Search results

  1. B

    Tafadhali usisome hii utalia

    teheteheee@kicheko.jf
  2. B

    Hongera Mh Rais; Umeonyesha kuwa unawajali wananchi wako

    Sawa basi, pamoja na hayo angalau muwe mnamkumbusha awe anaonyosha masikitiko, ikiwezekana muwe mnamlambisha hata ndimu ili itoe lile tabasamu aweke kahuzuni kidogo, l.o.l!
  3. B

    Kwa malezi niliyopewa na familia yangu............

    Nimefundishwa kushirikiana nao kila siku kwenye biashara za kitapeli lakini hata kidogo nisikubali kuwafahamu wamiliki... so hata mmiliki wa richmond simfahamu...
  4. B

    Five killed in Barrick Tanzanian mine attack

    Lakini waliwaambia wananchi "wakija huko wazomeeni". Kibao kimewageukia wao wenyewe, sasa si wanazomewa tu kama walivyotaka wenzao wazomewe, na mawe wanapigwa pia..:biggrin1:na bado...
  5. B

    Tujikumbushe Tena Kirefu cha CCM.........

    Na kale ka wimbo kao je? Kikwete: Chama chetu cha mafisadi chabomoa nchi. Mafisadi: Chama chetu cha mafisadi chabomoa nchi. Kikwete: RA Mafisadi: Eehn Kikwete: Na mimi Mafisadi; Twabomoa nchi Kikwete: Lowasa Mafisadi:Ehn Kikwete: Na sisi Mafisadi: Twabomoa nchi .....
  6. B

    Ukiambiwa upige kura yakutokuwa na Imani na vyama vya siasa ungepigia chama gani!

    Kilichoko madarakani kwa Bara na vilivyoko madarakani kwa Zanzibar. Una lingine?
  7. B

    Aibu kubwa uwanja wa mwalimu julius kambarage nyerere.....

    Jamani, ni aibu mi nilikua kila siku najiuliza huk ndani kuna nini mbona kunafichwa hivyo? kumbe bi uozo tu. Ukiwa unapanda zile ngazi za kwenda Lounge ya wanaosafiri ndani ya nchi tu inatia aibu. Sijui lini tutafika???
  8. B

    Elections 2010 SECRET PLOT REVEALED: Kikwete aongoza, Lipumba wa pili, Slaa wa tatu

    Kwa kweli hata mimi jana nilikuwa na wazo kwamba huenda sisiem wameamua kuhamishia kura za CHADEMA walizochakachua kwa CUF ili kuua nguvu ya CHADEMA, lakini wajue kwamba hatudanganyiki. Sasa nazidi kufunguka macho...
  9. B

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    alilililililiiii aiii aiii aiii.... kweli wamebana wee, sasa wameachia! :israel: chama oyeeeee....:director:
  10. B

    Elections 2010 Hatimaye CCM wasalimu amri Ubungo

    ehn, afadhali sasa tulale kwa raha na maushindi yetu! sina shaka na Kawe hata sisiem wanakubali Mdee ni Bingwa..:yield:
  11. B

    Amiri Jeshi mkuu wa Tz ni nani?

    Inabidi watu wa kitengo cha Itifaki cha wizara ya mambo ya nje itupe ufafanuzi zaidi coz ndo wahusika wenyewe.
  12. B

    Je kwa hili alaumiwe nani?

    Yaani, yule mfanyabiashara wa soko la tandale kama sijakosea alikuwa na haki ya kumfokea yule Meya, sasa na sisi wananchi wengine sijui tunaweza kufanya hivyo kwa viongozi wetu jamani, hali ni mbaya sana,, wee temblea tu kijijini kwenu uangalie mambo yalivyo, inasikitisha kweli...watoo...
  13. B

    Duka la mchaga

    mbona shoprite kuna vitu kama hivyo? hiyou ndo supamaketi ya mchaga bana, no need kupota tym na nauli pia, kila hapohapo.
  14. B

    Habari kutoka kwa Dr. Kairuki hospital

    aah, lisemwalo lipo kama halipo laja... Tatizo madaktari wa siku hizi hawana ethics za udaktari au kama si hivyo ni njaa tu zinawasumbua ukizingatia mishahara yenyewe ndo kama ile tena.... dah, afadhali kutumia miti shamba ya babu zetu.
  15. B

    Ukitaka kujenga nyumba usimchukue fundi...

    hiyo mibangi mnayoivuta ni stimu za (kulanduka), kama sio fani yako kwa kwelil utaumbuka...
  16. B

    Mkapa: Kuna mtu kanizomea?

    oooohhhh BWM ooooh mimi sasa nimemzomea.
  17. B

    Je kuna haja ya kuwa na walinzi wengi hivi wa Rais?

    vita ni vita mura... hata ya maneno ni vita so inahitaji ulinzi mkali kama huo... hapo umesahau ulinzi usioonekana kwa macho...
  18. B

    Sijamwelewa Mh. Pinda, naomba kuuliza!

    akilia mtambeba mgongoni, shauri zenu.
  19. B

    Rostam anafaa kuwa Rais 2015

    kwani wewe ni jibwabwa la wapi?
Back
Top Bottom