Search results

  1. Fabian leonard

    jamaniiiiiiiiii

    mhuuuuuu mie sijui
  2. Fabian leonard

    jamaniiiiiiiiii

    eti kweli x mass imefikq
  3. Fabian leonard

    Wimbi kubwa la watangaza nia URAIS 2015, ni fashion au?

    mhuuuuuuuuu!!!! sie tunangoja tu!!!
  4. Fabian leonard

    Mimi kama kijana, Sikubaliani na umri wa mgombea urais kuwa miaka 40

    Nikweli kaka kwa unayo zungumza
  5. Fabian leonard

    Sijui lakni ........! Mhuuuuu!

    Sijui twa elekea wapi nimeshuhudia kwa macho yangu viongozi wa vyama tofauti wakilushiana maneno machafu badala ya kupatana ili kuunganisha wafuasi wao kuheshimiana na kusaidiana jamani kheee! Kabda.
  6. Fabian leonard

    Majangaaaa!

    Naombeni msaada jana nilikua na demu tunataka kufanya tendo la ndoa lakini mara ya sita sasa kila nikiwa na mwanamke uume hausimami sawasawa na tangia ni zakiwe sijawahi kufanya tendo la ndoa nifanyeje!
  7. Fabian leonard

    Hatutajulikana kama pesa tunazo.

    Siku kadhaa zilizo pita maeneo ya nyamhongoro igoma mwanza watu wapatao 7 wamevamia guest mida ya saa 12 jioni kabla ya yote wali piga lisasi hewani ili kutisha wananchi lakni wananchi wali kakamaa natkupambana nao na kufanikiwa kuwauja wahalifu 2 walikutwa na risasi 700 .
  8. Fabian leonard

    Kila nnapokaribia kumwaga anachomoa na kuibana kisha ananidai vitu vya thamani!

    Achana nae kwani anachuma kwako akijua sehem fulani atakunasa.
  9. Fabian leonard

    Matokeo ya mahakama Kenya kuhusu uchaguzi

    Inatakiwa ulinzi sana kwani yaisije kutokea kama zalf majanga za 2007
  10. Fabian leonard

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Aakhaa! Noma sana wajipange zitto hawamuwezi.
  11. Fabian leonard

    TBC KAZI YA KUONESHA MIPIRA WAACHIENI STAR tv

    Kweli wajipange.
Back
Top Bottom