Search results

  1. Smokey D

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nipo na korosho na DNS IV solution Lete story mkuu
  2. Smokey D

    Series (Special thread)

    Wapeleke hata season ya 1000+ ila mwisho ndio huo
  3. Smokey D

    Series (Special thread)

    Season 2 Joel atauwawa, ellie atarevenge kifo cha joel Nshamaliza kucheza kwenye PS4
  4. Smokey D

    Series (Special thread)

    Nani anaangalia The Last Of Us
  5. Smokey D

    Series (Special thread)

    Yani wanakubembeleza, wanaomba msaada pia wanakuja inform ya mtu ulikuwa unampenda ili umpe nafasi aingie[emoji23][emoji23]
  6. Smokey D

    Series (Special thread)

    Yani imetulia sana, tutegemee season kibao tu Je ile bile itafanya kazi kuwaua hao creature na Je! Hata kama watakufa watafanikiwa kutoka hicho kijiji
  7. Smokey D

    Series (Special thread)

    Yes it's a new plan Ila nimemiss sana yule smiley creature ila kuna watu wanajua aise
  8. Smokey D

    Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

    Ah ndio mwisho Nikajua umekuwa baba wa kambo[emoji23][emoji23]
  9. Smokey D

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nipo nimetulia nipate madini, sasa huo upande wa kuingia mtandaoni bila bando, nimefata taratibu zote unazoonyesha ila bado inalamba data zangu, ikiwa laini haina bando haiconnect nadhani umenielewa sasa.
  10. Smokey D

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Bila bando haiconnect na pia ikiconnect bando linalika kama kawa. Naombeni mnieleweshe hapo Mwalimu akifundisha nilisinzia[emoji23][emoji23]
  11. Smokey D

    Movie gani imekubamba mwaka huu 2023 so far

    KANG WILL RETURN
  12. Smokey D

    Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Kwa hiyo ndio malipo yanaanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. Smokey D

    UZUSHI Nyongo ya mamba ni sumu inayoweza kuua

    Hiyo mamba inaladha gani
  14. Smokey D

    Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Huwa nasikia kutoka kwa wadau, wakati wa kumuosha marehemu yale maji na taka mwili za marehemu hulindwa sana, kumbe wachawi hufanyia yao duh.
  15. Smokey D

    Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Tumeshawasili tunataka challenge na sisi wa Mkunya
  16. Smokey D

    Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Bardi hajui kiswahili mshenzi tu Nabaki na Chatgpt kwanza huwa mpaka ananiomba samahani akiona anaingia chaka[emoji23][emoji23][emoji23]
  17. Smokey D

    Car4Sale Gari aina ya Harrier linauzwa Mwanza

    DDY kwa hiyo bei itakusumbua kuna jamaa anasukuma EAY namba tako la nyani 24.
  18. Smokey D

    Wachaga tupe siri na sisi wengine

    Watu wanaenda kutoa shukrani kwa wazee na mizimu yao wewe unataka uende nao amini nakuambia huwa migombani wanaenda wanafamilia tu matambiko na umwagaji damu unafanyika wewe utabaki jikoni ukichochea moto wa kisusio. Ila wachaga ni watu wakuhastle sana na nidhamu ya pesa huo ndio utafutaji wewe...
Back
Top Bottom