Search results

  1. E

    Inakera sana: Ndugu kugombea maiti.....

    Kwa kweli watu tumezidi kupenda mali kuliko utu. Hata hatumwogopi Mwenyezi Mungu? Kwa nini tunajitetea kwa kutumia uongo mwingi sana ili tupate mali?. Jamani hili ni fundisho. Kila mtu ajitafiti amedhulumu wangapi kwa uongo alioutumia? Tumwogope Mungu! Mali zote tutaziacha hapa hapa. Hata kama...
Back
Top Bottom