Search results

  1. pinkpink

    Kazi ya kuchoma chips na mishikaki Katoro

    nakuja suz badae dm namba yako nikuchek
  2. pinkpink

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    daah mkuu hii ni kweli kabisa siwezi kusema nimepata mafanikio 100% ila ukilinganisha kipindi cha miaka miwili nyuma na sasa hivi nimepiga hatua na hii ni kutokana na kazi nzuri niliyopata na cheo ambacho ninacho kwa sasa.,,nazidi kuomba Mungu nifanikiwe zaidi
  3. pinkpink

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Habari mkuu, Nina miaka zaidi ya miwili sasa naota ndoto zinazohusiana na maji, either kuna mafuriko napita kwenye hayo maji ila kabla sijavuka ng'ambo ya pili maji yanakuwa yameisha, na ndoto zingine napita sehemu kuna maji mengi sana yanatembea kwa kasi nawaongoza rafikizi zangu au ndugu...
  4. pinkpink

    Fahamu namna ya kujua kirahisi sehemu yenye mzungunguko wa pesa Tanzania

    pia ukiona kuna foleni zisizoisha za magari barabarani
  5. pinkpink

    The Simpsons katuni inayoigiza maisha ya viongozi/watu maarufu wa marekani wajao na waliopita

    Wadau hv ni kweli cartoon ya the Simpsons inacheza uwalisia wa maisha ya maraisi wa marekani na watu maarufu na walishaigiza maisha ya urais ya Donald Trump hata kabla ya kuwa rais
  6. pinkpink

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Imetoka tayari
  7. pinkpink

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    mkuu nimeicheck kidogo nikawa sielewi elewi nikaja huku nipate muongozo ili mzuka wa kuicheck vizuri upande
  8. pinkpink

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Mkuu hapo ongeza na HANNA new series, ni noma ina season one hadi sasa
  9. pinkpink

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    hahaha googling ni kipaji pia
  10. pinkpink

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    thank you I'll find the time to watch it this coming holiday
  11. pinkpink

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    what is it about ndo nianze kuangalia
  12. pinkpink

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    someone please explain to me about this series naona wengi wanaishadadia alafu naona ya kawaida, inahusu nini kwani
  13. pinkpink

    Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

    Nimejifunza kwenye mapenzi kama mpenzi wako hakupendi hakupendi tu..muache fanya yako, maisha yenyewe mafupi haya.
  14. pinkpink

    Tahadhari: Usiwaamini tellers, hesabu pesa zako kabla ya kuondoka kaunta

    tangazo! hesabu hela zako kabla hujaondoka. usiwe na haraka.! in english/count ur money before u leave a counter.
  15. pinkpink

    iv mtu kupata kazi ndo inakua ivi?

    hata mimi sikupi..yani mshahara wa kwanza tu mshaanza kuomba
  16. pinkpink

    Protein ikionekana kwenye mwilini ina madhara

    hata mimi tatizo kama hilo nilinitokea, proten ilizidi nywenye mkojo na hii inatokana na kwamba sinywi sana maji...ila nimejirekebisha na mara ya pili nilivyorudi hosp. Ikawa imeisha...NB kunywa maji mengi sana maji ni tiba
  17. pinkpink

    Swali la mke wangu lililonichekesha

    mwambie wanakuogopa wewe mke wangu''
Back
Top Bottom