Search results

  1. JAYJAY

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Kwani mama yao anayeung'ang'ania Urais wa Tanganyika anasemaje!?
  2. JAYJAY

    RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Sio maarufu TU, kikawaida msiba ni WA watu wa karibu sana na aliyefariki. Sio kama KiTanzania, msiba mtu yeyote TU anakuja kadiri anavyojisikia na haulizwi kitu na mtu. Hapo usiwasahau wale wanaokuja ili kugonga chai, chakula cha mchana mpaka cha usiku kwenye misiba ambayo hata haiwahusu.
  3. JAYJAY

    John Dilinga Matlow, mrithi halali wa Gardner Habash

    Kwa hiyo ukipiga haswaaa, siku ukifa ndio hakutawekwa mbadala wako!? Hiyo ni falsafa ya maisha "kufa kufaana". Hata Katiba ina provision kabisa ikitokea Rais kafariki arithiwe vipi, ndio wewe mshika mic studio usirithiwe!
  4. JAYJAY

    Hashim Rungwe: Hayati Magufuli alikuwa anachukua pesa za umma na kuwapa wapinzani kumuunga mkono

    Kwani uongo!? Magufuli Kuna ujinga mwingine aliufanya kama sio msomi, Tena PhD kabisa.
  5. JAYJAY

    Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Si umeona nguvu iliyotumila kuwafukuza wakazi wa Ngorongoro! Wanathamini wanachopata kutoka Kwa wageni kwa kukanyaga haki za Raia.
  6. JAYJAY

    RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa

    Mnafiki haachi unafiki! Nakumbuka alipowaharibia tamasha lao la Fiesta ule mwaka na kuwasababishia hasara kubwa waliochukua tenda za kuuza vyakula na vinywaji. Hapo Bado suala la kuvamia studio.
  7. JAYJAY

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Muite Mandingo
  8. JAYJAY

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Jamaa kanichekesha sana. Yaani anachukulia CDF ni cheo Rasmi cha mkuu wa majeshi wa Tz pekee
  9. JAYJAY

    Kwanini utajiri wa Elon Musk anashuka sana?

    Ni kweli.. Baadhi ya watu wanaamini huo ni utajiri wa fedha zilizoko benki kumbe ni thamani ya uwekezaji wake inavyopokewa na soko . Leo hii Kanye West aliyekuwa anathaminishwa kuwa bilionea Leo anathamani ya Dola milioni 400 TU, baada ya mgogoro wake na Wayahudi.
  10. JAYJAY

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Lini wameanza kuogopa wapiga kura, wakati mwenyekiti wa tume anawatangaza TU washindi hata kama hawajachaguliwa!?
  11. JAYJAY

    Utapeli na udalali wa ndoa hususani kwa watu maarufu

    Cha ajabu Akili kubwa ina_comment kwenye Uzi wa wenye akili ndogo.
  12. JAYJAY

    Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

    Mimi natetea Haki yake ya kuishi maisha yake bila ya kubugudhiwa na mtu. Nashangaa Wabongo kushupalia ishu yake ya Uchoko wakati hao waliomfunga hawajamfunga kwa kosa Hilo. Wanamuhukimu vipi mtu ambaye mamlaka za kwao hazijamuhukumu kwa kosa Hilo!? Ina maana anaathiri Tz kuliko Naija!?
  13. JAYJAY

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Hii ni ya kibunifu zaidi aka Coded, hapa hakuna kilichoharibika, tofauti na ile mifano ya pale juu.
Back
Top Bottom