Search results

  1. C

    Wadau msaada wenu maisha yamenikomalia natamani nipate kazi kupitia hii elimu yanngu

    jileezee, Unaandika kwa ufasaha sana kiasi kwamba sio rahisi kusema wewe ni mtu mwenye elimu ndogo kama unavyojinasibu hapa jamvini. Haidhuru, nakutakia kheri katika maisha yako.
  2. C

    Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Ushauri murua huu. Asante daktari.
  3. C

    Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Kama una low sperm count inawezekana usipate mtoto kwa njia ya kujamiana. Unaweza ukajaribu kupitia IVF, ambapo wanaweza kuchukua mbegu zako wakapandikiza kwa mke wako, na akazaa. Usikate tamaa na umefungua account kwa jina baya kabisa - gloomy.
  4. C

    UFAFANUZI: Usalama wa Taarifa binafsi za Watumiaji wa JamiiForums

    Asante Mkuu Maxence. Ila kuna personal info kwenye settings mmezipiga pin. Kwanini, si mtoe nafasi ya editing?
  5. C

    Papa amvua Kardinali Theodore McCarrick madaraka kwa kubaka mtoto miaka 50 iliyopita

    Umeona wapi nimezungumzia percentages katika hiyo post yangu? Soma tena, uelewe
  6. C

    Papa amvua Kardinali Theodore McCarrick madaraka kwa kubaka mtoto miaka 50 iliyopita

    Kanisa katoliki wanaficha mambo mengi sana. Majuzi hapa mapadri mpaka walifanya masista sex slaves. Masista wanabakwa
  7. C

    Papa amvua Kardinali Theodore McCarrick madaraka kwa kubaka mtoto miaka 50 iliyopita

    Hivi unateteaje mbakaji kwa vile tu ni Kasisi? Una akili gani wewe, ingekuwa mwanao au wewe umebakwa ungeandika haya? Unaelewa maana ya kulawitiwa na hawa watoto wanapitia uchungu gani? Unadiriki kusema wapewe adhabu ila isiwe ya kuwakomoa makasisi? Acha upumbavu
  8. C

    Bukoba vs Moshi

    Sijaelewa bado huu mjadala kuhusu Kagera na Kilimanjaro unahusu nini hasa, kwani Tanzania sio nchi moja?
  9. C

    Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

    Kwahiyo utumwa haukuwepo kulikuwa na kitu gani?
  10. C

    Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

    Unaishi dunia gani wewe au shimo la panya? It's all over news. Pole
  11. C

    Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

    Wanasema huyo Dina wa mwaka 2017 uncle zake waliruhusiwa kuingia airport wakampiga kwanza, wakamfunga mdomo kwa tape wakamweka kwenye wheelchair wakamrudisha Saudi Arabia. Tangu wakati huo mpaka leo habari zake hazijasikika tena. Kuna watu wanajua fika kuwa haya yanaruhusiwa katika imani yao...
  12. C

    Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

    Updates: ndege ya Kuwait Airlines itaondoka Bangkok saa 5.15 asubuhi. Inasemekana baba yake Rahaf ni Gavana huko Saudi Arabia. Ubalozi wa Saudia wamesema hawajachukua passport yake lakini dunia nzima hawawaamini kama walivyodanganya kuwa Khashoggi aliondoka Ubalozi akiwa anatembea! Rahaf...
  13. C

    Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

    Binti mmoja raia wa Saudi Arabia, Rahaf Mohammed, miaka 18 amewekwa kizuizini uwanja wa ndege wa Bangkok Thailand alipojaribu kuikimbia familia yake na mateso nchini Saudi Arabia. Kwa maelezo yake ni kwamba matukio yaliyomtokea ni pamoja na kukata nywele zake na familia yake kumpa adhabu ya...
  14. C

    Hatimae niko kazini! Shukrani kwa wote mliohusika mpaka mimi kupata kazi

    Kulikuwa na ulazima wa kusema Megapixel ni handsome amazing wewe? Au unataka tu kuanzisha mijadala ya hivyo hapa ndani? Uwe na adabu tena mtu amekusaidia
  15. C

    Naombeni msaada wa kuchangiwa Bima ya Afya (NHIF) ili kuokoa maisha yangu

    Naamini mambo yatakuwa mazuri hadi week ijayo hivi.
  16. C

    Naombeni msaada wa kuchangiwa Bima ya Afya (NHIF) ili kuokoa maisha yangu

    Sijaweza kusoma messages zote. Kwa sasa umeshakata Bima? Ni kiasi gani umeshapata cha kukatia Bima? Na je kuna uwezekano wa kufanya Kidney transplant?
  17. C

    Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

    Mechi imenikera hii hakuna mfano wake. Hata hivyo, hats off Russia!
Back
Top Bottom