Search results

  1. O

    matamshi kiinglish tunayakosea kwa kurithishana

    maneno mengine yametoholewa kwenye lugha nyingine. Mfano 1: Chauffer(shofer) hii ni verb ya kifaransa which means to heat or to warm 2:
  2. O

    Vodacom kwa nini mnatufanyia hivi?

    Kiukweli hawa jamaa sio. Juzi nilinunua vocha kwa bahati mbaya iliingia kwenye maji kilichotokea ni kwamba namba zote zilifutika. Nilipowapigia huduma kwa wateja muhudumu wakwanza aliniambia aliniambia nimtajie sirio namba chakushangaza eti ananiambia vocha imeshatumika. Sasa nani katumia wakati...
  3. O

    Business Advice

    Thanks bro, dili yenyewe ishayeyeka maana wameshindwa kunidhibitishia uwepo wa kampuni zao.
  4. O

    Business Advice

    jamaa bana nimewaomba udhibitisho wa uwepo wa kampuni (makampuni) yao ila wameshindwa kufanya hivo. Wameishia kunitumia mikataba yao na kunitaka niingize kiasi cha $2,500 kwenye akaunt waliyo nitumia huku wakidai kua ni ya insurence company. Kwakufanya vile wata nitumia huo mkopo kwa muda wa...
  5. O

    Nianzishe mtaji gani kwa kutumia pesa hizi...?

    Good idea, ila unatafuta biashara ya kufanya kwa huo mtaji wa 4.5 au unampango wa kuzichanga au pia unampango wa kugawa za matumizi hapohapo? Jaribu kufunguka ili upate ushauri mzuri zaidi. Kama vp mm nina ungana na idea ya mwanaisha. GUD LUCK
  6. O

    Business Advice

    Wadau hawajamaa ni matapeli. Kama ukibahatika kukutana nao online achana nao kabisa. Kuwa makini utaliwa
  7. O

    Español

    Oh mama mia!! Puedes decir nos que lengua es esa?
  8. O

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Mama Joe na Chasha, nimeipenda hii. Tunapaswa kubadilika ila naamini haya mabadiliko yatachuku muda kupatikana. Tayari mfumo wa maisha umesha waadhiri watanzania wengi. TUTASHINDA
  9. O

    Serengeti now `Africa`s best natural tourist destination`

    Tanzania is really blessed, it is the land of wonders. Your journey in Africa will not be compleate without visit to Tanzania. Also your visit in Tanzania will not be compleated without climb mt Kilimanjaro, Game drive in Ngorongoro Crater and the Serengeti. KARIBU TANZANIA
  10. O

    Mchakato wa kisheria wa kubadili jina lako

    Pole sana mkuu, ulipaswa kufanya hivyo mapema kabla ujajisajili kwajili ya mitihani ya kidato cha pili. Tatizo la sheria za nchi yetu ni kama zinapingana. Umenikumbusha mbali sana nilisha teseka sana kwa tatizo kama lako kipindi cha nyuma. POLE MKUU
  11. O

    Msaada juu ya aina ya laptop ya kununua

    Kaka mm nadhan mashine zote zipo poa ila inategemeana na wewe mwenyewe kua unapenda ipi. Hata hivyo mm nakushauri ununue HP/Compaq hp ni nzuri sana. Suala la bei linategemeana na mkoa ulipo ila kwa sehemu kama Arusha utapata lap safi kwa hiyo bei.
  12. O

    Español

    Yo estoy muy bien tambien gracias. Pienso que tu hablas muy bien. Donde aprendiste español?
  13. O

    Español

    Hola, tu hablas español??
  14. O

    Business Advice

    Mkeshahoi, sio gmail.com tu ila kuna website na webmail pia hapo
  15. O

    Business Advice

    Lucky, nakushukuru sana mkuu acha nijaribu.
  16. O

    Business Advice

    Hawa jamaa kama ni matapeli wametisha maana hawafanani na matapeli wengine ambao tumesha wazoea. Kwanza sijawahi kupata spam au email zozote zisizoeleweka. Pili hawana haraka huu sasa ni mwezi wa3 kwanzia nipoanza proses wapo makini mbaya!
  17. O

    Business Advice

    Thanks all kwa ushauri wenu mzuri. Yah, itakua vizuri kama nikiwasiliana na ubalozi wao before any decision.
  18. O

    Business Advice

    Nakushukuru sana kiongozi kwa kuonesha sapoti kubwa. Hata mimi nimejikuta nikipoteza imani kulingana na hali halisi ya Syria kwa sasa. Wenyewe wamekubali kunipa dola laki moja(U$100,000) ambazo nitarudisha kwa kipindi cha miaka 10 kwa rate ya 5% MAWASILIANO YAO NI H.E. Haroun al Assad(...
  19. O

    Gharama za simu kupungua kwa 69% ifikapo march mosi.je wajua utalipa kiasi gani?

    Its sound Good! We better steap from slogan to action and that will be great.
  20. O

    Business Advice

    Habari zenu wana jamii. Nimekua nikitafuta fund kwa muda mrefu nikabahatika kukutana na kampuni ya SYRIA inayojulikana kwa jina la (HAROUN HOLDING COMPANY) C.E.O wa kampuni hii amejitambulisha kwangu kwa jina la E.H Haroun al Assad. Baada ya mazungumzo nae akanitaka nimtumie business plan ili...
Back
Top Bottom