Search results

  1. R

    Mzungu wa nne

    Ina maana wewe hukuweka msimamo katika mwanaume unayemtaka! km ulimpenda kwa dhati, basi hiyo harufu ya pombe isingekuwa kero kwako! lkn naona km ulikubali tu kuolewa nae lkn hukuangalia wala kufikiria unywaji wake. Hapo mwanzo ungesimamia msimamo wako na ukakaa kusubiri asiyekunywa! Ushauri...
  2. R

    Vatikan Kuruhusu Mapadri Kuoa na Masista Kuolewa

    Habari hii ina ukweli ndani yake! na hawa watumishi wa Mungu wa Kikatoliki huwa wanaenda kinyume na utauwa wao! swala la mapenzi haliwezi kuepukika, na ndio maana Mungu kamuumba mwanamke na mwanamume. Hivyo, sio vibaya wakiruhusiwa kuoa na kuolewa, watakuwa wamewapunguzia dhambi nyingi sana!
  3. R

    Kujamiana ndani Ya Whitehouse.. kumbe ni big dili..mmmh?

    mambo ya sex jamani, ni private issue! na nafikiri hawa wasomi wanaoanza kufuatilia mambo haya, wamekosa kazi sasa! naomba Obama afanye kweli! Aweke record ya President wa kwanza kupata mtoto kwenye jumba jeupe!
  4. R

    Hatari ya kutumiana na mwenzi wako nude pics

    na huku Bongo hayo pia yapo! watu wamekuwa hawadhamini utu wao, kwa kutumiana picha za uchi....jamani hebu utandawazi usiondoe utu wetu!
  5. R

    Jimama la KIZUNGU

    Mimi siwashangai hawa wazungu! inaweza ikawa amewaza kuja kuanzisha kitega uchumi huku kwetu, akatumia gear ya mwanaume kuhamia hapa kwetu! sio mabaya....tusubiri matokeo!
Back
Top Bottom