Search results

  1. M

    Ninaomba wana jf tuijadili picha hii.

    hapana kaka picha hiyo haiku chanwa ila ni kioo cha frame ya picha yenyewe ndo ina akisi mwanga ndiyo inaonekana kama picha imechanwa
  2. M

    Lukuvi pamoja na porojo zote lakini watoto wanakaa chini??

    Nawashukuru wahishimiwa woote mnao jenga hoja katika wigo huu! ila napenda kuwa arifu kuwa kwa sasa ndiyo narudi tena katika kilinge hiki cha kuchangia mwawazo shii kwa manufaa ya waTanzania wote, Kipindi kilicho pita nilichangia katika kujaribu kuweka sawa mazingira ya kutofautisha mazuri na...
  3. M

    Watoto wa vigogo BoT wasafishwa

    KWA MTAZAMO TOFAUTI! yaani hao mafisadi wame watoa kafara tu kwani walio iba si hao watoto, wenye mamlaka ya kuidhinisha mapesa hawakuguswa! ila hawa waliokuwa makarani tu? je Karamagi amesom? KUENDA SHULE SI KUPATA ELIMU!! kwani karamagi ame soma kwa utaratibu wa kawaida wa shule za hapa nchini...
  4. M

    Kwanini Tanzania wasomi wengi ila ICT tunaongozwa na Wahindi?

    lakini kumbuka kuwawatanzania wengi tuna kwendashule kwa ku cream, Ebuona MH.sana Karamagi anatamba amesoma lakini ukirudia. chini kabisa utakuta katika History, ya "O"Level, ime bainisha, kuwa wazee wetu kwa ushamba, ama elimuduni, ama kwakuogopa, na kudanganywa walisainishwa mikataba ya ajabu...
  5. M

    Nchi isiyo na wenyewe!

    Hivi...hawa wawekezaji ni kwaajili ya JK na wenzake au ni kwamanufaa ya wasio wanachi hii ambao wanajitutumua kwa kutumikishwa bila kulipwa malipo halali, nahao waalikwa wa Sirikali ya BWANAMKUBWA? Serikali ambayo kwa vitendo vyake hivyo ina jibainisha kuwa, watumikishwa hao ambao hutumikishwa...
  6. M

    Hivi nchi hii tunakwenda wapi?

    Katika pitapita yagu nilikuwa nikizunguka katika makapuni ya wawekezaji wa kigeni hapa nchini, lakini chakushangaza ukiangalia kipato cha huyo anaye tumikishwa kwa kiwango cha kimataifa, utatamani kulia, kwani mzalishaji ni Mtanzania, ambaye Serekaliyake ndiyo ime idhinisha alipwe kiwango...
  7. M

    Hivi nchi hii tunakwenda wapi?

    Si' dhani kama hao madaktari wanaweza kumsaidia mpaka wa simamiwe na wananchi wenye hasira kwani si kwelikama hospital yote haina dawa za kumtibu japo yeye. hivyo ina hitajika pia nguvu ya wananchi katika kusimamia suala hilo.
  8. M

    Ombi maalumu kwa Mheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema

    Asilimia kubwa ya babongo ni Mafisadi kila kiongozi wa chama anataka kuwa Rais I'kulu kuna nini?
  9. M

    Hawa wafuatiliwe

    MTAZAMO USHAURI....Serekali, lazima itambue kuwa kushindwa kwa viwanda hapanchini ndicho chanzo cha kuingizwa malighafi zisizo na viwango sahihi, na kutowapa wananchi elimu za uzalishaji mali zenye ubora wa kimataifa ndio una fanya hata kazindogondogo, zina ingiliwa na wageni, na kuto wapatia...
  10. M

    Hawa wafuatiliwe

    Narudia tena kaka hao polisi nichanzo kwani hizo bidhaa zipo kariakoo bado zina ingizwa na wakija watapata mshiko wao na kuondoka, hivyo kama nikweli wanataka watoe tamko rasmi kisheria kuweka siku za kumaliza hizo stoc' ambazo zisizo isha za vifaa, na malighafi bandia,ili waanze operation ya...
  11. M

    Hawa wafuatiliwe

    MSAADA WA USHAURI, Serekali iandae vijana wenye uzalendo na wanaojua kuwa wanataka kwenda katika majeshi kwa kujitolea na SI' MAJESHI YAWE MAHALI PAKUKIMBILIA VIJANA WASIO NA AJIRA,
  12. M

    Hawa wafuatiliwe

    Sivyo kaka HIzo defender zinakuja kwamikwara tu wataondoka nao kisha baada ya siku chache, watuhumiwa wata achiwa, hivyo, wahindi wapo na wana saidiana kutoa hongo. na ndio maana wana watesa dadazetu na kakazetu pindi wanapo fanya kazi kwao kwani wanajua watahonga tu!
  13. M

    Hawa wafuatiliwe

    Hapa kaka, ni kama bahari ukijisikia kuogelea we'chojoa tu! Hawa wahindi wamejazana kilakona na wamefungua bank yao lakini kule Mumbai Mtanzania anaweza kufungua bank Kirahisi kama hapa? Hiini nchi isiyo na wenyewe bwana!.... na hata pale kariakoo wapo wahindi na wasomali wame jaa kibao wanaishi...
  14. M

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    lakini kaka suala la Huyo mkubwa wetu tumwache kwani sasa hapati hata usingizi, lakini pia USALAMA WATAIFA ndio wana chemka na hawataki kutambua hilo kwani, una anza kupotea, kwani mambo yote haya ya Eppa na mengineyo ya singalitokea kama system ingekuwa kama ile yakina Mzena. Ukiangalia wenzetu...
  15. M

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Sasa kaka suala la Elimu linaumuimu kuliko kitukingine, ilawatanzania ni wanafik!!!! waki'sikia habari zadini wana andamana lakini mamboyanayohusu hakizao zamsingi wana bweteka!hivi tuta elimika lini? Hivi majuzi wana achia suala la mishahara ya walimu lakini wana jua kabisakuwa huko mashuleni...
Back
Top Bottom