Search results

  1. O

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Jamani haya mambo mengine muwe mnaangalia na uhalisia maana kuna shahawa zinanuka/harufu mbaya jamani acheni tu sasa kaka yangu usije ukawa unamlaumu mwenzio tu kumbe hizo zako zitokazo ndo kimeo.
  2. O

    Are tall men more desirable??

    watu waseme yooooooooooote wanaume warefu alafu asiwe mnene ila ajae kidogo hata akikukumbatia unajisikia kitu, lakini wafupi lol! kwanza naenda nae wapi
  3. O

    Ujenzi na Siasa UNIVERSITY OF DODOMA

    Ni kweli kabisa siasa imo ndomaana kuna dharau, viburi tele na kutojaliana, watu hawathaminiani wengine elimu ndogo lakini mishahara juu mno na wengine elimu kubwa mshahara kiduchu kama sio siasa ni kitu gani? pachunguzwe kwa kweli hata kama siasa ndo iko kunyanyasa wafanyakazi?????? Lengo lao...
  4. O

    Wanawake wengi hawajui menstrual cycle inafanyaje kazi

    wajameni naomba kuuliza jinsi ya kupata watoto mapacha wa jinsia tofauti ntawapata vipi? naombeni formular
  5. O

    Ripoti ya Uchunguzi vifo vya watoto Tabora

    Hivi mliona wapi gabachori/mwarabu akafungwa bongo?!:confused:
Back
Top Bottom