Search results

  1. N

    Maisha Plus Tv Show ya Masoud Kipanya

    Kama waliwalenga vijana wa vijijini au wale ambao kiwango chao cha elimu hakikuwa kigezo katika usaili huo, nadhani ilikuwa ni makosa kuyahusisha maneno kama IQ au Black box katika huo usaili . Hasa ukizingatia kuwa lugha ya taifa si Kiingereza, na lugha ya kufundishia bado ni ugonjwa wa taifa.
  2. N

    Zabibu!

    Mzee wewe mkali Lakini sijakubali Mbona meliweka mbali Swali langu la awali? Kupenda sio hisia Bado hujaniambia Vipi linajisikia Kisu kinapoingia? Kupenda sio kuhisi Ni tendo lenye kiasi Lizukalo kwa wepesi Kati ya wenye nafasi Doriani lapendeza Machoni linaliwaza Hebu puani...
  3. N

    Home sweet home

    Vigezo are in the eyes of the beholder. I'm not ready for that, anyway.
  4. N

    Home sweet home

    Nakushauri hii uifungulie thread yake maalum ili wakusaidie hata wale walio nje ya thread hii. After all, heading ya thread hii ipo tofauti na matakwa yako. Ukibuni heading nzuri, nategemea utapata majibu lukuki.
  5. N

    Zabibu!

    Mimi nina swali moja Mara kichwani huja Sitegemei vioja Bali jibu lenye hoja Mimi nataka kujua Linahisije kuliwa Tunda linalosifiwa Au halina hisia? Zabibu, nanasi, embe Hivyo vyote ni viumbe Vipi navyo visitambe Atambe mshika jembe? Mwenye ujuzi fumbua Linahisije kuliwa...
  6. N

    Message! Message! imeingia

    Tatizo, ndugu, sio message. Tatizo limo ndani ya mwenza wako -- ana-respond to stimuli. Kwahiyo, hata ukimnyang'anya au kumtafutia kazi ya kufanya, kama walivyoshauri wengine, hautakuwa ufumbuzi. Kwa mfano, tuchukulie huna mtandao nyumbani. Leo umemnyang'anya simu, kesho, keshokutwa...
  7. N

    Home sweet home

    Basi labda ulimaliza in the late 80's or in the 90's.
  8. N

    Home sweet home

    Amejitahidi!!
  9. N

    Home sweet home

    Nadhani utakuwa umesoma wakati ule ambapo mwl wa maths alikuwa jamaa mmoja anaitwa Kevin, au sio?
  10. N

    Kifungilo Girls school U.S.A

    I'm doing fine.
  11. N

    Kifungilo Girls school U.S.A

    If he kills your curiosity, it won't be stronger. Howdydo, btw?
  12. N

    Wanawake Hawapendi nini?

    Umeshasema ma-miss. Kwani wanawake wote ni ma-miss? Sabuni zingine zinachubua?
  13. N

    Wanawake Hawapendi nini?

    Sema baadhi ya wanawake, kama ilivyo baadhi ya wanaume.
  14. N

    Wanawake Hawapendi nini?

    Kumbe wanaume wanapenda wake zao wakiwa "broke", ila wanawake ndio hawapendi waume zao wakiwa hivyo -- na kwahiyo ni sifa ya wanawake tu kuwa hivyo! Wanaume huwa "wanachoka" wakifika kwa wake zao kwa sababu wanakuwa wameshapata "stahili" zao kwingine. Kumbe mwanamke akimsifu mwanaume...
  15. N

    Nataka niwe tajiri

    A word to the wise is enough. Let's call it quits, man. Tunachafua mada ya watu.
  16. N

    Nataka niwe tajiri

    Check the initials To stop a two-way traffic, either side or both sides have to pull up.
  17. N

    Nataka niwe tajiri

    I was anxiously waiting for this, shosti! You should refrain from it if umemrudia Bwana. Usije ukatoka kwa Bwana, ukarudi kwa bwana. Can't comment on this, dear, bcoz I'm not of the mipasho type. Mkono mmoja haujipigi.
  18. N

    Nataka niwe tajiri

    Hasn't this gone astray?
  19. N

    Nataka niwe tajiri

    Bora akuwekeaye maneno mkononi, unaweza ukayatupa, kuliko yule akuwekeaye kinywani. Usijali kaka/dada/mjomba/shangazi/babu/bibi.
  20. N

    Nataka niwe tajiri

    Mwanamalundi, inakubidi umsome vema huyu jamaa, maana akikwambia: "Tembea!", maana yake: "Rukia miti!". Heeheeheeee!!
Back
Top Bottom