Search results

  1. gwandumi

    Mama Anne Makinda awapa 'makavu' Mawaziri wa Rais Magufuli

    Ivi unadhan makinda anakumbukwa kwa lipi jema haswa? Au Unajitoa ufahamu?
  2. gwandumi

    Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Je we ni mwarabu? Km sio mwarabu....unaaminije kiasi icho kitabu ulicholetewa na waarabu na imani zao?
  3. gwandumi

    Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Kwanini usichukue muda wako nawe ukaanza kuchimba historia ya mtu mweusi kuliko kukakamaza shingo?....ukombozi wa watu huanza katka kujitambua kwanza....swali la kwanza huwa mimi ni nani?? Nimetokea wapi? Asili yangu historia yangu?....kujikomboa kitamaduni kijamii...kifikra...ndiko hupelekea...
  4. gwandumi

    Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Kama hujui kaa kimya usilete porojo... Ukweli hautobadilika kwa sababu ya mtizamo wako....
  5. gwandumi

    Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Angalia pua ya hili sanamu....sio og hii ni counterfeit
  6. gwandumi

    Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Hata hii michoro mingi imechakachuliwa...
  7. gwandumi

    Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Herode alikuwa mtawala alowakwa na waroma....ni sawasawa na useme tanganyika si ilikuwa. Chini ya gorvenor richard turnbull kwa iyo watanganyika walkuwa wazungu???...try to dig deep na kusoma zaidi
  8. gwandumi

    Rare to find:Old bongo Fleva Music

    hii hapa ya solothang aka ulamaa-homa ya dunia........ aisee kama kuna mtu ana yoyote kati ya hizi ...nazitafuta saana.. -artful dodgers (Mapacha0,big 4da geez(geez mabovu), fid q, na squeezer- TUPO TOWN -Big 4da gees (Gees mabovu)-CHAUSIKU ft daz mwalimu, SERO ft. noor elly -Squeezer ft dataz-...
  9. gwandumi

    Rare to find:Old bongo Fleva Music

    aminia mzee iyo mida ya kazi ni bonge la pini....'kufungua mawazo, funguo kambi unazo....kuirudi km kitasa...
  10. gwandumi

    Riwaya za Zamani, Hadithi ya Allan Quatermain

    ntakipata wapi icho kitabu... kilichotafsiriwa???
  11. gwandumi

    Riwaya za Zamani, Hadithi ya Allan Quatermain

    iko poa mkuu... endelea baasi
  12. gwandumi

    Songa: The best Rapper Alive

    kauli yako nzito sana sijajua unaitetea vipi....but kwa tamaduni artists nikki mbishi ndo ana reign supreme...sema kuna vitu inabidi avifanyie kazi haswa live perfomance, pia ajifunze kujieleza mbele ya hadhira.
  13. gwandumi

    Simulia movie ulizoona nasi tuzitafute

    hivi mmewaona hawa watu wanaitwa MAMBO NA VIJIMAMBO?....wana season 1 ina episode 13 na zote wamezitupia youtube .....hawa jamaa tisha sana katika tasnia ya kuvunja mbavu....hakikisha una kamba za kufungia mbavu
  14. gwandumi

    Valentine day na meseji za kuforward

    haitakiwi utunge...unaandika kwa hisia tu hata kama maneno mawili....ukiwa unatunga ujue hamna mapenz hapo unalazimisha hisia
  15. gwandumi

    Valentine day na meseji za kuforward

    meseji za kufowad ni usenge..minlishapiga biti sitaki meseji za namna iyo!
  16. gwandumi

    Nafikiria kufanya maamuzi magumu

    hiki kipolo naona kisha chacha...mtoa post kajigeuza Yesu party two inasubiriwa km mvua jangwani
Back
Top Bottom