Search results

  1. Mangi merry

    WANAUME mkilogwa na WANAWAKE mtasema mmeonewa?

    Hahaaaaaaa ndugu u make my day
  2. Mangi merry

    Majeraha ya risasi ya Mwandishi Ufoo Hayamfanyi asiwe mshukiwa

    Mmh ahsanteni kwa kunifikirisha nje ya box.
  3. Mangi merry

    Je, ni zipi faida na hasara za Diapers kwa watoto?

    Mzizi mkavu naomba source ya article uluyoandika.
  4. Mangi merry

    Vodacom wahurumieni wateja wenu,acheni wizi!

    Matapeli sana hawa viumbe...mwenyewe wanakata pesa then hawakuunganishi mwenye bundle au una elfu mbili then wanasema pesa haitoshi kujiunga na kifurushi...wanaboa sana hawa viumbe.
  5. Mangi merry

    Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

    Nahc hata kule chini aliachia ki2 chenye harufu kali japo ni siri ya mtangazaji na mnyika...
  6. Mangi merry

    Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

    Jamaa pumzi mmembana mpaka kakohoa....hahaaaa na bado
  7. Mangi merry

    Ushauri:Hizi ndo moja ya sababu ya watoto wa nje na criminal abortion (watoto wengine belongs to ma

    Huyo aliyempa gemu ya ukweli na kumfikisha orgasm ana chance kubwa...but pia walispend more tym ktk game inaincrease chance...bt kama walivyosema wadau inategemea yai lilishuka saa ngapi....yoyote anaweza kuwa baba hapo.
  8. Mangi merry

    Kinana: CCM imevunja rekodi ukusanyaji wa maoni juu ya Rasimu ya Katiba Mpya

    Nahisi CCM na CHADEMA wana tofautiana sana katika tafsiri ya neno wanachama, CCM inawatafsiri wanachama kuwa ni wale viongozi wa chama chao, ndio maana hata kwenye mchakato wa katiba wamewahusisha viongozi peke yao, CHADEMA inawatafsiri wanachama kuwa ni wale mwenye kadi na mapenzi mema na...
  9. Mangi merry

    Kinana: CCM imevunja rekodi ukusanyaji wa maoni juu ya Rasimu ya Katiba Mpya

    We nae acha ubishi, wananchi wengi ambao pia ni wanachama wa vyama vya siasa hawakai kwenye majengo ya taasisi yenu useme eti utaongea nao wengine wasijue. Wanachama wa vyama vya siasa ni sehemu ya wananchi na njia iliyotumiwa na CHADEMA ni njia pekee ya kumfikia kila mwanachama tena kwa gharama...
  10. Mangi merry

    Dr Slaa kutikisa Dar leo

    Shirikisha ubongo japo kidogo tu, wangekuwa wanataka watu wengi wangeenda ubungo na kawe, lengo sio kutafuta watu wengi bali kuwafikia watu sehemu zote za Tanzania.
  11. Mangi merry

    Dr Slaa kutikisa Dar leo

    Una maana ubungo na kawe zipo zanzibar sio!?
  12. Mangi merry

    Vyuo vikuu wampendekeza January Makamba kuwa Rais ajaye

    Pointless kabisa, eti wasomi! Kumbuka hata msoma gazeti nae ni MSOMI vilevile.
  13. Mangi merry

    Hali ya hewa yachafuka Mwanza: Polisi wapambana na wafuasi wa CHADEMA

    This zombie has been detected several times, click HERE to delete
  14. Mangi merry

    Hali ya hewa yachafuka Mwanza: Polisi wapambana na wafuasi wa CHADEMA

    Click HERE to delete this Zombie!
  15. Mangi merry

    Hali ya hewa yachafuka Mwanza: Polisi wapambana na wafuasi wa CHADEMA

    Another zombie has been detected!
  16. Mangi merry

    Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

    Another zombie has been detected
  17. Mangi merry

    Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

    Umeachana!? Kwani CHADEMA ilikuoa lini mwenzetu!? Mbona ilipokuoa haukututangazia kwamba umeuaga ukapela!?
  18. Mangi merry

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    ...get well soon shehe urudi nyumbani kwa mkeo baba...wakristo tunakuombea japo mnatuita makafiri but tumefundishwa kuwapenda watu wote na kuwaombea wanaotuudhi....
  19. Mangi merry

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Hiyo ni nyama tamu mlionyimwa na mtume wenu...ngoja sie tujichane viumbe alivyoviumba Mungu...karibu mrembo niko na hiyo kitu nashushia na ndizi za kuchoma na chachandu yenye kapilipili kwa mbaliiii pamoja na maji baridi....dah so delicious....siiiii!
  20. Mangi merry

    X wangu ni mke wa muheshimiwa,anataka tena

    Kama ni wa mwigulu gonga tu mzee
Back
Top Bottom