Search results

  1. JAKOBO

    Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

    Hata waliohamia Act sio waha mkuu niwa bembe,hakuna muha mwenye akili timamu atajiunga kundi la wadini nawabembe
  2. JAKOBO

    Je, Kangi Lugola kachukua fomu ya Ubunge

    Mwaka huu kuna uwezekano wabunge wengi wa Chadema wakapita bila kupingwa na Ccm,hata hapa Kigoma mjini Ccm bado wanaiogopa Chadema yaani hawaoni wakupambana na Chadema!
  3. JAKOBO

    Khalid Kagenzi, anayedaiwa kupanga kumuua Dr. Slaa na Moses Machali, Wajiunga na ACT-Wazalendo

    Huyo Msaliti ametuvunjia heshima watu wa Kigoma,tunaamini heshima italudi kwetu baada ya kumpiga chini kwenye uchaguzi mkuu ujao na bahati nzuri amejileta mwenyewe Kigoma mjini
  4. JAKOBO

    Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    Mbona hata Zitto anahujumu Democracy ambayo ndiyo ingeweka vizuri uchumi?.Hatuko tayari kuwa na mtu yeyote anayehujumu upinzani wakweli kwa sababu ya interest zake za tumbo lake
  5. JAKOBO

    Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    Kiukweli naungana na mleta mada.Kuliko Zitto ashinde hapa Kigoma mjini ni bora Ccm washinde,tutafanya kila linalowezekana huyu msaliti tumdharilishe nasisi.Sio lahisi Zitto ashinde hapa Kigoma mjini
  6. JAKOBO

    Mpambano wa Lema na tume ya uchaguzi Arusha, Lema aibuka mshindi

    Eti Azimio la Tabora,badala ya Kigoma tukajua tu moja
  7. JAKOBO

    Ajali Arusha: Trafiki Saba, wanasurika kifo, gari la Polisi lagongwa

    Kweli mkuu,maana hawa nao nijanga lingine lakitaifa.Acha yawakute wanakera
  8. JAKOBO

    UKAWA sioni atakayepata jimbo

    Teh teh
  9. JAKOBO

    Kikwete: Nasikitika kuacha watanzania wengi wakiwa Maskini

    Viongozi wa Ccm nadhaniwatakuwa na raana kutoka kwa Mwenyezi Mungu yakuwafanya mpaka wawe wasahaurifu kwa ya jana,sihuyu huyu juzi tu amesema hahitaji misaada eti wanampa mashariti?.Huko anaombaomba nini tena?.Mbona huyu Mzee wetu anaendelea kututia aibu?
  10. JAKOBO

    Zitto achukua fomu Kigoma mjini

    Huyu dogo tulishamzowea ukigeugeu na uongo wake,hiyo Bandari ya nchi kavu hapa katosho niipi mbona siijui au yawachawi wanapokutana?.Kwahiyo tumuamini kwa kusema atagombea kipindi kimoja tu kama alivyosema 2015 hatagombea Ubunge tena?,au ndio Sarakasi mpya ya Urais tena
  11. JAKOBO

    CCM ni janga la Kitaifa, soma hapa

    Unaona sasa akiri za ki ccm,mtu aliyetoroka mirembe dawa yake nikufuta uzi wake au kumtafuta ili kumludisha hosp?
  12. JAKOBO

    Mangula ataja vigezo 13 vya urais: Kama huna pisha wengine

    Kama vigezo hivyo vitazingatiwa kweli tofauti na zile porojo zao zakila siku namshauri atafute wagombea nje ya Ccm,lakini ndani ya Ccm hawezi kumpata hata anayekaribia kuvifikia
  13. JAKOBO

    Mdahalo wa Watangaza nia CCM: Live on Azam TV

    Sasa kama wagombea wa Ccm wanaanza kuogopana mdaharo wao kwa wao itakuwaje siku wakiwa na Dr Slaa?, siwatahama nanchi sikuhiyo?.Tulishasema hakuna mtu wa Ccm mwenye utashi wakweli wakuwatoa watanzania kwenye umasikini zaidi yakuwaibia tu.Huo niushahidi mwingine oneni
  14. JAKOBO

    Mkutano wa Kihistoria wa Kinana uwanja wa Mashujaa, Mayunga - Bukoba

    Kwanza hata mimi nimesikitika kwa huo upotoshaji unaofanywa na Ccm wakuonyesha picture zisizo zenyewe,nakumbuka kuna nduguzangu kule waliokuwepo walinitumia picture huku wakiniambia hakuna watu na nikaziona na pia hakukuwa na meza ila ilikuwa jukwaa.Hivi nyie Ccm mnawadanganya wanani?.Acheni...
  15. JAKOBO

    Picha: Chuki hii ya CCM dhidi ya upinzani imavuka mipaka

    Mimi kwa sasahivi sipendi kusikia hizi habari za unyonge kila siku,kwanini tusijihami kwa kujibu mapigo?.Hatuna mikono?.Ifike mahara iwe jino kwa jino tuache unyonge
  16. JAKOBO

    UKAWA kusaini mkataba na wananchi siku ya ufunguzi wa kampeini

    Kwa mkataba wa wenye nchi ambao nisisi wananchi.Jaribu kuelewa bila kutafuniwa ndugu,hivi ma Ccm akiri mnaziachaga wapi mkiamka?
  17. JAKOBO

    Msafara wa Makongoro Nyerere wapata Ajali Kasulu - Kigoma

    Hiyo ni laana ya watu wa Kigoma kwa chama chake kwa jinsi walivyoutelekeza mkoa hata Barabara hakuna miaka 53 ya Uhuru.Nadhani ni Kigoma pekee yenye miundombinu yamakumbusho
  18. JAKOBO

    Rais Kikwete amemteua Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, awahamisha wengine

    Ndugu Kama alikuwa Shemeji ndio nauli zitakutoka Sana kumfuata
Back
Top Bottom