EA

    Aisee kitambo humu wakenya walikuwa wachache mno, tulikuwa tunangangana na hawa akina eliakeem, Abdulhalim na kina Geza kama kawa, naona vijana wapya wamechukua baton, hadi kieleweke mkuu.
  5. Smatta

    Thank you Mr. President, two US companies sign deal to invest in Kenya

    Perekaaaaa, PHD holder wa Chemistry gani huyo anajibeba kama semi illiterate? Acha emotions, mimi si admire outsiders wowote isipokuwa ndugu zangu wa ki Africa, hilo halinizuii kua opinionated kuhusu Uncle Magu,handlers wake kidogo wamfunze diplomacy.
  6. Smatta

    Thank you Mr. President, two US companies sign deal to invest in Kenya

    nani awaalike mkuu? alafu unadhani kuna world leader anaweza kumualika ********? watajadili nini? kwa lugha gani? wacha wanaojitambua waalikwe aise, nyie Museveni ndie size yenyu coz mkuu wa nchi ana behave nikama mkubwa wa nyumba kumi hivi. Mzaha kando, huwa hamuoni aibu mkuu anavyoongea nikama...
  7. Smatta

    Thank you Mr. President, two US companies sign deal to invest in Kenya

    hata kualikwa hamja alikwa mtawalamba vipi miguu?
  8. Smatta

    Rais Kenyatta apitisha Muswada wa Sheria ya Uhalifu wa Mtandaoni; faini hadi Kshs. milioni 5 kwa habari ya uongo

    The high court has suspended 25 sections of the law, am pretty sure they wont see the light of day. Hapo ndipo sisi na nyinyi tuna tofautiana.
  9. Smatta

    A young woman threatened a demo and the tough boys overreacted to a non-event

    MAJORITY OF TANZANIANS ARE COWARDS, HIDING UNDER THE GUISE OF PEACE, WAOGA TENA SANA NYIE.
  10. Smatta

    Kenyatta atinga party la krismas!

    hahahaha wewe kichekesho tu mkuu, Kenya kuna nini cha kuliwa? Taxes? Kenya ni jangwa 75%, madini sufuri, hatuna chochote cha kuliwa. Tanzania ndugu zangu mna minerals worth trillions of dollars aise, migodi mme kuwa nayo for soooo many years, comparison yenyu upande wa minerals esp gold and...
  11. Smatta

    Tanzania records the largest drop in trade with EAC partners

    Huyo jamaa kanishangaza akimcheka mwenzake kwa kuwa anafanya biashara ya vitunguu na mayai kupeleka Kenya, anaidharau hio biashara bila kujua it's a multi billion business, hahaha hajui watu wangapi wametajirika na wanaendelea kutajirika kwa biashara hio. This kids are really slow man, try...
  12. Smatta

    Tuseme yatosha sasa kuinufaisha Kenya

    Hii mambo mnapenda kusema mmesikia kuwa watu wananyanyaswa wakileta bidhaa Kenya mmesikia na nani? Pita pale wakulima market uone jinsi ma lorry yenye usajili wa Tanzania yamejazana yakileta machungwa, enda marikiti upate kuona magari ya Tanzania yamejaa yakimwaga vitungu. Mbona huwa mnapenda...
  13. Smatta

    Rais Magufuli aagiza kubomolewa kwa Makao Makuu ya TANESCO na Wizara ya Maji, kupisha ujenzi wa barabara Ubungo

    january 2009, miaka karibu nane iliopita ndipo tulikuwa tunajenga barabara ambayo saa hizi mnaanza kujenga, tumekamilisha barabara nyingi sana kuanzia Kibaki alivyoingia hadi sasa. Hatuna cha kununuia jirani zetu, fanyeni yenyu sisi yetu tulianza zamani sana na tunaendelea.
  14. Smatta

    Mungiki again: Dozens killed' in Kenya violence

    manze and we keep dissapointing them, sheesh, whats wrong with dude? 2009? damn
  15. Smatta

    Mungiki again: Dozens killed' in Kenya violence

    stop tagging me in posts that I posted in 2009 chief, are you seriously that bored and idle? digging into archives just to bring up topics that do not apply to any current situation, get a life chief, seriously, get something to do with your time.
  16. Smatta

    Dar es salaam the modern and sweetest city in East Africa (i enjoyed my stay)

    shukran bro, ligi lazima zitakwepo lakini tusipoteze dira ya tunapoelekea na tunapoweza fika tukishirikiana na kuonyesha njia kwa wale ambao wamekuja baada yetu. Viva East Africa.
  17. Smatta

    Dar es salaam the modern and sweetest city in East Africa (i enjoyed my stay)

    Mkuu Eliakeem unajua mimi na wewe tumeanza ubishi hapa JF karibia miaka kumi sasa, kuna alot of opportunities we have lost kwa kuwa huwa hatujaribu ku form connections and networks huku kwenye hii ligi yetu. Tunaburuzana tu na kudanganya watoto wanaojiunga upya jinsi waKenya wanawachukia wa...
  18. Smatta

    Dar es salaam the modern and sweetest city in East Africa (i enjoyed my stay)

    Eliakeem, mimi nimezunguka kote east africa, hadi kule watu huwa wanaogopa kuenda, I still say that Nairobi is the best city in east africa, na sisemi hivyo kwa kuwa mimi ni Mkenya bali enviroment ya Nairobi iko poa sana.
Back
Top Bottom