Search results

  1. U

    Ufafanuzi kuhusu shares za Utuexchange

    Pia pengine naweza kuzema kuwa UtuExchange ni seheme nzuri ya kufanyia mazoezi trading skills zako kabla hujaenda kwenye masoko ya kweli ya mitaji kama DSE. UtuExchange inakupa platform nzuri ya kuelewa masoko ya mitaji yanavyofanya kazi, na kufanya mazoezi bila kujiumiza. Kwa hiyo, kama...
  2. U

    Ufafanuzi kuhusu shares za Utuexchange

    Maswali mazuri mkuu. Kwa kifupi mkuu, UtuExchange ni mchezo unaoendeshwa kwa mtindo wa masoko ya mitaji. Lakini badala ya kufanyia biashara hisa za makampuni tunafanyia biashara hisa za matukio ya baadaye kwa lengo la kubashiri matukio yajayo kwa pamoja. Aina hii ya michezo inaitwa...
  3. U

    Karibu UtuExchange!

    Nimekupata bwana Fisadi. Ninaiingiza kwenye mchakato wa maboresho. Tuaifanya vizuri zaidi. Baada tu ya kuingia mtu atakuwa anapewa 25,000U kama mtaji. Hiyo itakuwa tayari kwenye next update, ambayo itakuwa ndani ya wiki moja tu hivi. Lakini kwa sababu hiyo itawasaidia watu wapya tu...
  4. U

    Karibu UtuExchange!

    Inanifurahisha kwamba unaipenda nchi yako. Tunahitaji watu kama wewe ambao wanataka kulipa kodi hata kama hawajawekewa manati kichwani. Lakin, Shy naona hapo tumekuacha kidogo. Tafadhali, nakuomba, nipo chini ya miguu yako, rudia kusoma post za kwanza. :-) Kwa ufupi ni kwamba fedha...
  5. U

    Karibu UtuExchange!

    Kwanza habari za Myakati Mpya (New A..) ndugu yangu :-) Unazungumzia usalama wa aina gani hapa kaka? Ubashiri wote nia public, hauna siri. Maana bila hivyo ingekuwa vigumu ku-justfy kwa nini flani anongoza au anapata zawadi na mwingine hapati. Nje ya hapa unaamnisha JF ama? Wana JF na...
  6. U

    Karibu UtuExchange!

    Mzee/Bibie hisa zinapatikana kwa njia mbili Moja: Wakati wa IPO Wakati wa IPO (Initial Public Offering) ndio hisa zinatolewa kwa mara ya kwanza. Dai likiwa kwenye IPO, unapewa nafasi ya kuweka dau lako (namba ya hisa unazotaka na bei ambayo upo tayari kununulia). Kila mtu mwenye salio la...
  7. U

    Karibu UtuExchange!

    Labda ka-tip kwa wanaojiunga na UtuExchange. Ukishajiunga unapewa mtaji wa 2,000U. Mtaji huu unaongezeka kigodogo kidogo kila dakika mpaka utakapofika mtaji wa 25,000U. Usipoutumia mtaji wako, utakwamba kwenye 25,000U. Ukiutumia unaongezwa tena mpaka 25,000U. Usiuonee mtaji wako aibu...
  8. U

    Karibu UtuExchange!

    lol Watukutu hawakoselani kwenye jamii yoyoye ile. Haitaruhusiwa kuwa na akaunti zaidi ya moja. Kadri tunavyokua tutakuza technolojia yetu kuboresha game, na pia ku-deal na tabia ambazo si nzuri. Lakini uzuri wa hii gemu bro utakuja kuuona baadaye. Influence ya watukutu itakuwa...
  9. U

    Karibu UtuExchange!

    Hehehe. Kama nilivyosema, kwa hilo mpira haupo kwetu. Na tukifika huko ... du! ... kweli itakuwa soo ... imagine unamkuta Mkuchika busy kwenye screen yake ndani ya UtuExchange ... anajinunulia hisa ... yuko late kama 5 mins hivi huku waandishi wahabari aliowaita wanamsubiri atoe tamko lingine...
  10. U

    Karibu UtuExchange!

    Kaka unaona mbali. Kwa la kwanza Hilo hatuna jinsi ya kulizuia. Kwa maoni yangu binafsi, nadhani kama uamuzi huo umechukuliwa na mtu tu ili ashinde UtuExchange, itabidi wanaohusika na uhakiki au usimamizi wa swala hilo ndio wenye mpira. Kwa mfano, kama mchezaji wa Simba akijifunga goli...
  11. U

    Karibu UtuExchange!

    Swali zuri, lazima niseme! Background Kwanza naomba nikupe picha kubwa kuhusu huu mchezo maana unaonekana kwamba ni mdadisi na mfuatiliaji mzuri. Mchezo kama huu uko katika kundi la michezo inayojulikana kama "Prediction Markets". ( Prediction market - Wikipedia, the free encyclopedia -...
  12. U

    Karibu UtuExchange!

    Karibu UtuExchange Napenda kukukaribisha UtuEchange. UtuExchange: Trading on the future! UtuExchange ni mchezo ambao washiriki mnashindana katika kubashiri matukio ya baadaye. Jinsi ambavyo unabashiri sawasawa ndivyo jinsi unavyoshinda zaidi. UtuExchange inaendeshwa kwa mfumo wa masoko...
Back
Top Bottom