Search results

  1. P

    Eneo linauzwa-Mapinga shule

    Habari wadau, Kuna jamaa yangu anauza shamba ambalo ndani yake kuna nyumba 2.Ukubwa wa kiwanja 60x30. Eneo lipo mita 200 toka barabara kuu ya Dar-Bagamoyo. Please, kama una interest na hii. Contact me inbox. Karibu.
  2. P

    Nataka kujikita kwenye kilimo, zao lipi naweza anza nalo?

    Habari zenu wadau.. Napenda kilimo kwa kweli..huwa nikipita sehemu nikaiona ardhi nzuri na kando kando pana kijito cha maji..moyo wangu huwa unapepea. Ni kwa muda nilikuwa nawaza ni kwa namna gani naweza kujikita katika kilimo hasa katika kigezo cha mtaji. Mtaji ulikuwa changamoto, ila...
  3. P

    Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

    Sony WAT 600 ni nzuri maana nimewahi kuitumia . haijawahi kusumbua tangu ninunue mwaka juzi kwa sh 630,000/=
  4. P

    Dona kwa afya

    Samahani sana! ukija kwangu na tukakuandalia ugali jua ya kuwa ni wa dona, kwa hiyo kama wewe si mdau sema mapema ili tukakuchukulie chips hapo kwa bonge jirani ili uenjoy kula mafuta artificial! Toa taarifa mapema kabla hatujapika! sawa eeh!
  5. P

    Askofu Gwajima amtetea Lowassa

    Pesa siyo dhambi ila matumizi mabaya kwa ajili ya uovu ndiyo dhambi. Mtu unaweza kuwa na pesa lakini ukaitumia kwa mambo yanayokubalika katika jamii kama vile kuisaidia jamii. Vile vile mtu mwingine anaweza kutumia fedha hiyohiyo kwa ajili ya uhalifu na kutimiza makusudio ya ubaya. Mtumishi yuko...
  6. P

    Funding sources kwa ajili ya kusoma masters degree

    Habarini! Nna mpango wa kufanya masters degree mwakani. Napenda mnipe mawazo kuwa ni kwa namna gani naweza kupata pesa kwa ajili ya kusoma. Kimsingi mimi ni mtoto wa mkulima maana hata shahada yangu nilisoma kwa kulipiwa na bodi ya mkopo ya nchi yangu nzuri ya Tanzania. Nnachomaanisha hapa...
  7. P

    " Una mia hapo? " Konda

    Hili swali limekuwa common sana siku hizi kwenye daladala, hili limekithiri katika route za shilingi 400. Konda kila akipewa hela yoyote ni lazima aulize " una mia hapo ?" . Najiuliza hivi shilingi mia mia zipo chache kwenye mzunguko ama vip! . Siku moja nilikuwa natoka Manzese naenda Sinza...
  8. P

    Mmiliki wa FB ananufaikaje ?

    Habari! jamani naomba mnieleweshe kidogo au kwa mapana yake katika hili. Napenda kujua ni kwa namna gani Mmiliki wa facebook anavyonufaika? mfano kwa mimi mtumiaji wa kawaida mbaye huweka kifurushi changu cha MB 100 na kuanza kuperuzi fb, yani huyo mmiliki ananufaikaje kwa mimi kufanya hivyo...
  9. P

    TANESCO yaamriwa kuzima umeme

    Nipo Dar ,maeneo ya tegeta huku wamekata!
  10. P

    Ndoto hizi za ajabu nimekuwa naziota zaidi ya miaka 15 iliyopita,msaada tafadhali

    Nakubaliana na wewe wiseboy ila kwa upande wa pili inawezekana Mr. Eric ana nyota ya uongozi hivyo wajanja wanaitumia. Mwombe Mungu sana Eric ili akufikishe hatma yako.
  11. P

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    JF, (where we dare to talk openly) and get the escrow report openly. hahaaa! Shikamoo JF ! Nane na dk 23 hii bado sijalala, nipo subscribed kwenye hii post, nikisikia "ngwenjee" naingia nicheki nani katupia, hata kama nikisinzia kidogo kamlio kataniamsha tu. Maana sitaki kupitwa pale Invisible...
  12. P

    Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Ushauri wangu! Zito na wengine waweke backup ya soft copy, maana kwa style hii tutaambiwa hard drive/ flash disk zimeingia virus, data zimeliwa. Nasubiri mwisho wa cinema hii! sijui utakuwaje!!!
  13. P

    Nahitaji kuwa mwanasiasa,nishaurini!

    Habari zenu jamani! Kiufupi nimetokea kupenda siasa,naomba mnishauri ni mambo gani natakiwa kuepuka, mambo ninayotakiwa kuyafanya, utaratibu wa kufuata ili hatimaye nije kuwa mwanasiasa mahili kwa ukombozi wa nchi yangu. Karibuni!
  14. P

    Dakika 45 ITV: Kafulila azungumzia ufisadi wa ESCROW

    Aliyekuloga kafa. pole.
  15. P

    Chid Benz: Watanzania Niombeeni leo Mahakamani

    Kama anastahili hukumu,basi maombi ni kuwa apewe hukumu ya kueleweka, hakimu asipepese macho.
  16. P

    Lowassa alazimisha ugeni rasmi uzinduzi helikopta ya Gwajima

    Nina shaka na habari maana kwa ninavyomjua Gwajima,haitawezekana ile helicopter et itumike kwa ajili ya kampeni, IT WONT HAPPEN. Habari zilizokufikia hivi punde zimekupindua. Chanzo chako cha habari si cha ukweli,labda kikuletee habari za hapo baadae lakini za hivi punde haziko sawa.
  17. P

    Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

    Umewaacha watu ma maswali mengi yanayokosa majibu. Kama unaweza eleza jinsi ujuavyo wewe namna hao misukule wanavyopatikana maana hii inapelekea wao kutafasiri tofauti na kumbe haiko hivyo au iko hivyo lakini kumbe ni tofauti. Toa maelezo aisee!!!!
  18. P

    Tunatangazwa 'Live' NTV Kenya kuhusiana na kusafirisha pembe za tembo kwenye ndege ya rais wa China

    Tz moja ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha na hili linasababishwa sana na hawa viongozi wetu wachumia tumbo. ee Mwenyezi Mungu deal nao hawa!
Back
Top Bottom