Hata gali.likiwa jipya huwezi kuanza kuiendesha kwa speed ya juu sana. Hapo ni kutest train yenyewe, hiyo rail, na suala la umeme. Tuwape muda wanaohusika kuwasiliaha ahadi yao kwa umma!
Naunga mkoni hoja hii. Ukweli ni kwamba hii ndiyo hali ambayo watawala wanaifurahi. Ngoja bei sukari ifike elfu 10 kwa kilo ndo akili inaweza kurejea.
Kwa Mkapa leo kunachimbika.
Ila kwa hili bwawa letu la JNHPP, baba aliyekataa kufanya tathmini ya mazingira kwa kina, akajenga kuanzia msingi hadi lenta, lazima alsumiwe tu. Mjane yeye aliamua tu kumalizia nyumba.
Timeshaona mzazi akisifiwa na kushukuriwa na ndugu jamaa na marafiki kwa kusomesha watoto wake na kuhakikisha wana afya nzuri, hadi inaboa. Baadhi ya watoto walio karibu na maza au faza wanasifia kupitiliza, hata kwa mambo ambayo wasifiwa wenyewe hawajui, sababu baadhi ya hawa watoto wana...
Mnyika yuko sahihi. Tulia na namba yake ni halali ya wananchi. Sitarajii wamtukane sababu hayo si maelekezo ya Mnyika.
Wakati wa kuwajibika kwa umma umefika. Baada ya Tulia .......... na .............!
Wengine tulishajua kuwa hilo bunge la TAM na SSH halijawahi kuwa na dhamira ya kusikiloza na kufanyia kazi maoni ya wananchi kuhusu miswada husika. Maandamano ya amani lazima yaendelee na ikishindikana basi sasa tutafute LUGHA nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.