Search results

  1. S

    Coca-Cola Kwanza Ltd: Whats going on?

    Katika kile kinachoonekana kwamba ni kuchoshwa na Uongozi mbovu wa kiwanda cha Cocacola kwanza Limited chini ya mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho cha kutengeneza vinywaji baridi kilichoko Dar es salaam katika eneo la viwanda la mikocheni, wafanyakazi wa kiwanda hicho wameweza kuvunja ukimya...
  2. S

    Coca-Cola Kwanza Ltd: Whats going on?

    Katika kile kinachoonekana kwamba ni kuchoshwa na Uongozi mbovu wa kiwanda cha Cocacola kwanza Limited chini ya mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho cha kutengeneza vinywaji baridi kilichoko Dar es salaam katika eneo la viwanda la mikocheni, wafanyakazi wa kiwanda hicho wameweza kuvunja ukimya...
  3. S

    Coca-Cola Kwanza Ltd: Whats going on?

    According to the Situation Cocacoka Kwanza Limited is on the Death Row.
  4. S

    Epuka gharama na anasa ya kutumia mafuta ya taa kwa kukata miti hovyo kupata kuni na mkaa

    All this happened becuase of bad leadership of Jk aka The Tourist..!¡.. Mnajua Marafiki kuna Usemi unaosema kwamba kama Samaki ameoza Kichwa basi jua mwili wote unakuwa Umeoza! Ndivyo ninavyolinganisha usemi huo na Utawala wa Serikali ya Jk..!¡.. smk
  5. S

    Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

    Katiba ya Mpya ya Tanzania haiwezi kupatikana kirahisi katika Mazingira haya ya Sarakasi gandamizi za Serikali zinazoendelea...!¡.. ni lazima Wananchi tufike mahali tujitoe mhanga na Kufanya Maamuzi Magumu..!¡..
  6. S

    January awasha moto wa katiba na kula kona, facebook

    Mtu wa Aina hiyo ni mwoga na hafai kabisa kwenye Jukwaa la Siasa..!!.. Aige mifano ya Watu Kama John Mnyika na Steven Nyerere ambao tuko nao FB na wako makini sana ktk kuchangia mada na mawazo mbalimbali pindi wanapoanzisha au yanapoanzishwa na watu mbalimbali wenye mitazamo makini yenye...
  7. S

    Tutamlinda Kikwete pia kwa kutumia nguvu za umma

    Kwakweli Wadau katika Marais wote waliowahi kuliongoza Taifa letu la Tanzania JK ndio Kilaza wa mwisho kabisa.. Mwingi wa Maneno halafu Mtupu wa Matendo..!!.. Wanaompenda Hawatambui kwanini wanampenda bali wasiompenda wanatambua kwanini hawampendi na wanazo sababu kadhaa za msingi za...
Back
Top Bottom