Search results

  1. D

    Viwanja 20mx20m vinauzwa kimara Bonyokwa 3M to 10M

    Kwa sisi wtembea kwa miguu Je kutoka kimara mwisho mpaka huko sijui Bonyokwa kuna daladala?Je Hiyo barabara nyakati za Mvua inakuaje mana tuje uziwa viwanja nyakati za ukame ila mvua ikinyesha Hatwendwi makwetu
  2. D

    Nani yupo sahihi kati ya hawa?

    asanteni kwa majibu yenu wana JF.
  3. D

    Nani yupo sahihi kati ya hawa?

    Habari wana JF. Mimi napenda kufahamishwa kuhusiana na hili neno SHELI. Maranyingi huwa nasikia watu wakisema "Tukutane pale Sheli Bamaga"ama wengine kama makonda husema "Buguruni Sheli mwisho" na vinginevyo.Inamaana hivi vituo vya mafuta vyote kama BP,Oryx,OilCom na vinginevyo kwa neno moja...
  4. D

    Nani alaumiwe TANESCO au Mawakala wake??

    Siku ya jana na leo kumetokea tatizo kubwa sana la ununuzi wa Umeme (LUKU) katika mkoa mzima wa dar es salaam.watu wamejazana kwa mawakala toka jana asubuhi wakisubiri huduma bila mafanikio.Hakuna jibu lolote la maana zaidi ya kuambiwa eti ni NETWORk Problem.Nani wakulaumiwa kati ya hao?Baadhi...
  5. D

    Msaada Tutani

    Ndugu,jamaa na marafiki wa hapa JamiiForums mimi ni kijana ninayeomba msaada wa kueleweshwa njia za kuweza kununua gari zuri. 1.Nivitugani vya msingi vyakuweza kuzingatia katika manunuzi ya Gari? 2.Ni njia gani nitakazo weza kufuata ili niweze kupata gari hilo kama nimeagiza nje ya nchi?na...
  6. D

    Fikiria kwanza kabla yakuchangia jambo

    Wanachama wa jamiiForums hebu nisaidieni kwa hili:- Kwa mfano Wewe binafsi ukiwa kama muhalifu na kutokana na dhambi zako ama uhalifu wako ukaambiwa uchague hukumu yako mwenyewe kati ya hizi hapa ungechagua ipi? 1.Kukatwa vidole gumba vya mikononi ama kukatwa nyama ya juu ya mdomo...
  7. D

    Terrorist attack in India

    [B]Wahusika mliofikwa na maafa hayo poleni sana.Watanzania mliopo india vipi usalama wenu mana naona mahotel ndio yamelipuliwa sana na najua wabongo kwa kujirusha mumepona kweli huko?Mliokaribu na maeneo ya matukio endeleeni kutupa yaliyojiri
  8. D

    Kuwahusu Karamagi, Rostam, na wenzao...

    Wakuu nipo hapa kwa muuza magazet katika get la kuingilia kisutu nasubiria Warioba na wengineo wakija.Ila mpaka sasanaona nimagari mengi yamejaa na yanaziddi kujaa bila kuona wahusika.litakalojiri nitawaarifu punde wakiwasili MAFISADI HAO
  9. D

    wanasiasa wetu

    duuu hiyo ilikua ni msondo ama wananjenje?naona mzee komba anakomaa na jimama hahahahahahah!!!!!Kweli kazi na dawa
  10. D

    Masheikhe kulikoni Kidongo chekundu??

    Wakuu nimepita sasahivi saa tisakamili mchana maeneo ya kidongochekundu nimekuta mashekhe kibao na wafuasi wao.Tetes kwa harakaharaka wanadai kuungana leo mpaka kieleweke muafaka wa OIC.Maaskofu nasikia mnataka kujibiwa na masheikhe.Je imekaaje hii jamani kunanini TZ?
  11. D

    Manji anakwepa hukumu ya EPA?

    Kiranja unajua jana ilikua siku ya wahindi(DIWALI) hivyo inawezekana jamaa manji ikawa ndio style yake ya kujirusha.Ila nahisi karibu awe Teja sasa
  12. D

    Sakata la Wazee EAC: Litaisha lini?

    Wazee wawatu wamechoka ile mbaya nawaona hapa ndio wanapita barabara ya bibi titi karibu na maktaba kuu ya taifa.sijui hata wanakwenda wapi wakongwe wawatu.Kweli hii serikali ya kikwete sijui baada ya miaka miwili itakuaje
  13. D

    Kwanini Tanzania wasomi wengi ila ICT tunaongozwa na Wahindi?

    Shy nimeona kashfa moja inakuhusu kwenye Story ya dada mmoja ameoitoa kwenye Blog ya issamichuzi.Hebu isome hiyo story ipo kwenye page ya kwanza kabisa Then nijibu kama nikweli ama noo mana watoto wote hao nawafahamu
  14. D

    Mambo ya kutafakari kabla ya kuoana

    mashart mengi sana kwa mtaji huu sioi.Nimeghahiri.Hivi ndoa za mkataba zinafaa?Lakini ukimwi nao je?mmhhh Bora niokoke dunia imekwisha
  15. D

    Kwanini Tanzania wasomi wengi ila ICT tunaongozwa na Wahindi?

    shy isiwe sababu mkuu ilikua zamani ila salmaa hajambo kabisa na wote pia wazima.Nipo sehemu hapa nchi jirani najaribu kama maisha nitaweza mana TZ usanii umezidi
  16. D

    Kwanini Tanzania wasomi wengi ila ICT tunaongozwa na Wahindi?

    Enyi Watanzania wenzangu hebu niambieni,KWANINI ICT TUMETAWALIWA NA WAHINDI?Jaribuni kuangalia kampuni zote Tanzania zinazojihusisha na mambo ya IT.Je wao wananini cha zaidi ya kutushinda sisi wazawa?kwanini sisi tuwe wafanyakazi wao wakati Uwezo wakujiendesha tunao?Tushauriane jamani,Au nyinyi...
Back
Top Bottom