Search results

  1. Sambah

    Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    hii ni kwa wenye akili tuu na wasiotumia vichwa vya wenzao kufanya maamuzi .
  2. Sambah

    Exclusive:Chaggas only

    ITONGO NA IKUMBI dah?? sijui kama haya bado yapo tena??
  3. Sambah

    Tetesi;noti ya elfu hamsini

    dah! kiuchumi maana yake uchumi umepiga mweleka na ikiwa hivyo na hawa mateja wetu akikupick pocket tu! maana yake chali kama ndo hizo hizo ulikuwa nazo.
  4. Sambah

    Katiba mpya kutumika uchaguzi 2015, Pia serikali ya Tanganyika kufufuka

    Naomba kuuliza nimejaribu kuperuz kwa speed ya mwanga sijaweza kupata mwanga wa kutosha . ina maana kutakuwa na marais watatu?? Rais wa tanganyika Rais wa zanzibar Rais wa muungano. Sasa mbona sijaona kipengele kinachozungumzia uchaguzi wa rais wa tanganyika????isipokuwa alie Rais na wenzake...
  5. Sambah

    Tafadhali Usininukuu; Rais Ajaye Wa Tanzania...!

    perfect ukipenda kudesa kila kitu maana yake wewe nimasikini wa kufikiri na hufai kuongoza . kwani mandela alidesa kwa nani ?? na je huyo Mugabe unayemzungumzia wewe alidesa kwa nani??? BE innovative that's all about leadership.
  6. Sambah

    Kilimo Kwanza na Kauli ya Rais kuwa Anayeshindwa siasa AKALIME??? is he serious??

    watanzania wamezoea kauli hizi hawana muda wa kuzifuatilia kwa undani na ndo maana hazina madhara . Naamini yakitokea madahara hazitajirudia rudia tena . Tusubiri tuone , nakumbuka Hata nyasi twaweza kula ila dege la RAHISI (raisi) Piga mbizi kama nauli ni kubwa Washa kibatari au ulale gizani...
  7. Sambah

    Maoni yangu juu ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (BRT)

    INAWEZEKANA ila kama waweza hebu tuwekee phase one inaanzia wapi hadi wapi na kuna phase ngapi na ni project ya siku ngapi? mwisho wake ni wapi maanaumeniacha njia panda. SAFARI YA HATUA 1000 HUANZA NA HATUA MOJA??!!!
  8. Sambah

    Kati ya hawa yupi sahihi kumuoa

    kuoa hakuangalii elimu au kutokuwa na elimu bali maelewano kati yenu mlio amua kuoana. unaweza oa alie na elimu akawa unavyosema msumbufu na pasua kichwa lakini ukaoa aliesoma mambo yakanyooka sana tu. ila ukaoa ambaye hajasoma likawa janga au ikawa neema hadi wewe mwenyewe ukashangaaa ...
  9. Sambah

    Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    Huu ni mtizamo wako wewe binafsi usitake kila mtu akubali mtizamo wako. Kwanza kabla ya kusema hayo uliyosema unatakiwa ujue yafuatayo 1. kwanini unataka kuoa 2.Je huyo utakaye fungamana nae kama mke wako ni kwa vigezo vipi tena vya muhimu sio eti huyu katokea x huyu katokea y huyu bali ni...
  10. Sambah

    Disasters every 26th (What a date!)

    hii ya 22 sio Disaster tutumie tu lugha yetu ni JANGA
  11. Sambah

    Kabila gani nibora kwa kupata Mke ambaye anaweza kufaa nakushi mazingira yeyote

    mke si kabila na kabila sii mke. mke na kabila ni vitu viwili tofauti kabisa. ushauri wangu kwako usioe kabila lolote bali uoe mwanamke yeyote ambae atakufaa maishani na mtaelewana :biggrin1:
  12. Sambah

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Duh sina usemi ila bado tunaamka . Kwa haraka watu wenye uwezo wa kung'amua haya wanaongezeka na wa kuyafitini wamo vivyo hivyo kwa wenye mapenzi mema na tz tuko paoja aila kujali chochote . Dini ,itikadi,mrengo nk .
  13. Sambah

    TCRA tuelezeni wateja wa M-Pesa/Tigopesa wanapofariki warithi wanapataje haki zao?

    nadhani usikurupuke kuwashauri watu kabla hujafanya research. kiujumla nakushauri ufanye utaratibu wa kuzijua hizo m-pesa,tigi,na kdhalika . huduma yao ni nzuri tu wala haina matatizo sema ukitaka uwe na matatizo utakuwa nayo tuu. wangapi wana acount benki na hakuna yeyote anayejua na akifa...
  14. Sambah

    Askofu Mkuu J. Lebulu Wa Arusha - Polisi arusha walitumia nguvu kubwa kuua inzi

    Mwenye akili hawezi kushangaa watetea haki wanapo zvngumza . watu wanapoteza uhai ambao ni haki yao kimsingi unataka wakae kimya utakuwa na matatizo. kiujumla ulitakiwa uwena maono ya mbali kujua kuwa viongozi wa dini zote ni mojawapo ya waleta amani kivipi wapi ulishasikia wakiwataka wav...
  15. Sambah

    Ni bora CHADEMA ifutwe

    Mkumbuke mobutu ,idd amin kisha wanaofuata ni watanzania wasio ona mbali. mwiba umepig mchomo huna jipya.
  16. Sambah

    Paja la aunt ezekiel..

    Pambafuuuu kakojoe ulale . angekua dada yako ungemnadi hapa?
  17. Sambah

    hayati

    Weka nyingine yaani ? umenigusa mbaya. wa sasa hawezi wana hofu watu wamekunja sura . unaweza kuingia ndani ya zoo ,......ukamkamata simba mkia hata angeweza natoa ofa nikimwona tu ! tz itakuwa yetu si unajua mwenye tz anakamilisha mkataba au umesahau?
  18. Sambah

    Naomba ramani za nyumbawandugu

    Mkubwa hilo bangaluu laki 2? acha kuchezea prof. za watu wewe? aje nimchoree kama anahitaji kweli.
  19. Sambah

    Serikali ipo tayari kukutana na Chadema...kulikoni?

    Wanataka mwafaka ndo watakavyo sema kwani kuna ugomvi hapa? haki itendeke majadiliano kujadili nini waafri ni hopeless kabisa. nenda kaangalie kule kenya? nenda kwa mugabe na sasa tz malizia na ivory cost.
  20. Sambah

    Elections 2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

    Wote asanteni mnaofahamu wezi kina nani . maziko ndo hayo ooo . sikujua bora umesema kumbe ccm ni dini hiyo ? pole chadema hakina dini . ni chama cha wapenda haki .pi ......mbi Ndo akili zake.
Back
Top Bottom