Search results

  1. king khalfan

    Full Text: Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bajeti 2013/2014 iliyosomwa na Freeman Mbowe

    Kwa hili CDM mnahusika kwn matarajio ya Watz wengi kwa ss chama mbadala cha kushika dola baada ya uchaguzi 2015 ni CDM. Hivyo ni MUHIMU sana kuwaonyesha Watz kuwa kimedhamiria na kipo tayari kushika dola hata kama CCM Leo watabwaga manyanga. Kwa mtazamo wangu kukaa kuanza ky-discuss CCM ni...
  2. king khalfan

    Ulijisikiaje ulipopigiwa cm kwa mara ya kwanza kuitwa ktk usaili?

    Habari zenu? Wadau hebu elezea hisia "emotion" ulizopata baada ya kupigiwa cm ya kuitwa ktk usaili wako wa kwanza kabisaaa baada ya kumaliza masomo iwe college/ university etc. Tupia hapa uelezee feelings zako ilikuwaje. Angalizo: Wote walioshikwa mkono na mjomba/shemeji/ndugu hawahusiki kwani...
  3. king khalfan

    Simu HTC Desire with HTC SENSE inauzwa kwa bei poooa kabisa!

    Haina tatizo la betri mkuu. Bei nimesema hy kwa sababu ninayo cm mpya nyingine na hii Vlvl nilinunua nje ya nchi kwa bei ya kawaida sasa kwa nini niwauzie Watz wenzangu bei ya tamaa. Muda nilioitumia hadi Leo ni mwezi mmoja na cku 25. Ila angalizo ktk betri ni kwa kutegemea matumizi yako kwn...
  4. king khalfan

    Simu HTC Desire with HTC SENSE inauzwa kwa bei poooa kabisa!

    Simu aina ya HTC Desire yenye specifications zifuatazo inauzwa: Aina: HTC Desire A8181 Android version 2.3.3 Processor: 1GHz Memory.: 384Mb Display: 3.7 inch WVGA Resolution Main Camera: 5M Wi-Fi: 802.11b/g/n Price negotiable: Tsh 230,000. Call 0659 211 222 Note: cm ni used
  5. king khalfan

    Hii ya Uganda KALI ikija kwetu haponi mtu

    Fikiria mara mbili kabla ya kuchangia.
  6. king khalfan

    Nielimisheni wanajf! Tafadhalini sana

    Habari zenu! Nina maswali machache juu ya Rais J. M Kikwete yanayonisumbua ambayo kwa mtazamo wangu nahitaji kuelimishwa zaidi: 1. Ni kwa nini Rais anasemwa ni mdini? Nini maana ya mtu mdini? Dalili zake ni zipi? 2. Kama ni kweli Rais ni mdini, je hii ni kutokana na yeye binafsi ana hulka ya...
  7. king khalfan

    Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

    Kwa hili la kujiunga OIC sipo nawe. Mbona Vatican wana ubalozi hapa Tz, Watz tulidhirikishwa ktk suala la kufungua ubalozi hapa ilhali Vatican inajulikana wazi ipo kwa maslahi ya wakatoliki. Huoni dini nyingine zinadhulumiwa kwa hili. Hebu acha udini wako mfilisika mkubwa wa tafakuri we.
  8. king khalfan

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Nakupa LIKE kubwaaaaa. Big up.
  9. king khalfan

    Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

    Nonsense! Si ulale tu kwn lazima uchangie.
  10. king khalfan

    N. Korea kupimana nguvu kijeshi na Marekani

    I have understood today why US use to think twice on attacking NK as compared to other week nations that US attacked them.
  11. king khalfan

    Msaada kwa mwenye kujua cm hii.

    Poa asante nifanyia kazi your advice naona imerejea ktk hali yake ya kawaida.
  12. king khalfan

    Msaada kwa mwenye kujua cm hii.

    Ktk phonebook majina yanajirudia mfano: john john john john au Zero Zero etc. Vlvl nimegundua tatizo jingine kutoa msj ya kuonyesha cm imejaa ie low on space
  13. king khalfan

    Msaada kwa mwenye kujua cm hii.

    Naomba msaada WanaJf kwa mwenye kujua juu ya cm hii HTC Desire A8181 imekuwa na tatizo la jina kujirudiarudia. Mfano. John basi linajirudia kama mara 5 hv n.k. mwenye ufahamu tafadhali knoweledge yako muhimu.
  14. king khalfan

    Mkuu wa wilaya Tanga (Halima Dendegu) azichapa mkutanoni!

    Daah kama ulikuwa akilini mwangu vile kumpa ukweli hy Jamaa mwenye dharau.
  15. king khalfan

    SAKATA LA UCHINJAJI WA NYAMA; Wafanyabiashara wa nyama mjini Tunduma wahofia usalama

    Jambo muhimu ni kuweka taratibu nzuri zitakazowezesha jambo hk la kuchinja kuwa lenye ufanisi. Usiangalie kuchinja tu Bali angalia na mabucha ya kuuzia nyama hz. Je kuna matayarisho gani yamefanyika ktk Hz bucha kuonyesha kinagaubaga nyama ya hapa mnyama alichinjwa na Mwislam au mkristo. Kwa...
  16. king khalfan

    SAKATA LA UCHINJAJI WA NYAMA; Wafanyabiashara wa nyama mjini Tunduma wahofia usalama

    Sio kila mada lazima uchangie. Think critically on how to solve the problem na sio ubabe. Be wise
  17. king khalfan

    Kupata kazi kweli kazi!

    Yaani balaa juu ya balaa tu. Elimu yenyewe tumekopeshwa then na kazi wanataka tununue, duuh! Ndo maana hakuna tija, ufanisi, wala weledi unaohitajika ktk kazi hakuna tena. Ofisi nyingi zimejaa urasimu na ubabaishaji kwa sababu hakuna tena nidhamu ya kazi. Utahoji nini wakati mfanyakazi kainunua...
Back
Top Bottom