Search results

  1. Mkaruka

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    Boss, Mimi niliwahinkupanda train kutoka Mwanza nauli yangu mwisho ilikuwa Moro, na nilikuwa sijui naenda wapi, na kufanya nini. Safari ya train siku 2, na Sina hata 100 ya kula. Maji ya kunywa navizia usiku watu wamelala naiba. Nilifika moro station usiku, nikalala happy mpaka Asubuhi. Yaani...
  2. Mkaruka

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    Hama Dar es Salaam. Hamia Mwanza.
  3. Mkaruka

    Epuka kujenga uadui na mwenzio kisa eti anaunga mkono chama tofauti na chako

    Kuwa na uadui huo ndio ujue una hisia za utu na ubindamu. Kwasababu watu wengi wanaonifanya hawavhukii mtu kwasababu za kisiasa wengi ni magwini wa UNAFIKI, Wanaoabudu pesa na wanaohalalisha kila uovu kwasababu ya siasa. Yaani Jitu linaua watu au linadhulumu watu, weee ulichkekee chekee...
  4. Mkaruka

    Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

    Sema wabongo mnapepeta sana midomo aiseee. Mnapepeta mnooo midomo. Siyo wanawake siyo wanaume. Mnapepeta aisee. Too much.
  5. Mkaruka

    Mikopo ya Hayati Magufuli tumeuiona je mikopo ya Rais Samia iko wapi

    Samia anakopa analipa madeni ya magufuli. Hili mbona liko wazi. Kuna siku yeye mwenyewe alishasema hadharani, kwamba aliambiwa na Mwigulu Kuna mkopo upo unaiva muda siyo mrefu. Kilichotokea, mkopo waliokuwa wamepata kipindi hicho wakalipa huo mkopo. Nadhani wotenajua kuwa Magufuli alikataa...
  6. Mkaruka

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Mabeyo alipewa cheo na kila kitu na Jiwe. Ndio maana analia. Maana ingekuwa ni UBINADAMU tunheuona kwa kina Azory Gwanda, Tundu Lissu na kina Been Saanane
  7. Mkaruka

    Tanzania kuanza uzalishaji wa Dawa za Kufubaza Makali ya VVU (ARV)

    Uzuri watu wa nje walishagundua Watawala wa bongo ni mazuzu.
  8. Mkaruka

    Ili kutunza heshima, Kamanda atutake radhi au atoe ufafanuzi kuhusu ubora wa Jeshi la Wananchi

    Jamaa bado anameza stori za vijiweni sana, mambo ya mwaka 1947.
  9. Mkaruka

    Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

    Hiyo 5 BORA ilikuwa ni majina tu ya mfukoni ya kumsindiikza chaguo la Mkapa, Magufuli. Wakaweka kijana mmoja (Makamba), wanawake wawili na Membe na Mhusika Magufuli. HAYO MAJINA HAYAKUPATIKANA KWA KUPIGIWA kura.
  10. Mkaruka

    Samia awapiga ‘stop’ mawaziri kuajiri maofisa habari binafsi

    Huyo Bibi anafikiri kufanya mabadiliko ni kuteua machawa n Watoto wapya wa VIGOGO wastaafu kila siku
  11. Mkaruka

    Changamoto ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kufilisika haiwezi kutatuliwa kwa mipango ya Ummy Mwalimu

    Ummy akili yake imefika mwisho. Hana jipya. Tusubiri wakusanye pesa za Bima ya Afya kwa wote ili walipe MADENI ya NHIF inayofirisika.
  12. Mkaruka

    Wanafunzi waliomaliza Kidato cha 4 wanavyotapeliwa na taasisi za serikali na binafisi, Wizara ipo inaangalia

    Kwa Tanzania UTAPELI NI BIASHARA KUBWA NA HALALI KABISA. https://www.jamiiforums.com/threads/ukweli-usiosemwa-kwa-tanzania-utapeli-ni-biashara-iliyohalalishwa-kabisa-isipokuwa-kwa-wenye-mamlaka-tu.2036813/
  13. Mkaruka

    Feki Feki Feki

    https://www.jamiiforums.com/threads/ukweli-usiosemwa-kwa-tanzania-utapeli-ni-biashara-iliyohalalishwa-kabisa-isipokuwa-kwa-wenye-mamlaka-tu.2036813/
  14. Mkaruka

    Waliosema shamba la bibi hawajakosea

    https://www.jamiiforums.com/threads/ukweli-usiosemwa-kwa-tanzania-utapeli-ni-biashara-iliyohalalishwa-kabisa-isipokuwa-kwa-wenye-mamlaka-tu.2036813/
Back
Top Bottom