Search results

  1. M

    UONEVU WA PPF NA UKIMYA WA SSRA KUHUSU MAFAO YA KUJITOA

    Ni mara nyingi sana wananchi wamekuwa wakitoa malalamiko yao lakini kwa sababu ya kiburi cha wachache wanaopewa nafasi za kuongoza taasisi za serikali wanawadharau na kutoa majibu yasiyokidhi haja na kupeleka wananchi kuwa na hasira na mfumo mzima wa serikali. Mwezi Mei mwaka huu,PPF walitoa...
  2. M

    PPF wameondoa rasmi fao la kujitoa"Withdrawal benefits"

    Wana JF Pamoja na kukakanusha taarifa za kuzuia wanachama wao kuchukua michango yao mara kazi au ajira zao zinapositishwa,iefahamika rasmi kuwa PPF kwa sasa hawatoi michango ile pale wahusika (wanachama)wanapokwenda kuchukua.Sababu inayotolewa na PPF ni kuwa,wamezuiliwa na SSRA(Mamalaka ya...
  3. M

    Serikali ya Tanzania ijibu tuhuma nzito za serikali ya Kenya, rais Magufuli asaidiwe kidiplomasia

    Hizo tuhuma zipo na zipo kisiasa zaidi.Ni kwamba wakenya wengi wanamwona Magufuli kama role model na kiongozi anayewafaa.Wanasiasa wa upande wa jubilee wanaogopa kuwa umaarufu wa Rais Magufuli akiwa pia rafiki wa Raila Odinga ni tishio kwa Jubilee kwenye uchaguzi utakaofanyika mwakani.Wakenya...
  4. M

    Mbowe acha siasa za maigizo, UKAWA hamna akidi ya kumng'oa Naibu Spika

    Huo ni mtizamo wako..Do you think you are more intelligent than UKAWA planners?!Go to hell!
  5. M

    Wakaguzi wa mamlaka ya Afya na usalama (OSHA) na mgongano wa maslahi

    Baadhi wakaguzi wa mamlaka ya Afya na usalama kazini wana mgongano wa kimaslahi kazi ambapo badala ya kukagua maeneo ya kazi na kutoa ushauri kwa wateja wao namna ya kuboresha usalama kazini,wameanzisha utaratibu wa kukagua,kumshauri mteja na kufanya kazi aliyomshauri mteja kwa malipo. Hii...
  6. M

    Watumishi wanafanya biashara na wateja wao

    Baadhi wakaguzi wa mamlaka ya Afya na usalama kazini wana mgongano wa kimaslahi kazi ambapo badala ya kukagua maeneo ya kazi na kutoa ushauri kwa wateja wao namna ya kuboresha usalama kazini,wameanzisha utaratibu wa kukagua,kumshauri mteja na kufanya kazi aliyomshauri mteja kwa malipo. Hii...
  7. M

    Rais Magufuli awataka wakandarasi kufanya kazi kwa maslahi ya Taifa

    Huyu Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu anapaswa kujua namna ya kuandika press release.Ukiangalia habari zake ni kama anaandika gazeti.Ni vyema habari ikawa fupi na yenye ujumbe uliokamilika.Press release nyingi anazoandika mtaalamu huyu ni ndefu kama kurasa za gazetI
  8. M

    Sheria ifanyiwe amendment, wabunge viti maalumu wasiwepo ili kubana matumizi

    Rejea mapendekezo ya Tume ya Warioba.Mapendekezo yaliondoa viti maalum
  9. M

    Akwilina Kayumba wa OSHA, nani yuko nyuma yake?

    OSHA nzima ni vyema ikafumuliwa na kuundwa management mpya itakayokidhi malengo ya kuundwa kwa mamlaka hiyo.Hii ni kwa sababu kumekuwa na ukiritimba mkubwa katika kuwahudumia wateja.Wafanyakazi wengi wa mamlaka hii hawaza taaluma ya kutosha kufanya ukaguzi wa baadhi ya sehemu husika za kazi kama...
  10. M

    David Cameron calls Nigeria and Afghanistan 'fantastically corrupt'

    Prime Minister David Cameron was caught on camera telling Queen Elizabeth on Tuesday that leaders of some "fantastically corrupt" countries, including Nigeria and Afghanistan, were due to attend his anti-corruption summit. Cameron will host an international anti-corruption summit on Thursday...
  11. M

    Nalazimika kujibu na kusahihisha "UPOTOSHAJI" juu ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM

    Tatizo letu tunapenda habari za kila siku ziwe zinazotuandika vizuri...Mbona kutoautiana kwenye masuala ya uongozi ni jambo la kawaida?Waacheni Waandishi wafanye kazi yao!
  12. M

    Mvutano waibuka kati ya Kikwete na Magufuli juu ya ukatibu wa bunge, asita kuachia madaraka

    Na Mwandishi Wetu, Dodoma HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutokana na mchakato unaoendelea wa kumkabidhi Rais Dk. John Magufuli uenyekiti wa chama hicho, kukumbwa na sintofahamu. Taarifa kutoka ndani kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC), kilichofanyika juzi...
  13. M

    Serikali itusaidie kuona mijadala ndani ya Bunge-Live

    Pamoja na nia nzuri ya serikali kubana matumizi na Bunge pia kuamua kurusha Habari za bunge bila kuchukuliwa na vituo binafsi vya televishen moja kwa moja,mie kama raia wa Tanzania ninaisihi sana serikali yenu na Bunge letu tukufu kuruhusu vitu binafsi kurusha matangao “live” ya vipindi vya...
  14. M

    Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania

    President John Magufuli President John Magufuli's still-nascent government has been hit with substantial external aid cuts just months before it unveils its maiden budget for fiscal year 2016/17. It was confirmed yesterday that 10 out of a group of 14 western donor entities have announced...
  15. M

    Lukuvi atembelea eneo la ubomoaji wa jengo la ghorofa 16, Aridhishwa na kasi ya ubomoaji

    Ni kweli ilitakiwa ifanyike tathmini ya hatari za ajali na mazingira na kuweka mikakati ya kuhakikisha ajali au athari hizo hazitokei kwa wafanyakazi wanaobomoa jengo hilo na wapita njia kwa ujumla.OSHA wako wapi?Maana ukiangalia wafanyakazi wanaobomoa jengo hawana hata vifaa vya kujikinga dhidi...
  16. M

    January Makamba: ZEC ilikuwa sahihi kufutwa uchaguzi Zanzibar

    Absolutely.A bare nonsense
  17. M

    Waziri Simbachawene awasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri wanaodaiwa kuhonga wapate Hati Safi

    OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema imebaini baadhi ya wakurugenzi watendaji na watendaji katika Manispaa nne, kutoa rushwa kwa maofisa wa Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), kuficha kasoro walizozibaini na kubadili hati chafu kuwa safi...
  18. M

    Mchango wa William Ngeleja katika sekta ya madini

    Sawa aliyafanya yote hayo..Kwa nini alijiuzulu uwaziri???Aliyafanya peke yake??Mbona Magufuli hajamteua?Mbona Prof Muhongo kateuliwa tena??
  19. M

    Serikali iangalie usumbufu wa mamlaka ya afya na usalama kazini (OSHA)

    Ni kweli smart911..ndicho wadau wengi wanalalamikia...endapo hawatajirekebisha..wadau watawasilisha malalamiko haya kwa wahusika wakuu akiwemo Mtendaji Mkuu wa OSHA ambaye anajitahidi sana kulisimamia shirika hili ila wasaidizi wake hawafanyi ipasavyo.
Back
Top Bottom